Nashauri taifa limteue Paul Makonda kuwa mrithi wa Faustine Ndugulile pale WHO

Kwani Makonda ana degree ya udaktari? Yuko fluent na lugha ya kiingereza? Hiyo siyo post ya kuteuliwa tu bali lazima upambane na uwe mahiri kwenye kujieleza issues za afya na nyingine ambazo zinahusu maeneo hayo.
 
Nyie watu wa CCM hovyo kabisa. Mnafikiri kila nafasi ya uteuzi anaweza kuteuliwa mtu wa darasa la saba.

Kuniweka mimi na CCM kwenye sentesi moja ni kunikosea sana mkuu

BIla shaka hujaelewa huu uzi kabisa
 

Alisema yeye ni kiongozi wa watu na ametumwa kuwatumikia wananchi.

Kama ameweza kuwatumikia wana Arusha anashindwa nini kutumikia Waafrika?

Au Waafrika sio wananchi? Vyeti anavyo akapeleke apate nomination
 
Bashite Jimbo lake now lipo Wazi kalipambania sana hadi kafanikiwa hahaha
 
Hiyi Sio Nafasi ya Kisiasa ni Nafasi ya Kisomi na Kielimu hivyo hawezi kuirithi Asiye na Elimu ya Afya (Udaktari) angalau Hata ka Master Huku akiwa Influencial person
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…