Pre GE2025 Nasikitika kusema mfumo wa CHADEMA bado hauna uwezo wa kupewa uongozi wa nchi, labda waufanyie marekebisho au tuwape muda zaidi miaka 10 au 15 ijayo

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)
Chadema wazee wa mfumo imara lakini wao wanamwamini mtu imara mbowe maana Kila siku wanaamini ni yeye tu ndo anaweza wavusha
Inasikitisha Sana mkuu
Miaka 30 ya vyama vingi tulipaswa tuwe vyama vya upinzani vyenye Mifumo imara Sana ya Ndani
 
Habari wakuu

Nikiri Mimi ni muumini wa demokrasia ya vyama vingi na siasa za hoja za ushindani kwani naamini ushindani wowote huletea wananchi maendeleo

Ni moja ya watu tunatamani kuona tunakuwa na vyama vya siasa imara vinavyoweza kubadilishana madaraka Kila wakati pale kilichopo kinaposhindwa kufikia matarajio ya wananchi

Pia nikiri wananchi wanatamani Sana mabadiliko kwenye maeneo mengi hata ikibidi chama kilichopo kiwekwe pembeni kwanza na waone

Lakini Naomba niandike kwa masikitiko makubwa kwamba Mfumo wa Chama kikuu Cha upinzani Chadema Hauna uwezo wa kubeba uongozi wa nchi na taifa kwa ujumla

Yako madhaifu mengi kwenye mfumo wa Chadema, Kwa Leo aomba nielezee udhaifu wa chadema kwenye

Demokrasia ya NDANI
Chadema inaonyesha udhaifu mkubwa haswa kwenye nafasi ya juu ya chama
MFumo wa Chadema unaruhusu nafasi ya juu ya uongozi, MTU mmoja kuweza kugombea mara nyingi atakavyo hata maisha

Hii inaonyesha hata wakipewa nchi wanaweza wakabadili Mfumo wa nchi kuwa hivyo na Pengine kuwa madikteta haswa,
maana kile wanachofanya Sasa ndo picha ya kile watachofanya wakipewa serikali

Pia hapa tuona tatizo kubwa lingine la Chadema kutegemea MTU badala ya Mfumo na Hili ni hatari Sana Kama tulivyoona kwa awamu Fulani waliacha kuimarisha Mifumo wakategemea Mtu ,
Nafikiri tuliona hatari yake pale yule mtu anapoondoka pasipo kutarajiwa
lazima Chadema kabla ya kupewa Serikali washughulikie hili.

Mbaya zaidi hili tatizo liko Hadi kwenye viongozi waandamizi wa juu kabisa wa Cdm kuamini MTU mmoja
Kwamba MTU Fulani akishachukua fomu ya nafasi Fulani Basi mwingine anakiri kutokuchukua hiyo fomu
Alafu mnataka mpewe nchi Muongoze kidemokrasia kweli

Pili Mfumo wa Chadema umeonyesha udhaifu mkubwa wa kubeba watu smart au maarufu wanajiunga na chama chao
Hiii inaweza kuchangiwa pia na udhaifu wa demokrasia ya Ndani

Tatu ni Mfumo wa Chadema kushindwa kubeba au kuhandle watu wenye mawazo tofauti na wale wanaokihama chama hicho

Neno usaliti limetumika kuwa kashifu na kuwatuhumu wale wanatofautiana na baadhi ya viongozi wa chama hicho au msimamo bila kujali hoja zao

Kama kuhama chama kwa kutofoutiana hoja au msimamo ni usaliti kwa chadema
Inakuwaje wanawapokea waliohama chama lingine kwa hoja zile zile na wengine wanakuja kwa kutaka kugombea tu nafasi Tena za Cdm

Je Cdm ikipewa serikali Leo itawachukuliaje wale wanaotofautiana na serikali yao ?
Kama watawachukulia Kama wasaliti Kama wanavyofanya kwa sasa
je wapinzani wao watakuwa salama ?

Hayo ni machache kwa Leo kwenye mfumo wa Chadema

Naamini bado Wana nafasi ya kufanya madabiliko ya mfumo wao kuweza kubeba dhamana ya juu zaidi katika nchi yetu na sio tu kuwa chama kikuu Cha upinzani

Wao ndo wataamua ni muda Gani kwa haraka au miaka kumi na 15 nayoiona mimi baada ya kuingiza uongozi wenye fikra mpya au waliopo wakubali madhaifu wabadilishe

Hakuna Haja ya kubomoa nyumba ya nyasi Kama huna uhakika wa kujenga au kupata nyumba Bora zaidi ya tofali na mabati au zaidi ya hapo

Haina haja ya kuanza na neno ''NASIKITIKA'' maana unachoongea hapa ni kwa ajili ya kutengeneza Tanzania Imara itakayo dumu daima dawamu.
 
Chama cha mambuzi ambacho kimewahi toa rais ambaye alikuwa hajui ni kwa sababu gani Tanzania ni masikini ndiyo ina watu wenye uwezo!!??
Chama ambacho kiliamua kutumia "biashara ya utumwa" kwa kuwa hakikuwa na wanachama wanaostahili mpaka wakaamua kununua toka upinzani ndicho chama chenye watu wa kuongoza nnchi kweli!!??

CCM haina rasilimali watu timamu wenye uwezo wa kujenga hoja,kutenda na wabunifu wa kutatua changamoto za wananchi, ila inao walafi, wachumia tumbo na wasaka tonge.
 
Anzeni mwanza chama chakavu mchape form 2 Kisha njooni mtoe mfano Kwa Chadema mtasikika vinginevyo kamanda wa anga MITANO TENA 5
 
Soma kuhusu, ostracism and human herding
 
Chama cha mambuzi ambacho kimewahi toa rais ambaye alikuwa hajui ni kwa sababu gani Tanzania ni masikini ndiyo ina watu wenye uwezo!!??
Chama ambacho kiliamua kutumia "biashara ya utumwa" kwa kuwa hakikuwa na wanachama wanaostahili mpaka wakaamua kununua toka upinzani ndicho chama chenye watu wa kuongoza nnchi kweli!!??

CCM haina rasilimali watu timamu wenye uwezo wa kujenga hoja,kutenda na wabunifu wa kutatua changamoto za wananchi, ila inao walafi, wachumia tumbo na wasaka tonge.
Kinawatu wanao ahirisha kufikiri,(unyumbu), herding behavior is an occurrence of entrusted people suspending their individual reasoning because of flattering, working in favor of group objectives and fear of their leaders
 
Nimesikitika kweli mkuu
Maana lengo la kuanzishwa vyama vingi miaka 30 iliyopita ni ili tuwe na vyama angalau viwili au vitatu vyenye Mifumo imara yenye kuongoza nchi

Na hii ingechangia ushindani mkali kwa Kila chama kutafakari sera Bora zaidi zenye kuleta maendeleo kwa wananchi
Haina haja ya kuanza na neno ''NASIKITIKA'' maana unachoongea hapa ni kwa ajili ya kutengeneza Tanzania Imara itakayo dumu daima dawamu.
 
Hata waliokuwa wanafaidika na Utawala wa KANU hapo Kenya walikuwa wanakuja na uchambuzi kama huuhuu.
Hata Chama cha Kamuzu Banda - MCP walikuwa na akili za lipumbavu kama za huyu mleta mada kichaa
 
Chama cha mambuzi ambacho kimewahi toa rais ambaye alikuwa hajui ni kwa sababu gani Tanzania ni masikini ndiyo ina watu wenye uwezo!!??
Chama ambacho kiliamua kutumia "biashara ya utumwa" kwa kuwa hakikuwa na wanachama wanaostahili mpaka wakaamua kununua toka upinzani ndicho chama chenye watu wa kuongoza nnchi kweli!!??

CCM haina rasilimali watu timamu wenye uwezo wa kujenga hoja,kutenda na wabunifu wa kutatua changamoto za wananchi, ila inao walafi, wachumia tumbo na wasaka tonge.
Haina haja ya kutumia nguvu na matusi mkuu kwa mpinzani wako
Jenga hoja kumshinda yeye

Leo tumejikita kwenye udhaifu wa mfumo wa Cdm
Hayo mapungufu ya Ccm ni hoja nyingine inayojitegemea
 
Hata Chama cha Kamuzu Banda - MCP walikuwa na akili za lipumbavu kama za huyu mleta mada kichaa
Matusi KUTOKA vijana wa Cdm ni dalili ya kile Ninachoongelea udhaifu wamfumo wa Cdm kuzalisha vijana wenye uwezo mdogo wa kujibu hoja
Au kusoma tu mada na kuilewa
 
Back
Top Bottom