Natafuta mume bora kutoka JamiiForums

Natafuta mume bora kutoka JamiiForums

yuko Lloyd Munroe mbona ? kamechisha vigezo vyote hapo
FB_IMG_16919162713974893.jpg
 
Nazani ameitaja ili kuonesha hayupo vizuri kiuchumi.

Nazani unaujua wimbo wa diamond kwetu mbagalaaa

Kwa mbiki ni sehemu ipo ndani ya uswazi ya mbagala
Ahaa okey. Kuna kwa mbiki nyingine ninayoijua mimi sio mbagala japo nako ni uswahilini tu
 
Swali zuri best ulikosa mkopo maana watu wengi wakaribu wamesoma na mkopo wa serikali jaribu kuapply ukisubiria mume mwema maana wapo wala usijali mambo ya hao
 
Ahaa okey. Kuna kwa mbiki nyingine ninayoijua mimi sio mbagala japo nako ni uswahilini tu

Kwa mbiki ya wapi hiyo yako ? Kwa mbiki ya mbagala Kuna wimbo wa bongo fleva wa zamani wa msanii alikuwa anaitwa bwana mkubwa unaitwa sister du unataka kuja home.

Ndio ulionesha mitaa ya mbagala kwa mbikii... uswazi balaa
 
Ipo nyingine Chanika
 
Nakutakia kufanikiwa ndugu mleta mada, wengi wetu tunapitia na tumepitia hali kama yako,tulikosa hata wa kutufariji wala kutupa moyo ila tulikuja kuwa oky.
Iwe heri na wepesi kwako .
 
Back
Top Bottom