Natafuta rafiki wa kike

Natafuta rafiki wa kike

Unaweza kutolea maelezo kabla sijakuamini?
ndiyo

YOGA
a Hindu spiritual and ascetic discipline, a part of which, including breath control, simple meditation, and the adoption of specific bodily postures, is widely practised for health and relaxation.
 
ndiyo

YOGA
a Hindu spiritual and ascetic discipline, a part of which, including breath control, simple meditation, and the adoption of specific bodily postures, is widely practised for health and relaxation.
Sikutaja YOGA, ni Meditation.

How's meditation related to the devil?
 
Habari zenu wapendwa natafuta rafiki wa kike ambae ana uwezo wa kuishi nae kwa mda wa mwezi mmoja au wiki kazaaa

Kuhusu mahitaji ya pango ntakua nachangia baada ya hapo ntajitegemea nimeona watu wengi wananiambia dar Kuna shuguri nyingi.

Naomba kwa mwenye nafasi anapo ishi anitafute pm.
 
Ukaishi na "rafiki" wa kike?
Kwanini sio wa kiume?
 
Weka wazi, kwani wewe ndio unasaga au unasagwa, ni kweli dar hizo shuguri zipo nyingi sana
 
Hello there; natafuta rafiki especially wa jinsia K wa kufurahia maisha. I am just a cool normal guy, educated, late 20's, employed in private sector. I like watching movies, reading novels, travelling, outgoing, also eating is my favourite thing. I would like to meet someone who atleast share the same hobbies. Simple like that

Interested?? Pls PM
 
Back
Top Bottom