Nashukuru nimemaliza hii kesi na wife - Vijana okoteni mpate kujifunza

Umeelewa vibaya, Mimi nawakumbusha kuishi na wake zenu Kwa akili, upendo na heshima....msiwadharau wake zenu, hakuna mwanamke mpumbavu....basi tu hufunika kombe mwanaharamu apite, watoto wakue.....Ila usimdharau mwanamke.
Sasa nani kasema anamdharau mwanamke? Hakuna anayetakiwa kudharauliwa, iwe mtoto mdogo, mzee, mwanaume, mwanamke nk. Kila mmoja ni wa thamani.
 
Mmh! Mbona baba yangu mdogo amepigiwa mno kelele na bado anazeeka na mke wake? Halafu kama ni kelele miye nazipenda mno, mke akiwa hapigi kelele naona amepooza mno anaboa.

Hao wanaopata visukari no magonjwa yao tu wanasingizia kelele za wake zao. [emoji23]
 
Huko wanawake ni wengi Kwa sababu mfumo umejengwa kumsikiliza mwanamke zaidi....wanaume pia wangekuwa na pa kusikilizwa wangejazana.
Halafu mwanaume asiye bikra anadaije bikra Kwa mwamke? Bikra which Yani?
 
Huko wanawake ni wengi Kwa sababu mfumo umejengwa kumsikiliza mwanamke zaidi....wanaume pia wangekuwa na pa kusikilizwa wangejazana.
Halafu mwanaume asiye bikra anadaije bikra Kwa mwamke? Bikra which Yani?

Hakunaga mwanaume Bikra, huyo bado hajaumbwa.
Labda unazungumzia ushoga si ndio?
 
Yani mwanaume utindue wanawake wa kila aina halafu ukifika muda WA kuoa ukaze mishipa unadai bikra?🀣🀣🀣
Rejea kidogo kanuni ya equilibrium 🀣 Dunia lazima ibalance. Robert Heriel Mtibeli
 
Ushawahi kukutwa na pakti ya comdom ambapo mbili zimetumika imebaki moja ?
Unaijibu vipi kesi hii?
 
Ushawahi kukutwa na pakti ya comdom ambapo mbili zimetumika imebaki moja ?
Unaijibu vipi kesi hii?
Ndio hicho kilicho tokea kwamba imekutwa moja na mbili zimetumika...😜
 
Mzee wangu Ushimen this is too much, kumbe Sera zile ulizo mwambia maza ni chaiπŸ€’πŸ˜ƒ.
πŸ‘‰Ngoja nika mpange kwa lugha ya wagalatia πŸ˜ƒπŸ˜‚
 
Hahaha Mimi niliwahi chomoka kwenye kimeo kama hicho kwa kumpeleka kwa meneja wa waosha magari namlaumu kwanini vijana wake waache cd kwenye Gari Wakati aliomba kwenda kumchukua demu wake ndio aje aoshe gari?
 
Naogopa kuuza mafile yote Cute Wife 🀣🀣 Ila jua wanawake wanafinya kimya kimya....bila kelele, unafinywa na kusimulia huwezi....usione wajane wengi mtaani, wanaume wanaaga mashindano mapema mtanange hamuuwezi.

Ushauri, heshimu mkeo.
Hajui na wala usimshtue shogare, asiyejua maana usimpe. Na ss hiv tuna mkakati mzito km chama tumejipanga vzr πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 

Mimi sipendi kujua mtu kakosea ila ushahidi au utetezi wake anachomoa japo deep down najua hapa nimedanganywa
Na hamjui kuomba msamaha aisee[emoji51][emoji51][emoji51]
 

[emoji28][emoji28][emoji28]kweli kabisa ni kheri uombe msamaha yaishe chap ila ukileta hadithi za ujanja utateseka sana
Kuna kesi ilitokea January ila sijaiachia hadi juzi kaongea kwa uchungu anaomba nisiongelee tena nisamehe 7x70 [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]maana kaona nimemkalia kooni kwa style tunacheka ila nikipata upenyo nambuluza na hilo kosa lake
Hakuwahi kuomba msamaha alinikazia sana Ila juzi kakubali yaishe
 
Hua namuambia mwanangu.

Ukinidanganya, tumia akili. Ili nione umeniheshimu na hujanidanganya kizembe kwa kuhisi mi ni mjinga.

Nafikiri ma mdogo ndicho alichoapply hapa.
 
Nakazi[emoji119]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…