Natafuta mganga wa kienyeji konki

Huyu mzee alikuwa mganga wa kienyeji au wale wanaosoma dua?
 
Nakumbuka kuna story jamaa aliibiwa godoro boarding..., akaanza kupiga mkwara kwamba aliyeiba asiporudisha godoro ikifika saa tano usiku kwao wataanza kudondoka mmoja mmoja....

Haikupita masaa godoro likarudishwa..., Watu wengi huwa wanajiroga wenyewe huyo unayempa tahadhari kama amesikia kwa bahati mbaya akianza kuwashwa tu, lazima akuombe msamaha
 
Mkuu kama mtu kavuka mipaka toa onyo uwenda akajiludi....
akizidi basi peleka makombora kama Urusi nchi Ukraine kudadadeki...
Akuanzae mmalize.

Onyo mjue unae pigana nae yuko vipi isije ngoma ikaludi kwako....
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…