Natabiri Rais wa taifa kubwa huko Ulaya atapumzishwa jambo la kutisha sana

Kwa hiyo mungu mkuu asiyedhihakiwa anawaona watu wanashushiwa mabomu hawaokoi ila tu anasubiria kujiunganisha na fitina za kisiasa. KAMA AMBAVYO MAREKANI AMEDHALIKIKA NA MUNGU MKUU GODFREY SURUALI INAMVUKA SASA. masikini mungu ikomboe ukraine urudishe angalau hadhi yako
 
HII IMETUKUMBUSHA MAMBO YA MSINGI SANA
 
Mtapata taabu sana nyie mashetani
 
Bango lako hakina mantiki hata kidogo, US iliivamia Iraq kwa sababu zipi? Iliivamia Afghanistan kwa sababu zipi na Gaddafi aliuwawa kwa sababu gani? Usilete biased information hapa.
 
TumainiEl ni gineus. Achana na hao uwajuao
Natambua wadhifa wake hapa Jf ila kuhusu kifo nina Imani ni siri labda kuwepo na dalili za wazi wakati mwingine hata madaktari wanaweza kusema mgonjwa huyu hafiki siku kadhaa lakini unakuta anadunda zaidi

Cha pili mtu wa Kibaigwa kujua taarifa nyeti kama hizi za kiongozi mkubwa ambaye yeye mwenyewe ni jasusi mbobezi na amezungukwa na kitengo hodari cha intelijensia inanipa mashaka.
 
Ndoto yako wewe unaifanya maono ya jamii ya kimataifa?😳😳🤣

Yule mwamba yupo na ataondoka tu muda wake ukifika kama waondokavyo wengine.....
 
Hizo ni wish zako tu.
Putin atakufa lakini siyo kisa ya vita vya Ukraine. Ikifika siku yake ya kufa atakufa tu.

Nadhani unahisi Marekani ana Intelligence kubwa kuliko KGB.
Hapo sasa...

Hisia zake tu....

Amejikaririsha tu....
 
Umeshindwa kutabiri kama utapata pesa au la unatabiri Mambo ya wanaume wenzio
 
Mkuu vipi kule ukanda wa Gaza ambako taiga teule linaua watu kama nzi
 
Kwani jasusi hauwawi?
 
Tabiri za Kibongo bhana. Yaani hutaki kuwa specific kutaja ni Rais fulani. Yaani una generalize ili akifa yeyote either west or East ujigambe kuwa NILITABIRI. Kama kina Sheikh Yahaya alivyokuwa anatabiri kuwa Kabla ya Uchaguzi ujao kuna kiongozi au mtu maarufu ataondoka, halafu watu walivyo mapoyoyo itokee hivyo YANAAMINI ILITABIRIWA.

KIUJUMLA ULICHOANDIKA NI WISHES ZAKO
 
Anakiogopa kifo sana,haamini mtu kabisa,hata wale wa karibu yake,kiroho keshakufa bado mwili tu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…