Natafuta sana hiki kiatu; mtumba grade one, hakijavaliwa,. Nilikutana nacho Sabasaba

0759021797
The Don's shoes huyu hapa mwamba ndo anaduka hilo
We mwamba sana Ndugu yangu.
Hakika Jamii Forum ina watu na Nusu.

Huwa nachukua Viatu kwake.
Pale Victoria.

Nae nilimwambia anitafutie alisema ndani ya siku tatu, nadhani alikikosa

ILA THE DON NADHANI NDIO DUKA NUMBER MOJA LA VIATU TANZANIA.
 
Wanawake wa mijini mna mambo mengi sana, Ila mwanaume akiwa na pesa hata atafune kama Nguruwe hawezi kuachwa.
 

Hii ndio Jf ninayoijua sana.
Wewe ni mwamba sana Mkuu.
Naomba unisaidie kaka.

Asante sana.
 
Wanawake wa mijini mna mambo mengi sana, Ila mwanaume akiwa na pesa hata atafune kama Nguruwe hawezi kuachwa.
Ukizungumzia Pesa.
Ndo Kila kitu
Lakina kinaenda sambamba na hayo yote.
 
Wanaume vitu vyenu ni bei sana! Hapo utaambiwa hiki kiatu ni laki 9😎
Labda Kwa sababu wanaume hawanunui nguo na viatu kila mwezi kama wanawake au labda wanapenda kununua vitu vya kudumu ili wasirudi dukani kila mwezi kununua.
 
Labda Kwa sababu wanaume hawanunui nguo na viatu kila mwezi kama wanawake au labda wanapenda kununua vitu vya kudumu ili wasirudi dukani kila mwezi kununua.
Na wewe huwa inakutokea kuimagine mtu aliye nyuma ya id yupoje kupitia avatar yake?
 
Wewe mbele ya pesa hata nitafute kama nguruwe huwezi kuniacha
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…