Nashukuru nimemaliza hii kesi na wife - Vijana okoteni mpate kujifunza

Tutachukuaje pointi wakati hatuwezi kuweka kondomu kwenye droo ya dalala! Haya hivyo umetufundisha tukioa tuwe waongo kwa wake zetu.
Usiniige sana mkuu utapotea njia...🀣
 
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Dah umenichekesha
nilipamis sana humu kitambo sijakuwemo
 
Hiyo yako cha mtoto mkuu.

Mimi nilikazagamua kadem kangu ka chuo kwenye parking maeneo flani ya katikati ya jiji, baada ya kumaliza tendo nikaifunga ile condom ili manii zisimwagike, kwa bahati mbaya nikaisahau hiyo condom kwenye back seat.

Asubuhi nikamuomba wife anipelekee briefcase kwenye gari mimi nikiwa nyuma yake, ile anafungua mlango wa nyuma anakutana na condom, akaiachilia ile briefcase kwa mshtuko! Ile nachungulia naiona ile condom, wakati anataka tu kuishika akili ikapiga hesabu za haraka, nika-shout, "mke wangu usishike hiyo condom utaharibu ushahidi", mwanamke akashtuka akaiacha. Nikamwambia nina kesi Mahakamani na hicho ni kielelezo (exhibit), angekishika basi 'fingerprint' isingeonekana ni ya yule mgoni aliyefumaniwa.

Mwanamke akashuka, akaniambia "samahani mume wangu". Kiukweli kilichonisaidia ni kazi yangu ya Uwakili [emoji28]

Sasa wewe umekamatwa na condom tena haijafunguliwa unakuja kulialia humu [emoji23][emoji23]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hoja ya muhimu sana hii mkuu, nimekupa saluti komredi......🀣🀣🀣🀣🀣
 
Ngoja kesi ianze upya, ujue yumo humu. [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Tatizo wanaume mnatuchukuliaga hatuna akili, ujue wanawake tunajua sana wanaume mnacheat, Ila hatutarajii mcheat hadi tuwakamate....tukiwakamata upepo unageuka, mnatufungulia mlango wa revenge....

Wengine ukitufumania tunakufukuza. Huo muda wa revenge utaufanya ukiwa nje ya mchezo. Yaani ukiwa umepewa Kadi nyekundu.

Hapo ndio utajua kuwa sumu haionjwi na kuna Wanaume ni zaidi ya mashetani.
 
Mnamanipulate wanaume wehu sio sisi wachache wenye msimamo yetu

Ndio nilikuwa namuambia afanye hvyo Kwa wanaume MABWEGE.
Asije akajichanganya Kwa namba chafu, unafumania na bado ukileta upuuzi unakwendraa.
Wanawake wanawachezesha shere wanaume wanaojifanya pendapenda, Mr. Lover na wanaotumia huruma kuliko Akili
 
... UMEWEKWA KIPORO!
 
Good manipulators kwa wajinga[emoji23] hakuna lolote
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…