Natafuta mwanamke wa kuzaa naye

Natafuta mwanamke wa kuzaa naye

Sema mkuu...nipo bwana nataka kupata katoto ila pm mpaka sasa hamna kitu😭😭😭😭😭
Wa huku wanajifanyaga classic jaribu fb naamin utawakimbia ila ingependeza kama ungeweka na kamshahara hata elfu 60 kwa kila mwezi kwa muda wote wa uzazi na ulezi
 
Mwanamke atapata bodaboda mbili kwa jina lake. Hizo zitamsaidia katika kuendesha maisha ya umama
 
Eeeh ccy

Huu Uzi ajauandika yeye ameandika wifi yetu kaa mbali kabisa simu imebebwa toka jana usiku 🙆🙆🙆🙆 Imekuaje Leo muandiko umekua wa hasira🤣🤣🤣🤣 kuna namna

Kabisa yaan🤣
 
Back
Top Bottom