Natafuta rafiki wa kike

Hahaha! Eti ndoa ilivunjika au mliivunja[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Habari za mida wakuu natumaini muwazima wa afya, husika na kichwa cha Habari hapo juu. Natafuta rafiki wa kike umri 25-29,awe mkristo asiwe mlevi, awe msafi mpenda kazi anae amini katika kijiajiri sio kuajiriwa. Ambaye yuko tayari aje PM. Asanteni.
 
Habari za mida wakuu natumaini muwazima wa afya, husika na kichwa cha Habari hapo juu. Natafuta rafiki wa kike umri 25-29,awe mkristo asiwe mlevi, awe msafi mpenda kazi anae amini katika kijiajiri sio kuajiriwa. Ambaye yuko tayari aje PM. Asanteni.
Asiye mkristo, mlevi, mchafu na mvivu atabadilishwa na nani kitabia ikiwa wewe unayejitambua vizuri umeshambagua?

"Time is wealthy when it's timed consecutively"



Sent using Jamii Forums mobile app
 
Huko mtaani hamuishi na watu hadi humu mtapata mazombi kuweni makini.
 
Awe below 29yrs Old,
awe mcheshi, msomi angalau kidato cha sita!
anayejitambua na kujiamini!
Mkristo mwenye hofu ya MUNGU.
 
 
Sawa bi idhini llah utaniambia wapi tuonane insha Allah M/mungu anaweza Leta wepesi
 
Ok,uislamu ni kusaidiana,nami pia ni mtafutaji nahitaji mwanamke mwenye umri wa kuanzia 25 hadi 30,ila asiwe na mtoto,akiwa na kakishughuli kidogo cha kumuingizia riziki ni bora zaidi,cha mwisho awe ni mwenye kujielewa na utayari wa ndoa,Msaada wako tafadhali
 
hellow humu ndani mm mgeni ila sitafuti mpenzi natafuta marafki, nasikia wanasema new id matatizo cjui ndo inamaana gan mm mgen plz ufafanuzi
 
Sasa we awe muislam utakua unatafuta muhumini mwenzio na sio rafiki utaachika tena badili upande


Sent from my iPhone using JamiiForums
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…