mimiamadiwenani
JF-Expert Member
- Mar 9, 2022
- 5,718
- 7,784
Matajiri hata wakibanwa vipi, hawana maarifa na jeuri ya kumuondoa PutinNamna ya kumuondoa huyo ni kuwabana matajiri Ili wafilisike lazima watamuondoa tuu huyo Hitler wa Sasa.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Matajiri hata wakibanwa vipi, hawana maarifa na jeuri ya kumuondoa PutinNamna ya kumuondoa huyo ni kuwabana matajiri Ili wafilisike lazima watamuondoa tuu huyo Hitler wa Sasa.
Huyo si jiweHata kwa ibilisi joka kuu mlikuwa mnasema hivyo na mkimuita stone. Lakini Mungu alishuka ma utukufu wake ukawa manifested kwa kila mtu. Wanasema angukola mtu ni pale kiburi chake kinapozidi. Huyu Putin kwa sasa hili ndo anguko lake hachomoki.
Tayari ashapoteza majenerali wanne wa kutegemewa,jeshi limeshaanza kupungua morali,huko Urusi upinzani dhidi ya vita ni mkubwa,vikwazo vya kibiashara ndo hivyo vinazidi kubana na yeye bado anaamini atashinda vita hivi. Wataalamu wake wa kijasusi wamevujisha andiko kuwa walimshauri akakataa. Alimiscalculate nguvu ya Wakraine. Sasa ameshapagawa unaona sasa anashambulia raia badala ya majeshi. Mwisho wake umefika tu narudia hachomoki.
Mungu ni wa wote[emoji122][emoji122][emoji122]Mkuu mimi nakuamini baadhi ya onyo na tabiri zako.
Awamu hii naona umekuwa muhanga wa kampeni kubwa inayofanywa na taifa flani kubwa hasimu wa taifa hilo unalolitabiria kupoteza viongozi wake wakubwa.
Mungu ni wa wote.
Hata akifa sawa, kama starehe amekula sana, kipi ambacho hajafanya? Ila we kapuku ukifa ni hasara mno kwako, una umri mdogo na huna helaPutin atakufa soon,hutaamini.
IdiotsTunawaza na kufikiria ya mbali kabisa hata yasiyotuhusu..
Tuna acha ya karibu hapa ambayo ndio haswaa lengwa na yatuhusu.
We upo timamu kweli? Nan kakuambia Putin ni kikwazo kwa amani ya dunia?Putin lazima auawe ili amani ya dunia irudi...
Akifa Putin tu vita inaisha
Wakati US wanavamia Iraq na kumnyonga Sadam huyo Mungu wako alikua likizo, Wakati Nato wanaivamia Libya na kumuua Gadafi huyo Mungu wako alikua wapi. Tokeni na ramli zenu hizo sasa ni zamu yenu kula Kichapo, na mkileta Nyoko Hiyo Ulaya na Us yenu tutaipiga kiberiti.Nadhani zama Hizi Mungu hadhiakiwi na ameamua kushuka nakutoa hukumu ili dunia ijifunze nakukumbuka Yeye yupo na hakuna mwanadam au kiongozi Yeyote ana kuwa na haki kutoa roho ya mwenzake kwa wivu na uchu wa madaraka.
Siku sio nyingi Mungu anaenda kuonyesha jambo lakutisha sana jambo litaifanya dunia kukaa kimya nakumuogopa Mungu baada ya kiongozi mkubwa wataifa moja kubwa duniani kuzima akiwa usingizini. Na kifo hiko kitakuwa kifo cha shinikizo la damu na kitakuwa ghafla wakati wa usiku wa manane.
Ndugu zangu kifo hicho kita ambatana na msururu wa vifo vya majemedari na wakuu wa idara za taifa hilo jambo kila mtu atabaki kinywa wazi.
Taarifa za siri zinasema mkuu huyo amesha pewa red light na watu wakubwa na washauri wake ila moyo wake unataka kumwaga dam tu akiamini yeye ananguvu na hakuna wakumgusa. Amesahau kuwa goliati aliuwawa na kijana mbichi ambaye hakuwa na mafunzo ya kijeshi yeyote zaidi ya kuuwa dubu mwituni.
Siku zina hesabika kwa taifa hilo na kila mtu asali kwa imani yake. Amen
Umejuaje ni mtu wa Kibaigwa?Cha pili mtu wa Kibaigwa kujua taarifa nyeti kama hizi za kiongozi mkubwa ambaye yeye mwenyewe ni jasusi mbobezi na amezungukwa na kitengo hodari cha intelijensia inanipa mashaka.
PtuuuSauti ya wengi Ni sauti ya Mungu.
Ptuuu ndio Putin au?Ptuuu
Amka katafute pesa.Nadhani zama Hizi Mungu hadhiakiwi na ameamua kushuka nakutoa hukumu ili dunia ijifunze nakukumbuka Yeye yupo na hakuna mwanadam au kiongozi Yeyote ana kuwa na haki kutoa roho ya mwenzake kwa wivu na uchu wa madaraka.
Siku sio nyingi Mungu anaenda kuonyesha jambo lakutisha sana jambo litaifanya dunia kukaa kimya nakumuogopa Mungu baada ya kiongozi mkubwa wataifa moja kubwa duniani kuzima akiwa usingizini. Na kifo hiko kitakuwa kifo cha shinikizo la damu na kitakuwa ghafla wakati wa usiku wa manane.
Ndugu zangu kifo hicho kita ambatana na msururu wa vifo vya majemedari na wakuu wa idara za taifa hilo jambo kila mtu atabaki kinywa wazi.
Taarifa za siri zinasema mkuu huyo amesha pewa red light na watu wakubwa na washauri wake ila moyo wake unataka kumwaga dam tu akiamini yeye ananguvu na hakuna wakumgusa. Amesahau kuwa goliati aliuwawa na kijana mbichi ambaye hakuwa na mafunzo ya kijeshi yeyote zaidi ya kuuwa dubu mwituni.
Siku zina hesabika kwa taifa hilo na kila mtu asali kwa imani yake. Amen
Ndo mnavyokarilishwa madrasa!!!??? Basi hata kwenye mimba yako Vatikani wamehusika...MSIMAMO WANGU UKO PALE PALE KILA VITA LAZIMA VATIKANI ANAHUSIKA hata hii piah anahusika
bila shaka wewe ni MAKERUBI ,wa mungu zumalad.Nadhani zama Hizi Mungu hadhiakiwi na ameamua kushuka nakutoa hukumu ili dunia ijifunze nakukumbuka Yeye yupo na hakuna mwanadam au kiongozi Yeyote ana kuwa na haki kutoa roho ya mwenzake kwa wivu na uchu wa madaraka.
Siku sio nyingi Mungu anaenda kuonyesha jambo lakutisha sana jambo litaifanya dunia kukaa kimya nakumuogopa Mungu baada ya kiongozi mkubwa wataifa moja kubwa duniani kuzima akiwa usingizini. Na kifo hiko kitakuwa kifo cha shinikizo la damu na kitakuwa ghafla wakati wa usiku wa manane.
Ndugu zangu kifo hicho kita ambatana na msururu wa vifo vya majemedari na wakuu wa idara za taifa hilo jambo kila mtu atabaki kinywa wazi.
Taarifa za siri zinasema mkuu huyo amesha pewa red light na watu wakubwa na washauri wake ila moyo wake unataka kumwaga dam tu akiamini yeye ananguvu na hakuna wakumgusa. Amesahau kuwa goliati aliuwawa na kijana mbichi ambaye hakuwa na mafunzo ya kijeshi yeyote zaidi ya kuuwa dubu mwituni.
Siku zina hesabika kwa taifa hilo na kila mtu asali kwa imani yake. Amen
... Kizungu? Na wewe unajihisi unajua kweli kweli!Kama hujui kizungu andika kwa kiswahili.
wakati goliati anauwawa ulikuepo? ulishuhudia? achana na upumbavu wa hizo hadithi za kufikirikaNadhani zama Hizi Mungu hadhiakiwi na ameamua kushuka nakutoa hukumu ili dunia ijifunze nakukumbuka Yeye yupo na hakuna mwanadam au kiongozi Yeyote ana kuwa na haki kutoa roho ya mwenzake kwa wivu na uchu wa madaraka.
Siku sio nyingi Mungu anaenda kuonyesha jambo lakutisha sana jambo litaifanya dunia kukaa kimya nakumuogopa Mungu baada ya kiongozi mkubwa wataifa moja kubwa duniani kuzima akiwa usingizini. Na kifo hiko kitakuwa kifo cha shinikizo la damu na kitakuwa ghafla wakati wa usiku wa manane.
Ndugu zangu kifo hicho kita ambatana na msururu wa vifo vya majemedari na wakuu wa idara za taifa hilo jambo kila mtu atabaki kinywa wazi.
Taarifa za siri zinasema mkuu huyo amesha pewa red light na watu wakubwa na washauri wake ila moyo wake unataka kumwaga dam tu akiamini yeye ananguvu na hakuna wakumgusa. Amesahau kuwa goliati aliuwawa na kijana mbichi ambaye hakuwa na mafunzo ya kijeshi yeyote zaidi ya kuuwa dubu mwituni.
Siku zina hesabika kwa taifa hilo na kila mtu asali kwa imani yake. Amen
andika kwa lugha ya Kirusi na KmarekaniNadhani zama Hizi Mungu hadhiakiwi na ameamua kushuka nakutoa hukumu ili dunia ijifunze nakukumbuka Yeye yupo na hakuna mwanadam au kiongozi Yeyote ana kuwa na haki kutoa roho ya mwenzake kwa wivu na uchu wa madaraka.