Wanawake wa aina yako mara nyingi huishia tu kuchezewa na wahuni na baadaye kutupwa dampo. Kwa sababu hadi unafikia huo umri wa miaka 35 umeshakutana na wanaume wengi tu! Wazuri na wabaya. Bahati mbaya ulishindwa kufanya uchaguzi sahihi. Kwa hiyo usitegemee utapata chaguo sahihi kwa wakati huu.Habari wana JamiiForums,
Mimi ni mwanamke mwenye umri wa miaka 35, nipo kwenye hatua ya maisha ambayo ningependa kukutana na mwanaume mwenye mtazamo wa ndoa na kujenga familia.
Ninayemtafuta ni mwanaume mwenye umri wa miaka 38–45, Mkristo, mwenye heshima, uaminifu, upendo, hekima na anayejua anachotaka katika maisha.
Kwa upande wa familia, ningependelea mwanaume km ana watoto wasiozidi wawili.
Sina haraka ya kuingia kwenye uhusiano kwa sababu ya kuwa tu kwenye uhusiano. Ningependa kwanza tufahamiane vizuri, tujenge mawasiliano yenye heshima na kuona kama tunalingana kimtazamo, kitabia na katika malengo ya maisha. Ikiwa Mungu akipenda, lengo liwe ndoa na familia yenye amani na upendo.
Mwanaume mwenye nia ya dhati na anayejiona kwenye maelezo haya, karibu tuanze kufahamiana. 😊❤️
Asanteni.
Huenda mpaka 35 bahati yake ilikuwa bado. Mama yangu mdogo aliolewa akiwa 40 ila hakuwa na mtoto. Wapo mpaka dadika hii na mume wake yeye yupo 78 sasaWanawake wa aina yako mara nyingi huishia tu kuchezewa na wahuni na baadaye kutupwa dampo. Kwa sababu hadi unafikia huo umri wa miaka 35 umeshakutana na wanaume wengi tu! Wazuri na wabaya. Bahati mbaya ulishindwa kufanya uchaguzi sahihi. Kwa hiyo usitegemee utapata chaguo sahihi kwa wakati huu.
Singomaza huyo jamani anaomba nusra, hawa akina Natafuta AjiraHabari wana JamiiForums,
Mimi ni mwanamke mwenye umri wa miaka 35, nipo kwenye hatua ya maisha ambayo ningependa kukutana na mwanaume mwenye mtazamo wa ndoa na kujenga familia.
Ninayemtafuta ni mwanaume mwenye umri wa miaka 38–45, Mkristo, mwenye heshima, uaminifu, upendo, hekima na anayejua anachotaka katika maisha.
Kwa upande wa familia, ningependelea mwanaume km ana watoto wasiozidi wawili.
Sina haraka ya kuingia kwenye uhusiano kwa sababu ya kuwa tu kwenye uhusiano. Ningependa kwanza tufahamiane vizuri, tujenge mawasiliano yenye heshima na kuona kama tunalingana kimtazamo, kitabia na katika malengo ya maisha. Ikiwa Mungu akipenda, lengo liwe ndoa na familia yenye amani na upendo.
Mwanaume mwenye nia ya dhati na anayejiona kwenye maelezo haya, karibu tuanze kufahamiana. 😊❤️
Asanteni.
Mungu akupe haja ya moyo wako.Habari wana JamiiForums,

Daktari naona kama unapiga kwenye mshono mara 2 hivi.Wanawake wa aina yako mara nyingi huishia tu kuchezewa na wahuni na baadaye kutupwa dampo. Kwa sababu hadi unafikia huo umri wa miaka 35 umeshakutana na wanaume wengi tu! Wazuri na wabaya. Bahati mbaya ulishindwa kufanya uchaguzi sahihi. Kwa hiyo usitegemee utapata chaguo sahihi kwa wakati huu.
Awe anajua anachokitaka kwenye maisha si ndy 😂😂😂😂. Sawa atapatikana na umesema Kwa uchache awe na watoto 2 si ndy na awe na umri kuanzia miaka 38-40 basi usijali wapo na watakuja mremboHabari wana JamiiForums,
Mimi ni mwanamke mwenye umri wa miaka 35, nipo kwenye hatua ya maisha ambayo ningependa kukutana na mwanaume mwenye mtazamo wa ndoa na kujenga familia.
Ninayemtafuta ni mwanaume mwenye umri wa miaka 38–45, Mkristo, mwenye heshima, uaminifu, upendo, hekima na anayejua anachotaka katika maisha.
Kwa upande wa familia, ningependelea mwanaume km ana watoto wasiozidi wawili.
Sina haraka ya kuingia kwenye uhusiano kwa sababu ya kuwa tu kwenye uhusiano. Ningependa kwanza tufahamiane vizuri, tujenge mawasiliano yenye heshima na kuona kama tunalingana kimtazamo, kitabia na katika malengo ya maisha. Ikiwa Mungu akipenda, lengo liwe ndoa na familia yenye amani na upendo.
Mwanaume mwenye nia ya dhati na anayejiona kwenye maelezo haya, karibu tuanze kufahamiana. 😊❤️
Asanteni.
Habari wana JamiiForums,

Siyo kwa ubaya, kama unataka mtoto jitahidi ndani ya hii miaka miwili upate hata bila ndoa coz kwenye uzazi upo nyuma ya ratiba hasa kwenye nchi zetu.ningependa kukutana na mwanaume mwenye mtazamo wa ndoa na kujenga familia.