Natafuta mwanamke Bikra wa kuoa

😅😅 weee huwajui watu wa humu wanapenda either kwa kujua au kutokujua wanaleta mada ambazo
haziendani na hadhira.
 
Futa hiyo comment matusi nayajua sana na uzoefu wa kupigwa ban ninao, kama ulijua huna vizego nilivyovitaja ni bora unakaa kimya kuliko kunitajia mzazi wangu, sidhani kama utafurahi nikimtukana mama yako
Nimekwambia omba akupe uzoefu wake kwa uelewa wake hicho unachotafuta kams pia kwake kilihusika
 
Umeua kaka mjadafa ufungwe
 
Haujatukanwa, hayo ni maongezi ya kawaida tu.
Kama bikira ni kitu muhimu sana kuna shida gani kumuuliza mama au shangazi yako kama waliolewa wakiwa bikira?!
Lengo la uzi ni kumpata mwanamke mwenye hizo sifa, kama unajijua huna sifa hizo ungekaa kimya
 
Daa! Bikira inatafutwa JF! Humu hata ukibahatika kumpata atakayedai anayo, uwezekano mkubwa ni kwamba itakuwa ni feki, yaani bikira ya kughushi.
 
Daa! Bikira inatafutwa JF! Humu hata ukibahatika kumpata atakayedai anayo, uwezekano mkubwa ni kwamba itakuwa ni feki, yaani bikira ya kughushi.
Utajuaje mwanamke ni bikira?
Utajuaje bikira halisi tofauti na ya kughushi?
 
Mama yako anacho kiota?
Sijamuuliza sababu wewe umeuliza humu ndio nashauri anzia kwanza kumuuliza mama yako kabla kuuliza watoto wa kike wa watu wengine kama wana bikra kabla kuolewa na wewe

Mama yako ndio chaweza kuwa kipimo kizuri sana cha kujua utampata huyo bikra au la

Charity begins at home .Mhoji usiogope.mhoji kabla ya kuolewa alikuwa na bikra au la?
 
Na mimi nikakuambia umkague mama yako kama kiota anacho maana nakumbuka nilimtolea kiota
 
Hakuna bikra akatumie jua jf fb na insta nibishie hapa nikupe fact
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…