Nashauri tufute vyama vya upinzani vilivyopo tuanze upya harakati za kudai mageuzi ya kweli

The Phylosopher

JF-Expert Member
Joined
Mar 11, 2015
Posts
1,968
Reaction score
2,957
Harakati za kudai mageuzi ya demokrasia katika nchi yetu yalianza miaka miaka mingi iliyopita.

Hatimae Kwa shinikizo la mataifa makubwa tukakubali kuruhusu mfumo wa vyama vingi ndani ya muundo wa chama kimoja.

Kwa maoni yangu ikiwa tunahitaji upinzani utusaidie kweli kweli lazima tuanze upya harakati za kudai mageuzi ya kidemokrasia nje ya vyama vya upinzani vilivyopo sasa.

Kwa maoni yangu vyama vya upinzani vilivyopo sasa vinatumika tu kama rubber-stamp ya kuhalalisha kuwa nchi yetu ina upinzani kwa manufaa ya ccm.

Hata tukisema tunataka katiba mpya bado huo mchakato utahodhiwa na ccm Kwa kuwa ndiyo inayohodhi system nyingi.

Ukisha futa upinzani utaibua vuguvugu la upinzani lisilo na sura ya kichama lakini lenye sura ya kiharakati ili liwe na uwezo wa kuabsorb ajenda zote zitokeazo njiani.

Upinzani uliopo sasa umeishiwa maarifa ya kupambana na ccm na kuzidiwa mbinu na ccm Kwa mbali sana.

Kivyovyote iwavyo ili kuibua kundi litakalo aminiwa na raia kwamba wanaopigania maslahi ya wananchi basi lazima hilo kundi litokane na harakati.

Nilipowasikia chadema juzi nikawashangaa eti wanaomba ridhaa ya kufanya siasa Toka Kwa serikali inayoongozwa na ccm. Hii ndio dalili ya wazi kwamba tunahitaji aina mpya ya kudai mageuzi.
 
Kikwazo na CCM sio vyama vya upinzani.

Hivyo basi ungeshauri CCM ifutwe, au ilazimishwe kufanya siasa kwa haki na usawa.
 
Futa CCM ndotatizo
Nadhani ni rahisi sana kufuta upinzani kuliko kufuta ccm kama utakuwa mhalisia ukifuta upinzani ccm itajikuta Iko peke yake hivyo itailazimu kuibeba lawama za shida za wananchi, manung'uniko ambayo yanaweza kuzalisha moyo wa harakati za kudai mageuzi makubwa.
 
Kikwazo na CCM sio vyama vya upinzani.

Hivyo basi ungeshauri CCM ifutwe, au ilazimishwe kufanya siasa kwa haki na usawa.
Najaribu kujiuluza ikiwa tuna upinzani kwa zaidi ya miaka 30 sasa na kwa upepo unavyoenda ni kana kwamba ccm wanazidi kujidhatiti unadhani ni mbinu gani itatumika kuilazimisha ccm iruhusu wapinzani wafanye siasa?

Kwangu mimi miaka iliyopita hasa kwenye utawala wa awamu ya nne ndiyo ilikuwa fursa bora sana ya kujenga upinzani na kuukuza bahati mbaya ni kwamba hiyo fursa ilipotea hivihivi.

Kama tukienda Kwa utaratibu uliopo sasa itatuchukua miaka mingi sana Hadi kuujenga tena upinzani ili walau ufikie kiwango tulicho kidhuhudia awamu ya nn.
 
Kwanini? Kwa nini watu wanauliza upinzani mkubwa? Kwa nini watu wanauliza mageuzi? Je! CCM ilifanya nini vibaya?

Kila chama cha siasa ulimwenguni ni mafisadi. Wachache hutoa juu ya masilahi ya taifa.
 
Tatizo ni ccm chama dola na sisi makondoo. Kufuta vyama vya upinzani ni sawa na kumwachia fisi alinde bucha. Niulize hivi kwa nini John aliongoza wana ccm na kuiba chaguzi za 2019/2020. Kwa nini jecha alifuta uchaguzi wa zenj 2015.
Unachotaka ni kuua vyama ili tusambaratike na kupoteana. Vyama ni muhimu na kama ni kufuta basì anza na chama dola.
 
Harakati za kudai mageuzi ya demokrasia katika nchi yetu yalianza miaka miaka mingi iliyopita.

Hatimae Kwa shinikizo la mataifa makubwa tukakubali kuruhusu mfumo wa vyama vingi ndani ya muundo wa chama kimoja.

Kwa maoni yangu ikiwa tunahitaji upinzani utusaidie kweli kweli lazima tuanze upya harakati za kudai mageuzi ya kidemokrasia nje ya vyama vya upinzani vilivyopo sasa.

Kwa maoni yangu vyama vya upinzani vilivyopo sasa vinatumika tu kama rubber-stamp ya kuhalalisha kuwa nchi yetu ina upinzani kwa manufaa ya ccm.

Hata tukisema tunataka katiba mpya bado huo mchakato utahodhiwa na ccm Kwa kuwa ndiyo inayohodhi system nyingi.

Ukisha futa upinzani utaibua vuguvugu la upinzani lisilo na sura ya kichama lakini lenye sura ya kiharakati ili liwe na uwezo wa kuabsorb ajenda zote zitokeazo njiani.

Upinzani uliopo sasa umeishiwa maarifa ya kupambana na ccm na kuzidiwa mbinu na ccm Kwa mbali sana.

Kivyovyote iwavyo ili kuibua kundi litakalo aminiwa na raia kwamba wanaopigania maslahi ya wananchi basi lazima hilo kundi litokane na harakati.

Nilipowasikia chadema juzi nikawashangaa eti wanaomba ridhaa ya kufanya siasa Toka Kwa serikali inayoongozwa na ccm. Hii ndio dalili ya wazi kwamba tunahitaji aina mpya ya kudai mageuzi.
Tumezingatia Mashariki ya Kati? Au, Ukraine? Watu wanajua jina 'mapinduzi ya rangi'?

Kwa nini tunataka chama kikali cha upinzani? Je! Watu wana ndoto gani nzuri?

Ni nani anayefadhili harakati za mageuzi? Je! Ni NGO kutoka Ulaya au Amerika? Niambie, ninahitaji kufahamishwa.
 
Najaribu kujiuluza ikiwa tuna upinzani kwa zaidi ya miaka 30 sasa na kwa upepo unavyoenda ni kana kwamba ccm wanazidi kujidhatiti unadhani ni mbinu gani itatumika kuilazimisha ccm iruhusu wapinzani wafanye siasa?

Kwangu mimi miaka iliyopita hasa kwenye utawala wa awamu ya nne ndiyo ilikuwa fursa bora sana ya kujenga upinzani na kuukuza bahati mbaya ni kwamba hiyo fursa ilipotea hivihivi.

Kama tukienda Kwa utaratibu uliopo sasa itatuchukua miaka mingi sana Hadi kuujenga tena upinzani ili walau ufikie kiwango tulicho kidhuhudia awamu ya nn.
Sasa ninyi mijibwa mkiambiwa tunataka katiba mpya ndio ninyi ninyi mnatoka kupinga, afu hapa unakuja kuleta ushenzi wako! Acha ujinga. Watakaokuja kuteseka ni wanao
 
Harakati za kudai mageuzi ya demokrasia katika nchi yetu yalianza miaka miaka mingi iliyopita.

Hatimae Kwa shinikizo la mataifa makubwa tukakubali kuruhusu mfumo wa vyama vingi ndani ya muundo wa chama kimoja.

Kwa maoni yangu ikiwa tunahitaji upinzani utusaidie kweli kweli lazima tuanze upya harakati za kudai mageuzi ya kidemokrasia nje ya vyama vya upinzani vilivyopo sasa.

Kwa maoni yangu vyama vya upinzani vilivyopo sasa vinatumika tu kama rubber-stamp ya kuhalalisha kuwa nchi yetu ina upinzani kwa manufaa ya ccm.

Hata tukisema tunataka katiba mpya bado huo mchakato utahodhiwa na ccm Kwa kuwa ndiyo inayohodhi system nyingi.

Ukisha futa upinzani utaibua vuguvugu la upinzani lisilo na sura ya kichama lakini lenye sura ya kiharakati ili liwe na uwezo wa kuabsorb ajenda zote zitokeazo njiani.

Upinzani uliopo sasa umeishiwa maarifa ya kupambana na ccm na kuzidiwa mbinu na ccm Kwa mbali sana.

Kivyovyote iwavyo ili kuibua kundi litakalo aminiwa na raia kwamba wanaopigania maslahi ya wananchi basi lazima hilo kundi litokane na harakati.

Nilipowasikia chadema juzi nikawashangaa eti wanaomba ridhaa ya kufanya siasa Toka Kwa serikali inayoongozwa na ccm. Hii ndio dalili ya wazi kwamba tunahitaji aina mpya ya kudai mageuzi.

Lazima ujue kwamba CCM ni chama dola. Ndio maana wakati Jecha anafuta matokeo 2015 Jengo Zima lilikuwa limezingukwa na Wanajeshi. Happy ndio kwenye shida. Kama dola ipo kwaajili ya kuilinda CCM vyama vya upinzani vitafanya Nini?
 
Nadhani ni rahisi sana kufuta upinzani kuliko kufuta ccm kama utakuwa mhalisia ukifuta upinzani ccm itajikuta Iko peke yake hivyo itailazimu kuibeba lawama za shida za wananchi, manung'uniko ambayo yanaweza kuzalisha moyo wa harakati za kudai mageuzi makubwa.
Sasahivi CCM wakopekayao kwenye kila nafasi, Raia wananafasi gani ya maamuzi kwenye nchi yao.?
 
Harakati za kudai mageuzi ya demokrasia katika nchi yetu yalianza miaka miaka mingi iliyopita.

Hatimae Kwa shinikizo la mataifa makubwa tukakubali kuruhusu mfumo wa vyama vingi ndani ya muundo wa chama kimoja.

Kwa maoni yangu ikiwa tunahitaji upinzani utusaidie kweli kweli lazima tuanze upya harakati za kudai mageuzi ya kidemokrasia nje ya vyama vya upinzani vilivyopo sasa.

Kwa maoni yangu vyama vya upinzani vilivyopo sasa vinatumika tu kama rubber-stamp ya kuhalalisha kuwa nchi yetu ina upinzani kwa manufaa ya ccm.

Hata tukisema tunataka katiba mpya bado huo mchakato utahodhiwa na ccm Kwa kuwa ndiyo inayohodhi system nyingi.

Ukisha futa upinzani utaibua vuguvugu la upinzani lisilo na sura ya kichama lakini lenye sura ya kiharakati ili liwe na uwezo wa kuabsorb ajenda zote zitokeazo njiani.

Upinzani uliopo sasa umeishiwa maarifa ya kupambana na ccm na kuzidiwa mbinu na ccm Kwa mbali sana.

Kivyovyote iwavyo ili kuibua kundi litakalo aminiwa na raia kwamba wanaopigania maslahi ya wananchi basi lazima hilo kundi litokane na harakati.

Nilipowasikia chadema juzi nikawashangaa eti wanaomba ridhaa ya kufanya siasa Toka Kwa serikali inayoongozwa na ccm. Hii ndio dalili ya wazi kwamba tunahitaji aina mpya ya kudai mageuzi.
Hivi tatizo ni upinzani?Hivi ulivyorefuka hivyo viungo vyote vya mwili mpaka leo hujui tatizo ni nini?Subhanallah!
 
Ndio maana chadema wanadai katiba mpya. Yani katiba iliyopo ni ya chama kimoja ndio maana Rais anaamua kufuta mikutano ya hadhara kwa miaka Saba na hata ukifika muda wa uchaguzi mkuu bado wagombea wa upinzani wanaenguliwa.
 
only reason a woman would starve her husband of sex CONSISTENTLY is Either she isn't sexually attracted to him and just married him for his money,or she wants to weaponise The sex and make the man answer to her demands.
 
Najaribu kujiuluza ikiwa tuna upinzani kwa zaidi ya miaka 30 sasa na kwa upepo unavyoenda ni kana kwamba ccm wanazidi kujidhatiti unadhani ni mbinu gani itatumika kuilazimisha ccm iruhusu wapinzani wafanye siasa?

Kwangu mimi miaka iliyopita hasa kwenye utawala wa awamu ya nne ndiyo ilikuwa fursa bora sana ya kujenga upinzani na kuukuza bahati mbaya ni kwamba hiyo fursa ilipotea hivihivi.

Kama tukienda Kwa utaratibu uliopo sasa itatuchukua miaka mingi sana Hadi kuujenga tena upinzani ili walau ufikie kiwango tulicho kidhuhudia awamu ya nn.

..tatizo ni Ccm, sio upinzani.

..suluhisho ni KATIBA MPYA itakayotoa haki sawa kwa vyama vyote.

..actually tunatakiwa tuwe na mfumo demokrasia ya vyama vingi , na sio mfumo wa chama tawala dhidi ya vyama vya upinzani.

..ukiielekeza akili yako kuamini kwamba tunapaswa kuwa na VYAMA VYA SIASA, na sio " upinzani" dhidi ya "watawala" utakuwa umejikomboa kimtizamo na utapata majibu sahihi kwa maswala yanayokusumbua.
 
Haki .

Mgawanyo wa madaraka .

Huduma bora za kijamii (Afya , Makazi ,malazi , elimu)

Usawa .

Ova .. nipo tayari kufa KWA ajili ya hivyo vitu
 
Back
Top Bottom