Nashindwa kuamini hiki ninachokisoma kuhusu haya makato ya LUKU

kila siku tozo na kodi nzinaongezeka ila mishahara iko palepale, yaani kuongeza tozo na kodi ndio imekua njia ya kuongeza mapato ya nchi, ndio maana mi huwa sipendi ile mikelele yao ya ooh hii nchi ina rasilimali myingi maana hio sio hoja muhimu issue ni vipi hizo rasilimali zinatumika kuwanufaisha wananchi wake
 
Nimenunua umeme na wamekata Tshs. 2000 yao. Jumla ya makato ni kama 20% ya pesa yote, hapo bado kato la “tozo” kwa kuwa nilitumia simu

Ngoja ninunue tena nione na bila shaka watakata tena na tena bila kusubiri mwezi uishe

“Hela za dhulma hapana” my big foot
 
Watanzania hawana shukrani

USSR
 
Anatufuta pesa kazi ya waziri wa fedha ni kutafuta pesa

USSR
 
Mama anawakomesha mataga!

Mamaa anawakomesha sukuma gang na kufuta legacy!

Mamaaa anafungua nchi!
.
Mama anamwaga hela mtaani ili sisi mabavicha tuwe tunaziokota

Pole pole na Bashiru wanakiona cha moto
Vipi magaidi nao

USSR
 
Mwigulu for life

USSR
 
Unafutwa machozi hapa

USSR
 
Mama anaupiga mwingiii

Hivi bado matanga wanapiga kelele?
Alafu acheni kumpa kichwa izi kauli za kifala sijui anaupiga mwingi mnatoa wapi aisee??? Acheni bana anasoma hapa uyu mama na mwenzie nchembe[emoji3][emoji3][emoji3]
 
Natamani kutukana walahi sema nitapigwa bun!!! Ila hii nchi sijui wananchi sisi niwajinga sijui niwa pole yani tunaletewa mambo yakifala alafu tupo baridi na wameshatujua tutaongea alafu tunazoea....
 
Natamani kutukana walahi sema nitapigwa bun!!! Ila hii nchi sijui wananchi sisi niwajinga sijui niwa pole yani tunaletewa mambo yakifala alafu tupo baridi na wameshatujua tutaongea alafu tunazoea....
Wanasubiri tuzoe waje na tozo zingine.
 
Nchi haiwezi kupata laana labda viongozi.
 
Alafu acheni kumpa kichwa izi kauli za kifala sijui anaupiga mwingi mnatoa wapi aisee??? Acheni bana anasoma hapa uyu mama na mwenzie nchembe[emoji3][emoji3][emoji3]
Fala Ni wewe unayetaka kila mtu humu awaze Kama wewe

USSR
 
Yeah yeah...

Dj walete wazee wa kusifia kutoka Lumumba....

Weka mziki wa haraka kidogo ili tuokoe muda..
 
Huyu nsdiye alileta haya matatizo. Angekua na akili angeunda mfumo na sio kuunda bunge la kumuongezea muda wa kutawala.
Vyovyote iwavyo, lakini hayo matozotozo ya kipumbavu yasiyokuwa na maana hayakuwepo.

Au nasema uongo ndugu zanguni???
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…