Natafuta rafiki wa kike

Natafuta rafiki wa kike

Naelekea 33
Kama hutojali, njoo pm tuyajenge.
 
33 hutopata....umri huo tayari wanamilikiwa na wanashikiliwa haswa....na ukimpata ni mzigo.

Kwa sasa jichukulie under 28 au 50+....hapo utapata..
 
Mpaka unafikisha miaka 33 ulikwama wapi and still unaibuka na masharti. Naamini akitokea unayemtaka ila ukute hana hiki au kile utaanza oooh miaka yote huna gari wala nyumba.

Dada

Nakuombea pia ila pole sana
 
Mimi ni mwanamke mwenye umri wa miaka 33. natafuta rafiki wa kiume wa umri wa kuanzia miaka 33 na kuendelea tukiridhiana twaweza kuwa wapenzi au kuweza kupata mtoto/watoto pamoja.
Asiwe na familia nikimaanisha mke, awe mcha Mungu, mchapakazi na awe na shughuli halali ya kumuingizia kipato. aliye tayari basi tuwasiliane
Unatafuta rafiki mwenye shughuli ya kuingiza kipato halali ?
 
Back
Top Bottom