Gift mzalendo
JF-Expert Member
- Dec 13, 2019
- 1,856
- 2,417
- Thread starter
-
- #41
Sikulaumu mkuu kuwa na uwezo mdogo wa kujenga hojaPumba ya mchele hii haina kirutubisho chochote.
Ni kweli mkuu Ila bado Wana nafasi ya kufanya mabadiliko makubwa wakutuletea chama chenye Mfumo imara kuliko hata kilichopoCHADEMA kitaendelea kuwa chama cha upinzani kwa miaka mingi sana ijayo.
Naona kwenye hoja yako unatembea na marking scheme kabisa, hivyo ukipewa majibu tofauti na matamanio yako, unafikia hitimisho hilo.Sikutegemea uje hoja dhaifu namna hii
Anyway ndo fikra zilizopo Cdm kwa Sasa
Mnataka kujilinganisha badala ya kujiiimarisha na kuboresha Mifumo yenub
ila kujali mazingira ya nchi husika
Uwezo wao tunataka tuone kwanza NDANI ya chama chao mkuuChadema wana uwezo mkubwa sana wa kuongoza nchi kuliko ccm. Acha propaganda za kipuuzi. Na ndio maana nchi haisongi mbele kutokana na fikra matope kama zako. Angalia nchi zote zenye ushindani wa vyama kupokezana kuongoza Dola zilivyosonga mbele kimaendeleo.
Nashukuru mkuu kwa hoja yenye nguvu kabisaChangamoto ya kutegemea mtu badala ya mfumo ni kubwa kuliko unavyofikiri.
Ina mizizi kuanzia zama za kabla ya utumwa, ukoloni na hata leo miaka 63 baada ya Uhuru.
Kumbukumbu za hivi karibuni ni maneno na vitendo vya viongozi na watendaji wa serikali za awamu ya tano (Rais Magufuli) na awamu ya sita (Mama Samia ambaye hatumii mikono ya chuma kuongoza).
Tatizo siyo kiongozi, ni utamaduni wa fikra za kujipendekeza, kusifu na kuabudu bila kutumia akili kwa walio wengi.
Ndo udhaifu nao usememea Mfumo wa Chadema kuandaa vijana dhaifu na wenye uwezo mdogo wa fikra Kama wwCCM mnamuogopa sana Mbowe! Wacha awatoe kamasi nyie
Ungejikita kwenye kujadili namna ya kusaidia Mfumo wa Chadema uwe Bora kuliko Ccm ili wakipewa uongozi wawe Bora kuliko ccmJii
Kama CCM bado wanatawala mpaka Sasa basi hata Mdude anaweza kuongoza.
Kuna watu wameingia ikulu Kwa bahati nasibu na bado wanapambwa na mabango nchi nzima mitano Tena sembuse Mbowe au Lisu . Mbowe ameanza harakati za kisiasa na kujenga Chama chake tangu Mwaka 1992 akiwa kijana Mdogo sana Mwenye pesa nyingi . Utamlinganisha na hao CCM wanaobebwa na mafisadi Kwa kupandikiza watu ndani ya vyombo Kwa ajili ya kulinda uchafu wao. CCM hata midahalo wakati wa Kutafuta wagombea Urais wanaikataa na hawairuhusu Kwa kwenye vyombo vya habari Kwa sababu wanajua kuwa hawana maono juu ya Taifa hili zaidi ya kulinda maslahi Yao.
Mabadiliko kamwe hayawezi yakaletwa na Chama Cha Siasa .
Ndio maana nchi zote zilizoendelea duniani zilianza kutawaliwa Kijeshi au Kidikteta . Vyama vilikuja kuwa na nguvu baada ya wahuni kupata uchochoro wa kupata madaraka kupitia siasa.
Hivi nani pale CCM unaweza ukamlinganisha na Tundu Lisu katika kujenga Hoja kitaifa na kimataifa. CCM ikitoka madarakani itakufa milele Kwa sababu wengi wapo pale Kwa ajili ya maslahi na kamwe hawana uwezo wa kukaa nje ya madaraka na kujitegemea katika kujenga Hoja na kukosa madaraka na kuvumilia. CCM ni Chama Cha machawa.
2025 tunataka kuchagua kiongozi Mwenye maono na nchi hii sio madalali ambao wanaouza nchi Bila kujua thamani halisi ya nchi .
Tatizo la kupata kiongozi asiyewahi kuwa na maono juu ya Nchi yetu ni SAWA na mtoto wa kambo anayeuza Mali ya urithi baada ya baba wa kufika kufariki . Ni wazi kuwa Hana uchungu na hajui thamani ya Mali aliyoiruthi.
2025 Tunataka midahalo ifanyike ili tujue nini maono ya wagombea juu ya Nchi yetu.
CCM Inamiliki watu wenye majina makubwa lakini inawatumia kichawa na sio Kwa faidia ya nchi. Ndio maana mpaka Leo Wastaafu wote ni CCM hata wale wa vyombo vya ulinzi na usalama . Wapo Kwa ajili ya maslahi Yao na sio maslahi ya nchi.
Tunataka mgombea binafsi na sio muda wote kutegemea wanasiasa ndani ya vyama . CCM imeondoa kabisa umuhimu wa Chama kwani umekua ni genge la wezi na mafya kushirikiana na Wageni Kuhamisha Mali za umma kupeleka Uarabuni na Ulaya. Kama kuwa na mbinu za Wizi na ufisadi ndio uwezo wa kuongoza nchi basi CCM itadumu milele .
CCM bado hawajajua tu kuwa Mungu alimchukua Hayati Dr. Magufuli ili Chama Hicho kifikie mwisho wa kuwaumiza Watanzania. Aliyepo ajiandae tu kukabidhi nchi Kwa Wengine lakini sio yeye atakayeshinda uchaguzi . Na Wizi wa kura kwake hautamsadia kwani hakubaliki kabisa huku Tanganyika . Kwa sasa ni vyema amshukuru Mungu Kwa fursa aliyoipata na kujjijenga kiuchumi. Angebaki Zanzibar asingefikia kiwaango Cha uchumi alichofikia .
Miaka kama Makamu wa Rais na Maiaka minne kama Rais inamtosha kabisa akapumzike . Akingangania basi atakua anakufuru Mungu na kuwadharau Watanganyika na watanzania Kwa ukubwa wake.
Uhuru wa kukosoa uko wapi ndani ya CCM kama Ndugai alifukuzwa fasta kwani baada tu ya kutoa maoni yake na kutahadharisha juu ya Tanganyika kupigiwa mnada kutokana na madeni.
Wewe unajidhania una hoja lakini wanaokuona wanaona vioja.Sikulaumu mkuu kuwa na uwezo mdogo wa kujenga hoja
Ila nalaumu Mfumo wa cdm kushindwa kuandaa vijana wenye uwezo wa kujenga hoja
Mfumo wa kuandaa vijana wa chama wenye uwezo nao unahitaji Sana mabadiliko
Naendelea kulaumu Mfumo wa Cdm kuandaa vijana dhaifu kujibu hojaUkiona adui yako anakusifia jiangalie sana kuna mahali unakosea. Inatakiwa iwe hivihivi, vumilia tu dawa iingie
Sishangai ndo udhaifu nausemea wa Mfumo kutoaandaa vijana wenye uwezo wa kujibu hojaUkishaona ID anajiita mzalendo, au ndani ya andiko kuna MTU anajiita mzalendo ujue ni mpumbavu WA Kijani. Wanakua na maandiko marefu yaliyojaa upumbavu. This one is one of them
Sijui vizuri Mfumo wa Tff mkuuChadema labda waongoze TFF au TUKTA 🐒
Kwani Ccm ndo role model wa Cdm mkuu ???Kwani nyie CCM mara ya mwisho mlifanya lini uchaguzi wa Mwenyekiti wenu?
Kwa hiyo mnaiga ccm ?Mwenyekiti wa CCM anapatikanaje?
Kwa hiyo Ccm ndo mfano wenu wa kuigwa ?Hata form ya Mwenyekiti ni lini ilitolewa?
Watajuana wenyewe..wao kaz yao ni kubisha tu hata wakipewa marekebisho...Huo ndo udhaifu nausemea mkuu
Haiwezekani Mfumo wa Chama utegemee MTU kwenye mfumo wake wa kipato
Hapo demokrasia itaathirika kwa sababu nani atathubutu kupingana na MTU anayefadhili chama
Kesho tukiwapa nchi huyo MTU akitaka kujilipa ?
Nashukuru mkuu kwa mchango wakoHii lugha ya CHADEMA kupewa serikali inatokea wapi? Unajua chama cha siasa kinapataje dhamana ya kuongoza nchi na kuunda serikali? Tunasema Tanzania ni nchi ya kidemokrasia. Basi wananchi ndio wenye mamlaka ya kuchagua viongozi wao kupitia uchaguzi huru na wa haki. Kwa namna hiyo chama kinachopata kura nyingi zaidi za uRais ndicho huunda serikali.
Si ajabu ukiwa CCM huwezi kufahamu hilo baada ya miaka mingi ya kujitwalia madaraka kwa nguvu ya vyombo vya dola kinyume na kura halali za wananchi. Ndio maana mnaamini katika kupeana serikali !
Yote uliyoandika yatawekwa sawa na katiba makini ya taifa. CHADEMA wanapigania kuandaliwa kwa katiba mpya itakayohakikisha uongozi wa nchi unazingatia misingi ya demokrasia, utawala bora, utawala wa katiba na sheria, utawali wa haki. Katiba hiyo ndiyo itakayodhibiti utendaji wa viongozi wanaokuwa madarakani.
Kwa akili yako unafikiri ni kiongozi aliyeko madarakani ndiye atakayemua kila kitu: akae madarakani muda gani, amteue nani na kumfukuza nani kwa mapenzi yake, auze rasilimali za nchi kama anavyopenda. Hayo ni mambo ya CCM inayong'ang'ania Rais ndiyo aendelee kuwa na madaraka ya kuteua kila mtendaji na kutumia rasilimali za nchi kama anavyotaka.
Huo ni uchambuzi mfu. Halafu haya mambo ya kupeana tuwaachie waKenya. Hata wao siku hizi hawafanyi hivyo kwenye siasa labda kwenye mambo ya mitaani. Kinachotakiwa Tanzania ni uchaguzi huru na wa haki ili wananchi waamue wenyewe kama CHADEMA wanafaa au hawafai kuongoza nchi. Tunatakiwa kuachana na huu ujinga wa kufikiria nani anafaa au hafai kuongoza. Hiyo ni kazi ya wananchi kuamua.
Wakiamua wanaweza kuongoza mkuuChadema hawana uwezo wa kuongoza nchi Ila Kama tumeweza kuongozwa na form four failure inabidi tuwape na tukishawatoa CCM tutapambana wenyewe kwa wrnyewe
Ulitaka uwe upi?Kwa hiyo Ccm ndo mfano wenu wa kuigwa ?
YesKwa hiyo mnaiga ccm ?