Nataka hii iwe nyumba ya ndoto yangu. Nani anaweza nisaidia makadirio?

Nataka hii iwe nyumba ya ndoto yangu. Nani anaweza nisaidia makadirio?

Thanks, I get it now the budget can really go that high. Lakini kwa sasa nataka tu estimate za kawaida quality nzuri ila sio hayo masinki ya mil 5.
Tsh 80 to 90 mill unatoboa,hii ni kama unataka nyumba ijengwe Dar ikiwa nje ya Dar kuna mikoa ujenzi ni rahisi inaweza ikashuka kidogo.

Tunatishana sana,ndiyo ujenzi ni gharama but nyumba ya chini haiwezi kula more than 120Mill hapo tena umeongeza makorokoro ambayo sometimes utaweza usiyatumie.
 
Haiwezi kuzidi mil 60, ila ukijibana ni mill 50 bila fence. Hiyo pmj na makorokoro yote AC, makabati jikoni, tiles za granite.
Hajasema anataka aijenge wapi kuna sehemu hii itatosha kwengine isitoshe,60mill ndogo kwa nyumba hiyo baadhi ya mikoa.
 
Personally garage ningeweka separate (siunganishi na nyumba) kwa sababu tatu
  1. Kupunguza emissions ndani ya nyumba
  2. Incase kuna moto gari linaweza kuwa moja ya vichocheo
  3. Nyumba ikishika moto (siombei) napoteza properties mbili at a time
Sababu nzuri sana. Ila muhimu iwekww kwenye mipango.

Amandla...
 
Unatutisha
Sio kukutisha bro ndio maana nimesema classic finishing hiyo.
Toilet pekee 2mil
Shower mixer 1mil
Bathtub/ jacuzi 3-5mil
Bathroom vanity 3-5 mil

Hapo bafu pekee mzeya. Sasa mabafu manne sii tayari 40 mil imeondoka.

Wewe jenga nyumba kwa uwezo wako. Nyumba bwana ugumu upo kwenye kupau tuu maana hapo zinahitajika hela zote kwa mkupuo.

Kwengine kote unaenda stage by stage. Ata finishing unaanza na vyumba viwili...unajikusanya utengeneza cha tatu mdogo mdogo.
Finishing raha yake ni wewe tuu. Vipi vyo vya laki 5 hadi vya million 10. Uchague wewe tuu
 
Mkuu mabafu manne yote yanini wakati ukioga bado utachafuka?

Ukiwa na kiwanja kujenga mdogo mdogo ni rahisi ila tabu tunazipata sisi wa kuanza kununua kiwanja na ujenzi juu.
 
Mkuu mabafu manne yote yanini wakati ukioga bado utachafuka?

Ukiwa na kiwanja kujenga mdogo mdogo ni rahisi ila tabu tunazipata sisi wa kuanza kununua kiwanja na ujenzi juu.
Sasa yeye kasema hapo juu nyumba vhumba vinne vitatu master.
Na siku hizi magonjwa mengi mambo ya kushare vyoo sio poa.

Ukiliangalia jambo kwa ukubwa wake utavunjika moyo. One step at a time. Kwanza kuwa na kiwanja...then ndio unaanza kuwaza kujenga
 
Atajenga ila kwa hizo hesabu za bafu nne unamtisha asijeenda kula bata hela alizoelekeza kwenye ujenzi😅
 
Hawezi bwana kula bata....angekuwa mwanaune sawa, lakini huyu mtoto wa kike hana vishawishi vingi.
Ataweza tuu.
Muhimu yeye apate gharama mpaka kupaua.
Kumbe wanawake wana uwezekano mkubwa wa kufanikisha mipango yao safely tofauti na sisi? Apa nawaza jioni nimtafute nani akapunguze hii akiba yangu 😂
 
Kumbe wanawake wana uwezekano mkubwa wa kufanikisha mipango yao safely tofauti na sisi? Apa nawaza jioni nimtafute nani akapunguze hii akiba yangu 😂
Ah sie mbususu zinamaliza hela zetu tunakuwa na viwanja lakini kujenga changamoto
 
Back
Top Bottom