Natafuta sana hiki kiatu; mtumba grade one, hakijavaliwa,. Nilikutana nacho Sabasaba

Mida ya jioni pita hiyo barabara ya kwenda chuo kutokea ubungo , kuna viatu vizuri huwa vinapangwa hapo, nilishabahatisha kimoja, nikaenda kufungia harusi.​
 
In return nyie mna offer nini?..hivyo vyote unavitaja wew ukiwa na nini?
 
0759021797
The Don's shoes huyu hapa mwamba ndo anaduka hilo
 
Habari!
Mtumba usiotumika, means ni customer return, Amazon return Huko nje.

Yaani, eidha, Mteja alienda Dukani akachagua pea kadhaa, akaenda nazo nyumbani, akachagua anazozitaka, akarudisha nyingine Dukani, hivyo hawawezi kuuza hizo.

Au wakali wanafanya Derivery Boksi iliharibika, ilichubuka, Mteja akakataa, kikarudishwa Dukani. Au kilikaa Sana Bila kuuzika, ikachukuliwa kama old stock. Sasa kinauzwa na bidhaa nyingine kama clearance sale, Amazon return, pallet return alongside other goods.

Boss, ukikikosa hapa Tanzania, naomba unishtue nikuagizie UK. Utalipia ukipata kiatu chako.

NB: kama itakupendeza, mambo yataishia hapa hapa jukwaani, Kwa uwazi, kuanzia manunuzi Hadi unapokea, Bila ya Sisi kukutana, kupigiana simu, wala wasap. Kiufupi, hatutajuana kama ambavyo hatujuani Sasa, ila kiatu chako utakipata tena kwa Uaminifu mkubwa. Malipo unafanya ukipokea bidhaa yako. Ndani ya siku 10 za Kazi, unapata kiatu chako.

Ahsante na Karibu!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…