Natafuta rafiki wa kike

135 cry,
Hizo sifa itabidi ujioe mwenyewe!!!! ninyi ndio akina abitoke mnaojiingiza kwa wapaka poda wanaoishi maisha yasio na uhalisia, maisha ya club saluni na kuvalishwa nguo na maduka ya nguo ili kutangaza, hana geto na kama analo hawezi kukupeleka. Unapotaka kuolewa ondoa masharti kubali kuanzia chini kama maisha au elimu muitafute pamoja kw kujenga tabia na uchumi wa pamoja.
 
Acha na mm nikupe zangu

1 usizid miaka30
2 uwe na masters
3 uwe na kazi au biashara ya kukuingizia kipato
4 usinitegemee kwa chochote ila kwa kuchakatwa tuu
5 usiwe na mtoto
6 usiwe kabila lolote
7uwe mrembo hasa uwe mweupe sio wa kujichubua uko nyuma uwe na nyama za kutosha
8 uwe msafi
9 uwe na nyumba ya kuishi yani umejenga
10 kama unasifa hizo njo pm

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…