Natafuta mwanaume wa kujenga naye familia❤

Ongezea kabila lako hapa, na kama una mtoto/watoto elezea pia.

Kuna wanaume wana kesi tofauti na sababu zinazokubalika Za wao kuwa single lakini wanapenda kuowa mwanamke ambaye ana mtoto/watoto, wana good reason juu ya hilo.
 
Wenzako wanapigwa shaba wewe huogopi?
 
1. Ulishazaa? au bado?

2. Kabila lako? Dini yako?

3. Utakuwa tayari kuhama location yako (relocation) kufuata mume?

4. Apart from sexx, what do you have to offer kwenye family?

-Kaveli-
 
Ungependa kwanza mfahamiane vizuri kivipi??Hayo mawasiliano ya heshima kwanza ndo yapi??
Mambo ya mahusiano yanatawaliwa na hisia, kumkubali mtu bila sababu, ni chances tu.
Ukianza kupiga hesabu kali hizo kama unafanya research utapata tabu sana. Mpende kwanza au yeye akupende, then amueni kupambana kusaidiana pamoja.Hamna hesabu hapo
 
Wabillah tawfiq
 
Uko tayari na umejiandaa vilivyo !? Maana, ndo siku hizi sio kama enzi zile za Mababu !!
 
Utapata mtu sahihi wa kukuoa dada na uta enjoy life ya ndoa mimi naamini hivyo.
 
Unaweza kukuta kwenye ile ID yako ya zamani ulikua na nyodo kinoma,

Ndio maana ukafungua ID mpya.
Msimkatishe tamaa hili ni swala sensitive sana nashangaa wanaume nao wanatafuta wa kuwaoa humu humu wakati wanaotaka kuolewa wapo tayari na vigezo wanataka imani na uaminifu tu sio degree wala visa ATM.
 
Ninayemtafuta ni mwanaume mwenye umri wa miaka 38–45, Mkristo, mwenye heshima, uaminifu, upendo, hekima na anayejua anachotaka katika maisha.
Unakosea kututenga Sisi wa 50's ya jioni
 
Ukikosa kabisa, uje hapa nikupe kampani za hapa na pale za kukutoa upweke.
 
Jua la jiooni, wamesugua wee imeota sugu
.......unatFuta wa kumuanguashia jumba bovu sio
 

Hii umeitoa wapi? Kuna amri au sheria inayosema ukifika umri fulan hupaswi kuoa au kuolewa , Mtu anaolewa au kuoa akiwa na huo utayar na sio umri fulani
 
Sasa mbona nimekubali hujibu chochote, au una nitega mku
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…