Natafuta mwanaume wa kujenga naye familia❤

Dahhh......😒
Hapo kwenye uaminifu pamefanya nimekosa mke walahi...🙈
Yaani niliposoma tu, nikasema hammad.... mke nishapata...😋
 
Umetoa boko Tate
 
Huenda mpaka 35 bahati yake ilikuwa bado. Mama yangu mdogo aliolewa akiwa 40 ila hakuwa na mtoto. Wapo mpaka dadika hii na mume wake yeye yupo 78 sasa
Uko sahihi watu wanaolewa na miaka 60 (nina ushuhuda kwenye hili) sembuse miaka 30's
 
Hii umeitoa wapi? Kuna amri au sheria inayosema ukifika umri fulan hupaswi kuoa au kuolewa , Mtu anaolewa au kuoa akiwa na huo utayar na sio umri fulani
Sawa. Utuambie sasa kama una mtoto/watoto, au huna. Kwa maana umeongelea habari za watoto wawili wa mwanaume pekee. Kuficha ficha mambo siyo vizuri
 
TATIZO MNAKUWAGA NA KIBURI SANA.
Arrounds 26 mnakuwa na Ujeuri na malingo mengi sana.
Mnaacha wanaume wa maana kwa kuendekeza tamaa za Fedha, Urefu, Weusi nk.

Kila kitu kwenye maisha kina hatua/Msimu
Utapata wa kufanana nae.

Wanawake punguzeni Ujeuri na kiburi.
 
Wenye bastola aka mguu wa Kuku pia tuje?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…