GENTAMYCINE
JF-Expert Member
- Jul 13, 2013
- 60,660
- 121,325
- Thread starter
-
- #81
Huko uliko mbona husemi ni wapi na unafanya au unafanywa nini? au Wazungu 'Wanakubenjua' huko 'Kibaikolojia' na unaona Aibu kutuambia?Sina utajiri ila najivunia elimu niliyoipata kuniondolea ujinga pia naishi maisha ninayoyapenda.
Huku nilipo now baada ya makato yote napabakiwa na 96,000 DKK hii inanitosha sana kutembea ninapotaka na kula nipendacho.
Nasikia watoto wa SAUT ndo magonjwa yenu hayo. Kuna jamaa yangu aliniambia akiwa anafundisha hapo korokoroni SAUT alikua analazimishwa na mkuu wake kugawa course work marks za bure kwa vijana maana akili hawajiwezi.Umeshameza Kidonge chako cha Ugonjwa wa Akili mkubwa ulionao au bado?
Tanzania nzima bado hakuna chuo bora. Vyote ni useless.SERIKALI imevitilia shaka baadhi ya vyuo vikuu ikisema vinatumia vibaya muundo wa wastani wa alama katika ufaulu (GPA) ili vipate wanafunzi wengi.
-
Waziri wa Elimu, Sayansi na Teknolojia, Profesa Adolf Mkenda alisema hayo kwenye sherehe za siku ya Chuo Kikuu cha Iringa (IUCo) zilizohusisha wadau wa sekta ya elimu.
-
“Tukicheza na ubora wa elimu tutaua nchi yetu, na hapa nchini vipo baadhi ya vyuo vya binafsi ambavyo ili viwe na wanafunzi wengi vinatoa GPA kubwa bila kujali ubora wa elimu wanayotoa na uwezo wa wahitimu wao,” alisema Profesa Mkenda.
-
Aliitaka Tume ya Vyuo Vikuu (TCU) iendelee kudhibiti ubora wa elimu katika ngazi ya vyuo vikuu ili kuhakikisha hakuna shinikizo la utoaji wa shahada zisizokidhi vigezo kwenye kazi za kitaaluma. “Tanzania sio kapu la kutoa digrii feki, hivyo ni jukumu letu sote kusimamia ubora wa elimu bila woga au presha ya watu wenye fedha au wanasiasa,” alisema Profesa Mkenda.
Taarifa: habarileo_tz
Wewe ukiona hadi GENTAMYCINE nimesoma SAUT Mwanza ( 2006 - 2009 ) na nikasifia na nakipenda hivi jua ni Chuo Kikuu cha uhakika na sibahatishi.
Ukiwa Juha ( Fool) huwezi kusoma SAUT Mwanza na nashukuru 95% ya Product ya SAUT Mwanza inafanya vyema katika both Public and Private Sector.
Haya wale Vijana na Mabinti mnaotegemea Kujiunga na Vyuo Vikuu mwaka mpya huu wa Masomo 2022 / 2023 kama unataka kuwa 'Brainiac' kama GENTAMYCINE fanya haraka pakuwa Fomu yao Mtandaoni ili Ukikubaliwa kama umekidhi Vigezo ukasome hapo SAUT Mwanza na kamwe hutojutia kupata Taaluma yao kwani hakuna Elimu ya Mkatoliki inazalisha Majuha ( Fools ) duniani kote na ndiyo maana Watu wote makini wamepitia huko.
Nina Division II ya Ordinary na Division I ya Advance na Exposure ya Kutukuka ya Dunia hii ambayo mpaka Kufa Kwako hutoweza Kunifikia.Nasikia watoto wa SAUT ndo magonjwa yenu hayo. Kuna jamaa yangu aliniambia akiwa anafundisha hapo korokoroni SAUT alikua analazimishwa na mkuu wake kugawa course work marks za bure kwa vijana maana akili hawajiwezi.
I can bet ulipata division three wewe form six tena ya HKL
Kwakuwa kwa Ujuha wako hujawahi kufika Chuo Kikuu au?Tanzania nzima bado hakuna chuo bora. Vyote ni useless.
Unaijua LSE lakini au unaharisha hapa? Hahahaha kwa elimu yako majinuni ya SAUT ukajua nilianza na Diploma teh teh teh muulize Rostam LSE alienda soma nini.Nikiona tu Mtu katika Kujimwambafai Kwake Kielimu anaanza na kusema alianzia Kusoma Diploma kama alivyotuanikia hapa Lusungo huwa namdharau maradufu.
Umeshakunywa Kidonge chako cha Ugonjwa wako mkubwa wa Akili ulionao?Unaijua LSE lakini au unaharisha hapa? Hahahaha kwa elimu yako majinuni ya SAUT ukajua nilianza na Diploma teh teh teh muulize Rostam LSE alienda soma nini.
Hahahaha mwanafunzi wa SAUT hajui thamani ya hatq certificate ya LSE haahahahahahq
Ungekua na akili angalau hata za jalalani UD ungetambua hiyo hela niliyoandika hapo ni ya wapi teh teh teh nyie mavi mavi tuuu.Huko uliko mbona husemi ni wapi na unafanya au unafanywa nini? au Wazungu 'Wanakubenjua' huko 'Kibaikolojia' na unaona Aibu kutuambia?
Teh teh teh mtoto wa SAUT huna ulijualo we punguani sana hata LSE huijui? Kwahiyo we ukiona diploma unaona ni kilaza mwenzio wa dividion 3 ya HKL? 😂😂Umeshakunywa Kidonge chako cha Ugonjwa wako mkubwa wa Akili ulionao?
Huu ndo ukweli mchungu ambao wengi hawataki kuhusikiaHakuna chuo Tanzania acha kujifariji.... Kabudi alimaliza draft aliposema UDSM ni Jalalani. Afterall sina utoto wa kuanza bishania vyuo after my long civil service in Tanzania and regional level.
Kuwa fair tuu ni kwamba watoto wa sasa hawana kabisa content kichwani kuanzia hapo jalalani hadi huko kata unakokuongelea.
Ndio maana vile vizee vya ujamaa tangu tuliviacha pale hadi leo vinaamini havijatoka kimaisha... vinasifu na kuabudu vikiamini ipo siku failures walioko CCM watawakumbuka hata kwa ujumbe wa bodi.
Narudia tena na Kabudi alishagongelea msumari, UDSM ni jalala la failures wa CCM kuokota makapi yao ya kuwatupia mifupa.
Mbona huonekani kama upo vzr ndugu?ewe ukiona hadi GENTAMYCINE nimesoma SAUT Mwanza ( 2006 - 2009 ) na nikasifia na nakipenda hivi jua ni Chuo Kikuu cha uhakika na sibahatishi.
Ukiwa Juha ( Fool) huwezi kusoma SAUT Mwanza na nashukuru 95% ya Product ya SAUT Mwanza inafanya vyema katika both Public and Private Sector.
Ukirudi kwenye reality ya ajira ndio utashangazwa na hao unaowaona majuha kwenda SAUTYaan mtu na akili zake timamu amefaulu vizuri kabisa let say div 1 kali au 2 anaweza kuomba SAUT??
Aisee kweli Duniani kila mmoja yuko na maono tofauti.
UDSM
SUA
MZUMBE.
Ukikosa hivyo vyo kwa kozi za kawaida basi bado hujapata elimu.
Vingine ni
MUHAS kwenye afya
ARDHI mambo ya Ardhi na michoro
Nimeona kwenye trending sijui latest mke wangu kufungua naona ni upuuzi kucheki pale juú naona imepostiwa kwenye habari na hojaHuwa unalazimishwa Kuchangia huko? Sasa kama unajua Jukwaa la Habari na Hoja Mchanganyiko kuna Vilaza wengi inakuwaje tena bado huwa Unasoma Mada za huko? Tukisema Wewe ndiyo Kilaza zaidi na Mwendawazimu utakataa?
Yes wifeLakini bado unalitembelea hilo jukwaa na kusoma mada,pamoja na kuchangia mada!
Una matatizo ya akili wewe punguani.Yes wife
Huu utetezi hata mtoto wa darasa la pili hawezi kuutumia,una shida kichwani ila bado hujajijua tu,Nimeona kwenye trending sijui latest mke wangu kufungua naona ni upuuzi kucheki pale juú naona imepostiwa kwenye habari na hoja
Tuliza bichwa hilo
Hivyo vyuo ulivyovitaja unavisikia kwenye [emoji343], nitoleee upupu wako hapa, UDSM uliyofundsha wee labda ya Mbeya, ila sio Mlimani main campus.My first degree nimesoma Makerere
MA. Nimesoma University of Denver
Nimefundisha UDSM from 1993-2001 nafikiri kwa muda huo wasted sperm za babako zilikua hazijakutotoa.
Shangaa wee Mlongo.Yaani mimi nisome UDSM tena wakati ikiwa FoE ..afuu aje mtu alinganishe na kata