Jinsia yakoHabari wanajamvi poleni na uchovu,,mimi ni kijana 26 yrs,ni mfanyakazi serikalini muda wa kazi jumatatu mpaka ijumaa nakuwa busy ila sio saana,nahitaji marafiki wa kushahuliana mambo mazuri na hata ushauri wa maisha,pia nahitaji saana marafiki wakweli na wahaminifu.so nahitaji watu ambao wkend wapo off ili tupate muda mwingi wa kupiga story,kutembeleana,kwenda fukwe Za bahari na ku enjoy effectively,Mimi nina usafiri so kwa marafiki wanaokaa DSM itapendeZa saana.Mimi ninaishi Mbezi Africana, kwa mawasiliano njoo PM au 0622109759.
jinsia yangu yakiume
nimesema rafiki wa kawaida kuepusha maswali kama yako ya wana Jf,hapo wangeanza kusema natafuta mwanamke,nooo sihitaji mwanamke tena ikiwezekana hao marafiki wawe wakiume tu kama mm,kazi yangu bro huitaji kuijua kihiiiivyo saaana,napenda saana kupiga story kubadilishana Idea,sijazungumza kumtoa mtu out bro umeni quote vibaya,ila hvyo vitu vya kutoana out ni vya kawaida saana ndugu yanguMaswali
1. Toa tafsiri ya rafiki wa kawaida na asiye wa kawaida
2. Unafanya kazi gani, maana hapo ndio mtaanzia urafiki, kama ni mhasibu, mhudumu, au asiyejulikana anataka kujua wanaJF wasiojulikana.
3. Unapendelea vitu gani, maana hii ni muhimu katika kuanzisha urafiki.
4. Vitu gani usivyopenda, asije mtu akafanya kwako na urafiki ukaishia hapo.
5. Kwa mshahara wa Serikali ya JPM je unaweza kulipa gharama zote za out maana wanaweza jitokeza kuwa rafiki na hawana uwezo wa kujilipia wakiwa outing.
Wewe ni muhaya?Habari wanajamvi poleni na uchovu,,mimi ni kijana 26 yrs,ni mfanyakazi serikalini muda wa kazi jumatatu mpaka ijumaa nakuwa busy ila sio saana,nahitaji marafiki wa kushahuliana mambo mazuri na hata ushauri wa maisha,pia nahitaji saana marafiki wakweli na wahaminifu.so nahitaji watu ambao wkend wapo off ili tupate muda mwingi wa kupiga story,kutembeleana,kwenda fukwe Za bahari na ku enjoy effectively,Mimi nina usafiri so kwa marafiki wanaokaa DSM itapendeZa saana.Mimi ninaishi Mbezi Africana, kwa mawasiliano njoo PM au 0622109759.
Kama ni muhaya, muhaya mwenzie huyu hapa joshua_okWewe ni muhaya?
Sent using Jamii Forums mobile app
M-badilishane na meno kama ukimpata.
Unatafuta dem kijanja!
Anakuja
haha wapo ila nimeona niongezee na wa if.kuwa careful nko njema sana ,kuhusu kupambania Hali yangu kitambo sana.kuhusu kuniita dogo hujajua umri wangu badohapo mtaani kwenu hakuna wa kubadilishana naye Hayo mawazo? Be careful pambana na hali yako dogo
Acha kuzunguka wewe.....anyway ushaeleweka.habari za sahizi,niende kwenye mada husika,mimi kijana 22yrs natafta rafiki wa kike wa kubadilishananae mawazo ya kimaisha.
wapi nmezunguka[emoji28].au sku hiz maneno yanazungukagaAcha kuzunguka wewe.....anyway ushaeleweka.