Natabiri Rais wa taifa kubwa huko Ulaya atapumzishwa jambo la kutisha sana

Huyo si jiwe
 
Mkuu mimi nakuamini baadhi ya onyo na tabiri zako.
Awamu hii naona umekuwa muhanga wa kampeni kubwa inayofanywa na taifa flani kubwa hasimu wa taifa hilo unalolitabiria kupoteza viongozi wake wakubwa.

Mungu ni wa wote.
Mungu ni wa wote[emoji122][emoji122][emoji122]
 
Kwahio Mungu hakujua before hand kitakachotokea ?, Kwahio hapa Analipiza au ? Na wale wanaosema kila kitu kinapangwa ? (Au hakipangwi)

Na kifo ni adhabu ?, Kama ni adhabu kwanini tunakufa regardless ?

Kwahio Mungu ukimdhiaki anakuua ukumsifia anakuongezea maisha ?

Nadhani kifo natural ambacho ni cha kila mtu ni kifo cha Uzee (vifo vingine vinasababishwa na uzembe/makosa/man made)
 
Wakati US wanavamia Iraq na kumnyonga Sadam huyo Mungu wako alikua likizo, Wakati Nato wanaivamia Libya na kumuua Gadafi huyo Mungu wako alikua wapi. Tokeni na ramli zenu hizo sasa ni zamu yenu kula Kichapo, na mkileta Nyoko Hiyo Ulaya na Us yenu tutaipiga kiberiti.
 
Cha pili mtu wa Kibaigwa kujua taarifa nyeti kama hizi za kiongozi mkubwa ambaye yeye mwenyewe ni jasusi mbobezi na amezungukwa na kitengo hodari cha intelijensia inanipa mashaka.
Umejuaje ni mtu wa Kibaigwa?

Unamjua? Unaijua kazi yake na unajua kwanini kayaandika haya?

Kuwa makini na watu usiowajua! Epuka ujuaji.
 
Amka katafute pesa.
 
bila shaka wewe ni MAKERUBI ,wa mungu zumalad.
 
Nachojua Mungu hana upendeleo!
Kama wale wa US wamemwaga damu sana Mungu hajawaua,basi huyo Mungu anaweza kumwondosha huyo Goliat lakini si kwa hoja hizo! George Bush alimwaga damu za Watu Iraq na Afghanistan,tena kwa uongo kuwa Saddamu ana silaha za maangamizo wakati hana! Nadhani baba yake aliyeanzisha vita 1991 ya kuivamia Iraq ameshakufa sijui Mungu aliamua kwa sababu ndiye aliyeanza kumwaga damu za wairaq,lakini mtoto wake mpaka leo yupoambaye alidanganya kuwa Sadamu ana WMD hajafa!
Niseme tu huenda umedanganywa na Mchungaji kuwa Goliat atakufa kumbe hakuna.
 
wakati goliati anauwawa ulikuepo? ulishuhudia? achana na upumbavu wa hizo hadithi za kufikirika
 
andika kwa lugha ya Kirusi na Kmarekani
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…