Nelson Jacob Kagame
JF-Expert Member
- Dec 26, 2022
- 9,576
- 13,545
- Thread starter
- #121
ThanksPole sana mkuu
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
ThanksPole sana mkuu
Sawa madam nimekuelewaPombe ni haramu, haifai kabisa.
Kweli mkuuDa mungu akulinde na pepo wachafu
Mkuu hiyo hali ni kawaida haswa unapopitia katika hzuni kuu ya msongo wa mawazo.Sauti inakuja kichwani jiue....!!!
Sielewi ila napambana nayo kweli. Biashara zikigoma inaniambia jiue. Mahusiano yakigoma inaniambia jiue.
Maisha yakibana jiue.....
Matarajio yakifutika jiue....
Makwazo yakitokea jiue...
NA HII SAUTI IKISHINDA BASI MTU HUJIUA KWELI BILA SABABU YOYOTE YA MSINGI KIROHO NA KIMWILI.
Mimi nawakilisha vijana wengi ambao kutokana na changamoto za maisha na matokeo yake, tunasumbuliwa na sauti za ushawishi wa kujiua.
Machoni pa watu tupo very smart na hali zetu za kiuchumi sio mbaya. Ila rohoni tuna mizigo ya maumivu na hatuwezi kuonyesha in public sababu jamii haituruhusu vijana wa kiume kuonyesha changamoto zetu hadharani.
Sasa hapa ndipo sauti za kujiua zinapoanza kutuandama. Mimi ni muwazi nimesema ila vijana wengi hawasemi wanaishia kujiua.
Na ndio maana siku hizi kuna wimbi la vijana wengi kujikatisha uhai wao.
Kabisa kuwa na hofu ya Mungu au kusema mtu mcha Mungu sio ndo kupata tiketi ya kuepuka mawazo ya kujiua.Wapo watu waliopata kumcha na kumhofu Mungu waliushindwa huu mtihani wa kutaka kujiua.wameenda zao ardhi imewafukia.Wabongo tunashindwa kuelewa umuhimu wa afya ya akili
imani potofu na dini vinatumpumbaza
Mwambie ukweli umsaidie mwenzio kwamba Roho mtakatifu atafanyika faraja na nguvu kwake(atamtia nguvu ktk mapito yake lakini sio kwamba 100% hatahisi upweke/maumivu, anayeyapitia haya ni binadamu pia hawezi kukwepa kuhisi uchungu/maumivu/huzuni TOFAUTI akiwa na Roho mtakatifu anamsaidia kushinda matokeo mabaya ya mapito yake(kumbuka Yesu ilifika point akaomba kwa Babake kikombe kimuepuka [emoji17]na hapo ilikuwa enzi hizo sembuse nyakati hizi za hatari na vurugu nyingiUkijazwa Roho mtakatifu hutahisi huo upweke, utaona bubujiko la furaha kubwa ndani yako na utakua na amani tele, ukitaka kujazwa Roho mtakatifu wa kweli tafuta kanisa takatifu, moja lipo kisukuru, tegeta na chamazi, kwa maelekezo zaidi ni PM nikuunganishe na mchungaji
TemboooPombe ni haramu, haifai kabisa.
Hebu acha upuuzi na kutupotezea muda hapa kutaka sympathy za kipuuzi.The same as Wanaojiua wanavyokua wanahisi!!!
EzeHili nalo neno mkuu...but life seem empty despite i hv almost everything
Omba dhidi ya sauti hizo Kwa jina La Yesu mambo yatakuwa shwari.Sauti inakuja kichwani jiue....!!!
Sielewi ila napambana nayo kweli. Biashara zikigoma inaniambia jiue. Mahusiano yakigoma inaniambia jiue.
Maisha yakibana jiue.....
Matarajio yakifutika jiue....
Makwazo yakitokea jiue...
NA HII SAUTI IKISHINDA BASI MTU HUJIUA KWELI BILA SABABU YOYOTE YA MSINGI KIROHO NA KIMWILI.
Mimi nawakilisha vijana wengi ambao kutokana na changamoto za maisha na matokeo yake, tunasumbuliwa na sauti za ushawishi wa kujiua.
Machoni pa watu tupo very smart na hali zetu za kiuchumi sio mbaya. Ila rohoni tuna mizigo ya maumivu na hatuwezi kuonyesha in public sababu jamii haituruhusu vijana wa kiume kuonyesha changamoto zetu hadharani.
Sasa hapa ndipo sauti za kujiua zinapoanza kutuandama. Mimi ni muwazi nimesema ila vijana wengi hawasemi wanaishia kujiua.
Na ndio maana siku hizi kuna wimbi la vijana wengi kujikatisha uhai wao.
Mkuu upo sahii kabisaKwasasa pesa pekee haitoshi mkuu!
Pesa inaweza kununua vinvyonunulika lakini sio vile visivyonunulika mkuu!!
Pesa haiwezi nunua upendo mkuu!!
Vile ukimtazama mkeo machoni ukaiona belongingness inaridhisha na kuleta faraja sana,kwamba you have a place deep in her!furaha ilioje mkuu!!?
Lakin Sasa ukimtazama unaona maswali kuhusu bills,shuku,na kisirani aiseh,we are just machines I say!!
Pesa sio ridhiko Tena mkuu!!
Source-trust me brooo!