Just a person
JF-Expert Member
- May 16, 2022
- 984
- 1,232
Zile week zimefik😄Nitakuja kuelezea vizuri mambo yalivyoenda,jambo bado ni bichi tusubiri week mbili tatu hivi nitarudi kuelezea sasa[emoji4]na number nitaleta
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Zile week zimefik😄Nitakuja kuelezea vizuri mambo yalivyoenda,jambo bado ni bichi tusubiri week mbili tatu hivi nitarudi kuelezea sasa[emoji4]na number nitaleta
Zile week zimefik[emoji1]
Aya tutupie hyo number🤣🤣🤣🤣dah kweli
Kazi imeenda ilivyo takiwa na jambo langu limeisha
Na wana Jf ndio mlinisaidia,wakati nawatafuta hapa nilikuwa na stress vibaya
Kazi imeisha
Hata Mimi ninayo namba ya mganga wa kienyeji yaani atafanya mambo yote. Je nikupe jina na namba zake?Aya tutupie hyo number
We weka apa wenye uhitaji watachukua au waweke kwa phone book for future use.Hata Mimi ninayo namba ya mganga wa kienyeji yaani atafanya mambo yote. Je nikupe jina na namba zake?
Aysee!! Imekuwaje sasa? Nyosha maelezo basi we maya angeluu🤣🤣🤣🤣dah kweli
Kazi imeenda ilivyo takiwa na jambo langu limeisha
Na wana Jf ndio mlinisaidia,wakati nawatafuta hapa nilikuwa na stress vibaya
Kazi imeisha
Mmh!Boss nakusalimia sana Nina ushuhuda!
@Maya Angelou hongera kwa kulifanikisha jambo, nakuja pm mambo ni mengi muda mchache [emoji23][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]dah kweli
Kazi imeenda ilivyo takiwa na jambo langu limeisha
Na wana Jf ndio mlinisaidia,wakati nawatafuta hapa nilikuwa na stress vibaya
Kazi imeisha
Huyu mzee alikuwa mganga wa kienyeji au wale wanaosoma dua?Basi ngoja niwapatie kisa flani hivi..
Mwaka 2019 niliibiwa simu zangu kama 3 hivi...(kila moja ilikuwa na matumizi yake ikiwemo ya shughuli za dukani).
Basi nikaelekezwa kwenda pale makanya sehemu inaitwa nkwini. Nimefika mzee akaniambia utazipata tu.
Basi akanipigisha kambi kama siku 3 kwake ila usiku wa manane ananiamsha tunatoka nje kuna upande tunasimama halafu kuna maneno anaongea na mimi ananiambia niongee maneno flani.
Basi akaniambia nikanunue mbuzi wale wa rangi za brown na kuku wa nkama sijui. Kwa ajili ya kuniangalia matatizo yangu lakini pia itolewe kama sadaka yani watu waitwe wale na chakula kipikwe.
Basi siku ya mnada wa makanya j5 tukaenda na mwanae ikantoka kama 80 elfu hivi kununua mbuzi na jogoo.
Basi akamchinja yule mbuzi akachukua utumbo wake akawa anaangalia vitu flani.
Kupitia ule utumbo aliniambia anaona msiba kwenye familia yangu ila sio mimi nitakaekufa
Pia anaona nina nyota ya hela na kuna utajiri mkubwa mbeleni (sasa sijawa tajiri ila mtaji upo mahali unakuja na nishauzoom).
Na sijalogwa sema ni matatizo tu madogo madogo ambayo mengine niliyasababisha mimi mwenyewe na kuna jambo akanilataza nisilofanye kwani litaharibu baraka zangu na malaika wanaonilinda watachukia.
Pia aliniambia jambo lingine ambalo sijalitaja nalo likawa vile vile.
Kingine akaniambia mwanaume niliye naye japo ninampenda sana hanifai kabisaa na atanisumbua sana mbeleni.
Haya yote aliyoyasema yalitimia kwa asilimia 100% na simu nilikuja kuzipata na aliyenikaba kwakuwa sura nilimkumbuka ndo alikamatwa (yani aliiba June 2019 akaja kukamatwa October 2019) akalipa gharama zote.
Sema huyu mzee mganga kwa jina la Wandile alikuja kufa na korona mwaka jana mwanzoni.
Ila alikuwa hatarii
So waganga wapo na wana maajabu watu muache ubishi
Tuelezee kidogo ilikuaje mi naomba tu hyo number😄🤣🤣🤣🤣dah kweli
Kazi imeenda ilivyo takiwa na jambo langu limeisha
Na wana Jf ndio mlinisaidia,wakati nawatafuta hapa nilikuwa na stress vibaya
Kazi imeisha
Nirushie na mie hyo number@Maya Angelou hongera kwa kulifanikisha jambo, nakuja pm mambo ni mengi muda mchache [emoji23]
Nitumie pmHata Mimi ninayo namba ya mganga wa kienyeji yaani atafanya mambo yote. Je nikupe jina na namba zake?
Dodoma zaidi ya kufuga fisi sijui kama wana ujanja mwingineMorogoro au Dodoma mnitafutie chimbo la uhakika,na mimi nina jambo langu
Sent from my SM-A135F using JamiiForums mobile app
Mkuu tupatie ili tuonueshane makali vizuriHata Mimi ninayo namba ya mganga wa kienyeji yaani atafanya mambo yote. Je nikupe jina na namba zake?
Alikuwa mganga wa kienyeji na sio wa duaHuyu mzee alikuwa mganga wa kienyeji au wale wanaosoma dua?
Mkuu kama mtu kavuka mipaka toa onyo uwenda akajiludi....Poleni na majukumu ya kila siku
Nimekuja na ID yangu hii sina haja ya kujificha
Moja kwa moja kwenye mada,nahitaji msaada kama kuna mtu anamjua mganga wa uhakika anifanyie kazi yangu, kuna waganga huwa nasikia wanatoa watu mabusha, wanatuma majini au kumpa mtu ugonjwa nahitaji mganga wa hivyo
Hii dunia ina mengi,na ikifika kipindi cha vita unaambiwa usichague silaha,nahitaji jambo langu likamilike kwasababu kuna watu wanaweza kukukosea heshima mpaka wakapitiliza, ukimya na subira ni muhimu lakini kuna watu huwa wanaona kama umezubaa
Nikifanikiwa kazi yangu nitakupa ya shukrani sina hiyana
Watu wa mahubiri hapa sio sehemu yake.
Nawashukuruni naamini nitapata msaada wenu
Liwale ya lindi auKama upo series kabisaa.
Panda basi nenda hapo Liwale, kuna kijiji kinaitwa Ngende.