DR HAYA LAND
JF-Expert Member
- Dec 26, 2017
- 32,386
- 83,431
Hakika unazingatia haya mamboKama njia zipi naweza kutumia
Asante mkuuKama nihivyo basi pole
1. Huyo jamaa bado anakupenda na wewe unampenda.NRNE
Habari za muda mrefu wana jukwaa, mimi msichana, niko kwenye mahusiano na mwanaume amenizidi miaka 15, yeye ana mtoto mmoja mimi sina.
Mimi nipo Dar, yeye yupo mkoani, tulipoanza mahusiano nilijua kwakuwa ni mtu mzima pengine, tutaenda sawa kwani na mimi huwa sipendi mambo ya hovyo. Lakini pia nilijua anaweza kuwa amechoka kukaa mwenyewe hivyo atanioa haraka tu (lakini hii haikuwa dhamira yangu kubwa)
Sasa kuna vitu huwa vinanikosesha amani mno, kwanza huyu mwenzangu unaweza ukaongea tu kitu cha tofauti kinaweza kuwa kidogo tu lakini atakishikilia na kukufanya ujione umekosea sana, hapo utaanza kuomba na misamaha ya kutosha. Lakini yeye ikitokea amekosea atalipindisha hilo kosa hadi lisionekane kama ni kosa.
Kama wiki kadhaa zimepita aliniambia ameenda kwao kusalimia, wakati yupo njiani tulikuwa tunawasiliana hadi anafika, sasa kama siku mbili mbele akaniambia ile siku ameenda alimpitia na mtoto wake ameenda naye, nikamuuliza mbona hukuniambia, akaniambia mambo mengi alipitiwa mh! Nikashangaa.
Wakati yupo huko huko akanipigia akaniambia yupo maeneo ya stendi, sasa sikusikia vizuri kumbe alisema kuna mzigo ameufuata nikamuuliza tena umesema umefata mzigo, akanijibu " hivi maswali yako unayoulizaga huwa unafikiriaga kweli" guys hii kauli iliniuma yaani ameniona mimi sina akili, nikamwambia haya baadae, nikakata simu nikatafakari kama siku tatu nikampigia maana na yeye alinikaushia, hakupokea simu, ila huku status whatsapp anapost, hizi si ni dharau jamani. Na yeye kakaa kama siku mbili tatu hivi akanitumia msg whatsapp " habari yako" na mimi sikuijibu ile siku nijibu "salama" after two days, akajibu kwa kureact akakausha, leo naona kanicheki normal, mimi nikampigia hajapokea.
Nashindwa kuelewa ni upendo gani huo wa kumkasirikia mpenzi wako, kwa vitu vidogo vidogo ambavyo mnaweza kueleweshana tu, wakati mwingine unaweza kukuta usiku ikatokea mmegombana hivi ukimpigia ili muongee muyamalize hapokei kabisa ila msg anajibu anasema hajisikii kuongea, hatakagi suluhisho, sasa najiuliza kama huku mwanzoni yupo hivi je ikitokea tukaingia kwenye ndoa huko si ndo atakuwa akikasirika na matumizi anasusa kutoa kabisa🤕
I'm not perfect, hata mimi nina madhaifu na mapungufu yangu, lakini huwa nina amini kwenye kurekebishana ila mwenzangu naona hilo swala hataki kabisa, niliplay part yangu vya kutosha kujishusha nimejishusha sana misamaha nimeomba mingi mno ila kwa sasa moyo umechoka kuvumilia haya mambo, maisha yanipe stress bado na mapenzi tena yanipe stress si nitajifia na presha.
Naombeni ushauri wenu, wakubwa zangu.
Ni swala la muda ndugu kikulamba ufanye kutu tagg tuje kujifariji😂Mi bado bado jamani,si unaona sjaweka uzi bado,, subiri kinilambe vizuri
Nishakwambia yapotezee..!!Ndugu yangu kila nikisimama nchale nikikaa nchale 😂😂
kimenilamba ila bado io vizuriNi swala la muda ndugu kikulamba ufanye kutu tagg tuje kujifariji
Pole banaHaya mkuu
Tatizo washauri hamuendi direct sasa hapa mimi nishavurugwaa hata sielewii nini nifanya 🥹Hakika unazingatia haya mambo
Being useful
Being important.
Unabidi kuhakisha una vitu vingi vya kumfanya MTU Ku-keep in touch na wewe kuliko ambavyo yeye anavyo.
Wanaume wapo very logic huwa hawakurupuki ukiona anagoma kukuoa au kukupa VVIP seat you need to know kuna Mambo anayaona kwako ambayo hayampendezi.
Hakika Mkuu vijana wa sasa teknolojia imeharibu mambo .Zamani hata miaka mitatu mtu amekausha na wala Hakuna neno,ukionekana jogoo anachinjwa na mengine kibao na bado hakuna shida
Nitajaribu kubadilika lakini unyonge siuwezi kabisaHakika unazingatia haya mambo
Being useful
Being important.
Unabidi kuhakisha una vitu vingi vya kumfanya MTU Ku-keep in touch na wewe kuliko ambavyo yeye anavyo.
Wanaume wapo very logic huwa hawakurupuki ukiona anagoma kukuoa au kukupa VVIP seat you need to know kuna Mambo anayaona kwako ambayo hayampendezi.
Anatetea wanaume wenzake ili muendelee kutumika..!! 😹😹Dr Haya kasema tuforce et tukabie juu kwa juu tupate ndoa
Atakuwa na Roho mbaya sanaAnatetea wanaume wenzake ili muendelee kutumika..!! 😹😹
Asante sana mkuu, nitatafakari juu ya hiliPole bana
Ila huyo jamaa sijui ni single faza, ni kama ana utoto flani ivi, kitu ambacho anakusababishia nawe unaonekana kama mtoto..
Achana nae.
ivi m naomba kuuliza,,yale huwa unaandika humu kua unayapitia kwenye mapenzi ni ukweli!?Tatizo washauri hamuendi direct sasa hapa mimi nishavurugwaa hata sielewii nini nifanya 🥹
Unataka kunichezea siyo?Achana naye nicheki mimi hapa.
Yaani kila baada ya miezi 6 na penzi jipya nimechokaa😂😂kimenilamba ila bado io vizuri
TushamsanukiaAnatetea wanaume wenzake ili muendelee kutumika..!! 😹😹
Ni kweli mkuu mkuu.. sema kuna vingine napunguza maana ni aibu 😂ivi m naomba kuuliza,,yale huwa unaandika humu kua unayapitia kwenye mapenzi ni ukweli!?
Yaah hiyo ndio dalili kuu kwa mtu asiyekupenda anashindwa kuwa mvumilivu hata kwa mambo madogo.Ndiyo maana dah! Naunganisha dots hapa naona kabisa nilikuwa nafosi vitu vingi