Natafuta mtu mwenye asili ya Kihindi kumuajiri au kufanya naye biashara

Kwenye Aya yako ya mwisho ninayo mifano kadhaa hapo kariakoo
 
Nani kakuambia mimi ni msomi? Alafu kuwa mwalimu wa kiswahili usijione kuwa sisi sote ni wanafunzi wako.Humu kwenye social media hayo ma Mofimu,vishazi huru na vitegemezi hatuna shida nazo tupo na rejesta zetu na tunaelewana
Muajiriwa ngazi za juu kidogo serikalini na si msomi!?..nyinyi ndiyo product ya memkwa!?..
 
Muajiriwa nafasi ya juu kuandika huwezi, kiswahili hujui
1.Hiyo biashara yako nakushauri uipeleke india. Inafaa zaidi ukaishi na waaminifu wenzako. Kama uliweza kukaa na mwizi you are a man of experince, There is always a solution to every problem,

2.Malengo yako ni ya kichoyo; kuua biashara za wengine ambazo ndio risky zao ni plan ya Ki-IDDI AMINI.

3. Ukiajiri muhindi utamlipa mara 2 au mara tatu ya mtanzania. Halafu unasema muhindi sio mwizi. Kaka uaminifu unajengwa na haimaanishi hakuna mtanzania mwaminifu. Ila kama wewe sio mwaminifu katika kazi uliyokuwa unafanya, ni wazi hata ukipata mtu mwenye degree ya uaminifu anaweza akawa sio mwaminifu kwako. Lakini cha msingi ajiri mtanzania mwenzako na ukubali changamoto zitakuwepo. Na kazi yako kubwa iwe kukabiliana na hizo changamoto.
 
Wasomi wetu wamepokea hay

Una roho mbaya sana mwamba! Kwani huwezi kufanya tu biashara bila kuua biashara za wenzio? Ukienda pupa hutoboi na mtaji wako!
Kutotoboa au kutoboa hakuwezi kuletwa na comment yako au mpango wangu kufanya biashara.
 
Sema watz waaminifu ni wachache sana, mtu anakuja ana shida lakini akishaanza kuzoea kazi tu ile graph ya utendaji inashuka taratibu na kama ni sales au profit taratibu inashuka ukizubaa unafunga biashara au wewe ndio uwe dukani kama bosi halafu watz wenzako wawe watu wa kuwaagiza leta hili mpe mteja hiki nk...changamoto ya mhindi ni kukuibia kitaalumu, akishajanjaruka tu na yy tayari anakwenda kufungua duka lake ambapo si vibaya lakini jua mtaji katoa kwako (kakuibia kijanja)....

Mimi nadhani biashara ni Bora ufanye ndio maisha yako yaani uwe dukani ndio main controller mkuu hasa Kwa maduka haya ya mitaji ya chini na kati hapo ndipo mafanikio yanapokuja na hao waasia wote TZ hii utaona wana hizo tabia za kukaa dukani kuona development ya biashara zao, hivyo kimsingi biashara unapokuwa nayo mbali ndipo una nafasi kubwa ya kupoteza ulingoni.
 
Hiyo ukaguzi wa kila siku ndo kazi ngumu kwangu kwa sababu vifaa vya pikipiki ni vidogo vidogo na pia mimi huwa nasafiri sana nataka kumuacha mtu huku nyuma ninaemuamini ambae anaweza jisimamia
Usiweke hela yako ktk biashara ,hauko tayari kuifanya. Trust me, binadamu wote ni sawa, especially wakiwa wana deal na kitu ambacho sio chao.

Nani kakudanganya hao wahindi Sio wapigaji, hujawajua tu well. Unao waona wapo na connection ya hiyo biashara na circle yao ndogo, kwamba akipiga tukio kwa wenzao wataenda wapi??

Juzi tu kuna saga lililetwa humu Jf kuna mhindi ana kampuni 4 za Real Estate anawatapeli watu kigamboni, usipagawe na asili ya mtu, atakupiga hela ,maana wew unatafuta mtu aliye kudhidi akili, exposure na usimamizi huyo mtu hawezi kuwa Your loyal Dog.

Biashara, komaaaa nayo kuisimamisha tena anza na small scale,ingawa mtaji unao anzia chini hadi utapo ijua vyema. Hatua inayofata andaa system, mambo yawe yanaenda yenyewe kama Kampuni, hapo ndio wewe utakuwa salama kuwa pembeni na biashara.

Ni asili ya binadamu kujitanguliza kwanza, Kuwa makini. Kosa unalofanya unaamini ktk kabila , mara utafute binti wa kichaga, mara Mhindi,No. Na usifanye kazi na ndugu, andaaa mikataba ya kazi, wadhamini waepo , mtu aone hiii kitu serious niki mess up Kuna A B C, usingizi mambo ya Myth na hearsay za kabila,dini,ukanda au asili.

Tumia hao wachina kujifunza management ya biashara.
 
Watu weusi tatizo
 
Kwa asilimia kidogo naunga mkono kwamba sisi ngozi nyeusi walio wengi sio wa aminifu wamejaa tamaa ya utajiri sana kitu ambacho kinafanya utajiri wenyewe uwe katika ndoto tuu.
Kulala nakuamka tajiri ndio ndoto kubwa ya mbongo.
 
Kwanini Wabongo wanapenda Biashara ya maduka?
Kama una uwezo wa kupata pesa ndefu kama hiyo kila mwaka;kama upo Dar es salaam wekeza kwenye ujenzi wa nyumba za kupangisha na ununuzi wa Viwanja na mashamba...
Yaani ujenge nyumba kwa gharama halafu uanze kusubiria Kodi ya laki na nusu kwa mwezi,,mpk urudishe pesa yako itakuwa miaka mingapi vile?
 
Bora nilipe double salary kuliko niajiri mwizi.Asante kwa ushauri lakini
 
Wizi Hauna mahusiano yoyote na kuwa mweusi,

Wizi unaanzia ndani,

Aliye na Mungu, mtu wa HAKI hawezi kukuibia.

Watu wawe na HOFU ya Mungu,

Pia matajiri waache Roho mbaya, akiona mfanyakazi amenunua baiskeli au pkpk tayari inaanza mchukia, ni vyema kufurahia mafanikio ya mfanyakazi wako.
 
kwa sababu target yangu mimi ni kuua biashara za wenye viduka vidogo vidogo vya spear hapa wilayani ili nitawale soko. Kama ndo lengo lako hutakaa ufanikiwe,biashara haiwi hivo unaroho mbaya sana
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…