Natafuta mwanamke wa kuzaa naye

Male 42, natafuta mwanamke wakuzaa nae japo na mie niitwe baba.

Huduma zote kuanzia mimba inapoingia mpaka kujifungua na malezi ya mtoto na mama yote juu yangu.

Mwanamke awe tayari kushika mimba kabla ya mwaka huu kuisha.
Njoo na hati ya nyumba kabisa ukikimbia basi nabaki na hati
 
Sema mkuu...nipo bwana nataka kupata katoto ila pm mpaka sasa hamna kitu😭😭😭😭😭
Wa huku wanajifanyaga classic jaribu fb naamin utawakimbia ila ingependeza kama ungeweka na kamshahara hata elfu 60 kwa kila mwezi kwa muda wote wa uzazi na ulezi
 
Wa huku wanajifanyaga classic jaribu fb naamin utawakimbia ila ingependeza kama ungeweka na kamshahara hata elfu 60 kwa kila mwezi kwa muda wote wa uzazi na ulezi
Mwanamke atapata bodaboda mbili kwa jina lake. Hizo zitamsaidia katika kuendesha maisha ya umama
 
Eeeh ccy

Huu Uzi ajauandika yeye ameandika wifi yetu kaa mbali kabisa simu imebebwa toka jana usiku πŸ™†πŸ™†πŸ™†πŸ™† Imekuaje Leo muandiko umekua wa hasira🀣🀣🀣🀣 kuna namna
Eeeh ccy

Huu Uzi ajauandika yeye ameandika wifi yetu kaa mbali kabisa simu imebebwa toka jana usiku πŸ™†πŸ™†πŸ™†πŸ™† Imekuaje Leo muandiko umekua wa hasira🀣🀣🀣🀣 kuna namna
Kabisa yaan🀣
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…