Natabiri Putin kufa kifo cha kutatanisha ndani ya miezi hii mitatu

Tabirini basi ccm inatoka lini madarakani?
Natabiri 2025 baada ya mkutano mkuu wa ccm rundo la wana ccm kuondoka kutafuta maisha mapya katika chama kingine.. CCM kukosa nguvu bara.. si chadema si ACT bali kuna chama kitakachoiangusha CCM 2030 haifiki watakua wamepoteza nguvu yao.
 
Yawezekana ukawa utabiri unakuhusu mwenyewe sio Mtu anayepigana Vita ya ushoga Duniani.
WAAFRIKA wengi wanamwomba Mora ampe maisha marefu hili aitikise Marekani na Sera zake zake chafu ktk Dunia hii. Haujawahi jiulize bila Urusi si Marekani wangelikuwa na viburi Sana? Maana hata China Hana msaada nawe ikitokea uonevu toka Magharibi.
 
Natabiri 2025 baada ya mkutano mkuu wa ccm rundo la wana ccm kuondoka kutafuta maisha mapya katika chama kingine.. CCM kukosa nguvu bara.. si chadema si ACT bali kuna chama kitakachoiangusha CCM 2030 haifiki watakua wamepoteza nguvu yao.
Aisee! Sawa acha tuone.
 
Na unaambiwa huyo putin hapo Kremlin yeye ndio Mpole. Kuna vichaa kuliko yeye hapo ambao wao sekunde tu wanarusha nyuklia ukraine
 
labda putin wa tukuyu sio yule wa urusi
 
Unatoa utabiri halafu unasema lazima utimie!
Kutabiri maana yake ni kubashiri!Inaweza kuwa au isiwe kulingana na ulivyozichanga karata zako!
Mfano Biden ni mzee,ninaweza tabiri hawezi kutoboa term mbili madarakani bila kukata kamba!Hapo nimecheza na odds za life expectancy!Sio lazima itokee ila the odds are high to likely happen!
Ulichobet wewe tunaita ni kujilipua,Ile unatabiri idadi ya magoli Hadi mfungaji!
 
Mleta mada nipe odds 20 za uhakika za game za Leo niweke mzigo!
Ukishindwa hapo basi wewe si mtabiri bali umeandika kile ambacho unatamani kitokee!
 
Wewe sio TUMIA AKILI we ni mgangagingikoko fulani😂😂😂
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…