Natafuta rafiki wa kike

Naelekea 33
Kama hutojali, njoo pm tuyajenge.
 
33 hutopata....umri huo tayari wanamilikiwa na wanashikiliwa haswa....na ukimpata ni mzigo.

Kwa sasa jichukulie under 28 au 50+....hapo utapata..
 
Mpaka unafikisha miaka 33 ulikwama wapi and still unaibuka na masharti. Naamini akitokea unayemtaka ila ukute hana hiki au kile utaanza oooh miaka yote huna gari wala nyumba.

Dada

Nakuombea pia ila pole sana
 
Miaka 33 ambaye hajaoa? Mim siombi upunguze miaka bali naomba ukubali kua Mchepuko
 
Unatafuta rafiki mwenye shughuli ya kuingiza kipato halali ?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…