Akilindogosana
JF-Expert Member
- Jan 12, 2020
- 4,303
- 12,679
😂Lazima kabisa...tako skonsi kama mawardat
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
😂Lazima kabisa...tako skonsi kama mawardat
Huu Uzi ajauandika yeye ameandika wifi yetu kaa mbali kabisa simu imebebwa toka jana usiku 🙆🙆🙆🙆 Imekuaje Leo muandiko umekua wa hasira🤣🤣🤣🤣 kuna namna
Njoo na hati ya nyumba kabisa ukikimbia basi nabaki na hatiMale 42, natafuta mwanamke wakuzaa nae japo na mie niitwe baba.
Huduma zote kuanzia mimba inapoingia mpaka kujifungua na malezi ya mtoto na mama yote juu yangu.
Mwanamke awe tayari kushika mimba kabla ya mwaka huu kuisha.
Hati ya nyumba sina ila nitakukabisdhi bodaboda mbili ili ziwe zinakupatia hela za matunzo ya mtotoNjoo na hati ya nyumba kabisa ukikimbia basi nabaki na hati
Boda boda kabisaHati ya nyumba sina ila nitakukabisdhi bodaboda mbili ili ziwe zinakupatia hela za matunzo ya mtoto
Ndio nakupatia mbili kwa jina lakoBoda boda kabisa
😂😂😂Ila jamaniNdio nakupatia mbili kwa jina lako
Umeona mwanawane muhimu kuwa na mtotoIla kweli kukaa na mwanamke ni kipengele, na ukifilisika anakimbia,
Mtoto ndo kila kitu
Sema mkuu...nipo bwana nataka kupata katoto ila pm mpaka sasa hamna kituðŸ˜ðŸ˜ðŸ˜ðŸ˜ðŸ˜Aisee,mzee wa mbususu
vuta subra akina Demi wako bize kutengeneza ID nyingine wakuzamie peeemupm mpaka sasa hamna kitu
Wa huku wanajifanyaga classic jaribu fb naamin utawakimbia ila ingependeza kama ungeweka na kamshahara hata elfu 60 kwa kila mwezi kwa muda wote wa uzazi na uleziSema mkuu...nipo bwana nataka kupata katoto ila pm mpaka sasa hamna kituðŸ˜ðŸ˜ðŸ˜ðŸ˜ðŸ˜
Mwanamke atapata bodaboda mbili kwa jina lake. Hizo zitamsaidia katika kuendesha maisha ya umamaWa huku wanajifanyaga classic jaribu fb naamin utawakimbia ila ingependeza kama ungeweka na kamshahara hata elfu 60 kwa kila mwezi kwa muda wote wa uzazi na ulezi
Kama ni hivyo basi ni vizur,ila nenda fbMwanamke atapata bodaboda mbili kwa jina lake. Hizo zitamsaidia katika kuendesha maisha ya umama
Eeeh ccy
Huu Uzi ajauandika yeye ameandika wifi yetu kaa mbali kabisa simu imebebwa toka jana usiku 🙆🙆🙆🙆 Imekuaje Leo muandiko umekua wa hasira🤣🤣🤣🤣 kuna namna
Kabisa yaan🤣Eeeh ccy
Huu Uzi ajauandika yeye ameandika wifi yetu kaa mbali kabisa simu imebebwa toka jana usiku 🙆🙆🙆🙆 Imekuaje Leo muandiko umekua wa hasira🤣🤣🤣🤣 kuna namna