Nataka hii iwe nyumba ya ndoto yangu. Nani anaweza nisaidia makadirio?

Nataka hii iwe nyumba ya ndoto yangu. Nani anaweza nisaidia makadirio?

Ah sie mbususu zinamaliza hela zetu tunakuwa na viwanja lakini kujenga changamoto
Kila wiki unatembelea kiwanja kama mgonjwa ila kujenga hujengi 😂.

Kuna jamaa yangu kila tukipita vikindu lazima aniambie tupite kwenye kiwanja chake ila hajengi mwaka wa 5 huu 😂
 
Haiwezi kuzidi mil 60, ila ukijibana ni mill 50 bila fence. Hiyo pmj na makorokoro yote AC, makabati jikoni, tiles za granite.

Hapo atajenga nyumba ya kawaida sana, uwanja uwe sehemu isiyo na slope na usimamizi mkali wa mafundi...
 
Kila wiki unatembelea kiwanja kama mgonjwa ila kujenga hujengi 😂.

Kuna jamaa yangu kila tukipita vikindu lazima aniambie tupite kwenye kiwanja chake ila hajengi mwaka wa 5 huu 😂
Huyo ni kama mie...kiwanja mwaka wa 5 huu napalilia tuu.
Ngona niongee na mtoa mada happyxxx aniwekee kibubu tunanze ujenzi pamoja
 
Vyoo vya million mbili, chandeliers za 1.5mil ac kila chumba
Bathtub atleast vyumba vitatu
Standby generator au alternative solar power system.
Upvc windows
Wooden french doors
Tiles za minimum 50k per sqm

Bafu moja tuu unacheza betwenn 5-7mil. Wee hapo una mabafu manne
Thats not classic finish. Thats an expensive or high end finish. Unnecessary extravagant finish. Mtu mwenye uwezo huu hawezi kuja kuuliza hapa JF apewe gharama. Angeenda kwa professionals akaletewa BOQ tu.

Mleta mada, nyumba kama hio finishing nzuri andaa 60-70m
 
Wee usisema unnecessary...tafuta hela bro🤣🤣🤣🤣
Choo cha laki tano hakiwezi kiwa sawa na choo cha mil 3
 
Vyoo vya million mbili, chandeliers za 1.5mil ac kila chumba
Bathtub atleast vyumba vitatu
Standby generator au alternative solar power system.
Upvc windows
Wooden french doors
Tiles za minimum 50k per sqm

Bafu moja tuu unacheza betwenn 5-7mil. Wee hapo una mabafu manne
Kama ujenzi ndo kama huu basi watanzania ni matajiri sana
Maana mahekalu mijini na vijijini yanaporomoshwa Kwa kasi
 
Njoo mrembo tuyajenge, Tukiwa pamoja tutajenga ghorofa kabisa an sio hicho kibanda..
 
Back
Top Bottom