Benjamini Netanyahu
JF-Expert Member
- Aug 7, 2014
- 95,871
- 116,627
We ulitakaje?Kwani Ccm ndo role model wa Cdm mkuu ???
Inasikitisha Sana mkuuChadema wazee wa mfumo imara lakini wao wanamwamini mtu imara mbowe maana Kila siku wanaamini ni yeye tu ndo anaweza wavusha
UWT hiyo kauli inawauma snKwa kutoionja sumu kwa kuilamba
Na mnalalamika kushindwa uchaguzi ?
Si Shangai kushindwa swaliWe ulitakaje?
Kwani UWT maoni yenu ni yapi?Na mnalalamika kushindwa uchaguzi ?
Huo muda sinaSi Shangai kushindwa swali
Ndo uwezo wako mkuu
Rudia kusoma mada utaelewa nachotaka
Kama haujui mnachotakaUlitaka uwe upi?
Kama unategemea maoni ya uwtKwani UWT maoni yenu ni yapi?
Ok usikimbilie kujibu kabla ya kuelewa madaHuo muda sina
Habari wakuu
Nikiri Mimi ni muumini wa demokrasia ya vyama vingi na siasa za hoja za ushindani kwani naamini ushindani wowote huletea wananchi maendeleo
Ni moja ya watu tunatamani kuona tunakuwa na vyama vya siasa imara vinavyoweza kubadilishana madaraka Kila wakati pale kilichopo kinaposhindwa kufikia matarajio ya wananchi
Pia nikiri wananchi wanatamani Sana mabadiliko kwenye maeneo mengi hata ikibidi chama kilichopo kiwekwe pembeni kwanza na waone
Lakini Naomba niandike kwa masikitiko makubwa kwamba Mfumo wa Chama kikuu Cha upinzani Chadema Hauna uwezo wa kubeba uongozi wa nchi na taifa kwa ujumla
Yako madhaifu mengi kwenye mfumo wa Chadema, Kwa Leo aomba nielezee udhaifu wa chadema kwenye
Demokrasia ya NDANI
Chadema inaonyesha udhaifu mkubwa haswa kwenye nafasi ya juu ya chama
MFumo wa Chadema unaruhusu nafasi ya juu ya uongozi, MTU mmoja kuweza kugombea mara nyingi atakavyo hata maisha
Hii inaonyesha hata wakipewa nchi wanaweza wakabadili Mfumo wa nchi kuwa hivyo na Pengine kuwa madikteta haswa,
maana kile wanachofanya Sasa ndo picha ya kile watachofanya wakipewa serikali
Pia hapa tuona tatizo kubwa lingine la Chadema kutegemea MTU badala ya Mfumo na Hili ni hatari Sana Kama tulivyoona kwa awamu Fulani waliacha kuimarisha Mifumo wakategemea Mtu ,
Nafikiri tuliona hatari yake pale yule mtu anapoondoka pasipo kutarajiwa
lazima Chadema kabla ya kupewa Serikali washughulikie hili.
Mbaya zaidi hili tatizo liko Hadi kwenye viongozi waandamizi wa juu kabisa wa Cdm kuamini MTU mmoja
Kwamba MTU Fulani akishachukua fomu ya nafasi Fulani Basi mwingine anakiri kutokuchukua hiyo fomu
Alafu mnataka mpewe nchi Muongoze kidemokrasia kweli
Pili Mfumo wa Chadema umeonyesha udhaifu mkubwa wa kubeba watu smart au maarufu wanajiunga na chama chao
Hiii inaweza kuchangiwa pia na udhaifu wa demokrasia ya Ndani
Tatu ni Mfumo wa Chadema kushindwa kubeba au kuhandle watu wenye mawazo tofauti na wale wanaokihama chama hicho
Neno usaliti limetumika kuwa kashifu na kuwatuhumu wale wanatofautiana na baadhi ya viongozi wa chama hicho au msimamo bila kujali hoja zao
Kama kuhama chama kwa kutofoutiana hoja au msimamo ni usaliti kwa chadema
Inakuwaje wanawapokea waliohama chama lingine kwa hoja zile zile na wengine wanakuja kwa kutaka kugombea tu nafasi Tena za Cdm
Je Cdm ikipewa serikali Leo itawachukuliaje wale wanaotofautiana na serikali yao ?
Kama watawachukulia Kama wasaliti Kama wanavyofanya kwa sasa
je wapinzani wao watakuwa salama ?
Hayo ni machache kwa Leo kwenye mfumo wa Chadema
Naamini bado Wana nafasi ya kufanya madabiliko ya mfumo wao kuweza kubeba dhamana ya juu zaidi katika nchi yetu na sio tu kuwa chama kikuu Cha upinzani
Wao ndo wataamua ni muda Gani kwa haraka au miaka kumi na 15 nayoiona mimi baada ya kuingiza uongozi wenye fikra mpya au waliopo wakubali madhaifu wabadilishe
Hakuna Haja ya kubomoa nyumba ya nyasi Kama huna uhakika wa kujenga au kupata nyumba Bora zaidi ya tofali na mabati au zaidi ya hapo
Anzeni mwanza chama chakavu mchape form 2 Kisha njooni mtoe mfano Kwa Chadema mtasikika vinginevyo kamanda wa anga MITANO TENA 5Habari wakuu

Soma kuhusu, ostracism and human herdingHabari wakuu

Kama unategemea maoni ya uwt
Huoni hoja yangu inzidi kudhirisha ukweli
Kinawatu wanao ahirisha kufikiri,(unyumbu), herding behavior is an occurrence of entrusted people suspending their individual reasoning because of flattering, working in favor of group objectives and fear of their leadersChama cha mambuzi ambacho kimewahi toa rais ambaye alikuwa hajui ni kwa sababu gani Tanzania ni masikini ndiyo ina watu wenye uwezo!!??
Chama ambacho kiliamua kutumia "biashara ya utumwa" kwa kuwa hakikuwa na wanachama wanaostahili mpaka wakaamua kununua toka upinzani ndicho chama chenye watu wa kuongoza nnchi kweli!!??
CCM haina rasilimali watu timamu wenye uwezo wa kujenga hoja,kutenda na wabunifu wa kutatua changamoto za wananchi, ila inao walafi, wachumia tumbo na wasaka tonge.
Haina haja ya kuanza na neno ''NASIKITIKA'' maana unachoongea hapa ni kwa ajili ya kutengeneza Tanzania Imara itakayo dumu daima dawamu.
Hata Chama cha Kamuzu Banda - MCP walikuwa na akili za lipumbavu kama za huyu mleta mada kichaaHata waliokuwa wanafaidika na Utawala wa KANU hapo Kenya walikuwa wanakuja na uchambuzi kama huuhuu.
Haina haja ya kutumia nguvu na matusi mkuu kwa mpinzani wakoChama cha mambuzi ambacho kimewahi toa rais ambaye alikuwa hajui ni kwa sababu gani Tanzania ni masikini ndiyo ina watu wenye uwezo!!??
Chama ambacho kiliamua kutumia "biashara ya utumwa" kwa kuwa hakikuwa na wanachama wanaostahili mpaka wakaamua kununua toka upinzani ndicho chama chenye watu wa kuongoza nnchi kweli!!??
CCM haina rasilimali watu timamu wenye uwezo wa kujenga hoja,kutenda na wabunifu wa kutatua changamoto za wananchi, ila inao walafi, wachumia tumbo na wasaka tonge.
Matusi KUTOKA vijana wa Cdm ni dalili ya kile Ninachoongelea udhaifu wamfumo wa Cdm kuzalisha vijana wenye uwezo mdogo wa kujibu hojaHata Chama cha Kamuzu Banda - MCP walikuwa na akili za lipumbavu kama za huyu mleta mada kichaa