Nashindwa kuelewa, hapa kuna upendo kweli au napotezewa muda?

Hayo yoote ndo mapenzi yenyewe usiwe na mengi sabbu huyo hukumzaa wewe,komaa na Mbanga zako kula utamu usiingie msitumi na kiwembe,fita ni fita mura.
 
Dah! Hongera sana mkuu nilitamani sana kupata mwanaume anayejua thamani ya upendo ila naona huyu hayupo tayari kabisa
Watu tumetofautiana na level of consciousness zipo tofauti.

Kile kitu. Unachotaka soul mate wako akufanyie jaribu kuanza kumfanyia wewe.

Mfano unaweza kuwa unataka akupe zawadi basi aanza kumpatia wewe.


Unajua kuna mambo mengi you have to learn kujua MTU mliekutana ukubwani hamuwezi kuendana kwa baadhi ya mambo ikiwemo mitazamo , maamuzi , kujali , n.k


Sehemu unayohisi upo vizuri ebu ifanye kwanza wewe.


Mfano Mimi tangia nazaliwa I never cerebrating birth day Ila Leo hii MTU umekutana nae ni mwanamke anataka birth day yake umpatie zawaidi ,um post n.k

So sometimes you have to understand this
 
NRNE
Habari za muda mrefu wana jukwaa, mimi msichana, niko kwenye mahusiano na mwanaume amenizidi miaka 15, yeye ana mtoto mmoja mimi sina.
Ulikosa vijana wenzio mpaka tutako sisi wazee? No reforms no erection!πŸ˜πŸ˜πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Kwanza nichekee naomba nipewe uadmin please πŸ˜„πŸ˜„πŸ˜„πŸ˜„
🀣🀣🀣🀣🀣🀣 humo ndani itakuwa ni vilio tu maana unaweza jiona unateseka ila ukakutana na mwingine ukajiona kumbe unatania πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Hahaha Mimi nishazoeaga Kuna muda naumia ila nazoea… tu et mtu manakaa mikoa tofauti ila anauchuna hivyo ni kwamba yuko na ka mtu kake tu
Kabisa hapo kuna namna, fanya ustaarabu wako tu
 
Kwahiyo nivumilie haya mambo?
Nakwambia hiivii,hayo ndo.mapenzi yenyewe,ratiba yako iwe single entry,akiibuka unaibuka akizama nawe unazama,jitahidi kuhesabu single line zide akiibuka unampa unatulia,endelea na ratiba yako usizime data,hesabu uhuru wako katika majukumu
 
Mkuu nimeshajishusha sana nimeshakubali makosa hata yasiyoeleweka but this is too much
 
Mpnz wangu huyu ambae tangu tulipo achana j4 mpk Leo hajanitafuta halafu anajipost tu huko social networks πŸ˜’πŸ˜’
Mkuu kumbuka mwanaume na mwanamke wapo tofauti.

Kosa lako unataka mambo anayotakiwa kuyafanya mwanamke ayafanye mwanaume.

Mwanume kikawaida upendo wetu huwa haupo kwa styles ya hivyo .

Mwanaume anapenda scarcity Sana , kwakuwa unajua the guy is safe na wewe upo safe hiyo pekee inatosha Ku-keep love
 
Yaani mimi mtu mpya sitaki kabisa nitazunguka kwenye cycle hapohapo labda mtu mpya awe mume

Mimi siwezi kulala na kila mwanaume kwasasa Sitaki
Haya endelea kumvumilia anaweza akakuwowa
 
Huyo single faza hana mapenzi na wewe anakutumia sababu kakuona unaitaka ndoa kwa nguvu..!!
Na kwenye hilo penzi wewe ndo unajitoa sana jipe muda wa kujipenda mwenyewe. Kama ndoa itajileta yenyewe automatically sio kwa kuforce hata na furushi ili tu uitwe Mrs furushi..!! 😹😹
 
Mkuu nimeshajishusha sana nimeshakubali makosa hata yasiyoeleweka but this is too much
Tengeneza kitu kinaitwa scarcity hii itakusaidia Sana in life and not in relationship Ila hata kwa maisha.

Unachobidi kufanya ni kuhakikisha unaitawala akili ya MTU na hisia Ila sio call ,sms n.k

There's so many ways unaweza kutumia .

Unajua nyie young generation mambo mengi hamjifunzi na inamfanya MTU apoteze excitement kwako mapema.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…