Nataka hii iwe nyumba ya ndoto yangu. Nani anaweza nisaidia makadirio?

Nataka hii iwe nyumba ya ndoto yangu. Nani anaweza nisaidia makadirio?

1. Single iwe pia na choo na bafu linaloweza kutumiwa na public.
2. Umesahau store na garage

Amandla...
Personally garage ningeweka separate (siunganishi na nyumba) kwa sababu tatu
  1. Kupunguza emissions ndani ya nyumba
  2. Incase kuna moto gari linaweza kuwa moja ya vichocheo
  3. Nyumba ikishika moto (siombei) napoteza properties mbili at a time

Wakuu, hivi designs nzuri za kisasa for garage, ni zipi?
 
Sasa kujenga hako ka jumba chako ndio umekuwa mkadiriaji majengo kweli?🤣
Ah wee ndio najua sii nilishaona bidhaa zinaendaje
Kama nilivyokwambia kuna ties za 25 sqm na zipo za 75k sqm so ni wewe kuchagua.
So kikubwa ni kuzingatia boma linagarimu kiaai gani maana hizi finishing mbwembwe zako mliki ndio zina amua hela itakayotumika
 
Vyoo vya million mbili, chandeliers za 1.5mil ac kila chumba
Bathtub atleast vyumba vitatu
Standby generator au alternative solar power system.
Upvc windows
Wooden french doors
Tiles za minimum 50k per sqm

Bafu moja tuu unacheza betwenn 5-7mil. Wee hapo una mabafu manne
😳😳
 
View attachment 3190361

Nyumba ya 5 bedrooms

Master kubwa 1
Self 3
Single 1
Sitting room, dining & kitchen
Study room
Laundry
Public toilet
Store

Je kila kitu mpaka inayooneka hapa maybe na finishing ya vitu kama masinki nk.
Inaweza gharimu kiasi gani?
Hamna atakaye kupa majibu ya ukweli hapa, pia Acha kukurupka hiyo nitaaluma yenye procedure za Boq
 
Haiwezi kuzidi mil 60, ila ukijibana ni mill 50 bila fence. Hiyo pmj na makorokoro yote AC, makabati jikoni, tiles za granite.
Hiyo nyumba bila kujali uko wapi hapa Tz milion 60 haiwezi kutosha kwa hiyo nyumba.
 
Nyumba ya 5 bedrooms

Master kubwa 1
Self 3
Single 1
Sitting room, dining & kitchen
Study room
Laundry
Public toilet
Store

Je kila kitu mpaka inayooneka hapa maybe na finishing ya vitu kama masinki nk.
Inaweza gharimu kiasi gani?
5 br house ni kubwa sana na utakuwa unakaribisha wageni all the time. Je ni kweli unahitaji vyumba vyote hivyo? Fikiria kwa umakini sana. Na je unahitaji ma'self' yote hayo?

Ushauri tu: jenga 4 br house: chumba chako (master), boys, girls na cha wageni. Hicho cha tano ndiyo kiwe study.

Pia utahitaji servants quarter na choo cha nje kwa ajili ya gardeners etc.

Gharama kubwa sana ya nyumba inakwenda kwenye internal decorations: vyoo, tiles, plumbing, electricity makabati ya ndani na jikoni na vingine - hapo ndiyo utaona utamu wa kujenga mjumba mkubwa.

Hii ni kutokana na uzoefu wangu (nimeshajenga nyumba kama tano hivi).
 
Mbona vyumba vingi? Watoto huwa wanapita tu nao watakua na nyumba zao,siku mkubaki wawili tu humu uzeeni utaelewa ninachokuambia...
 
Haiwezi kuzidi mil 60, ila ukijibana ni mill 50 bila fence. Hiyo pmj na makorokoro yote AC, makabati jikoni, tiles za granite.
Duh hapa utamwingiza chaka hiyo nyumba ni kubwa haipungui m 100 hapo
 
Mbona vyumba vingi? Watoto huwa wanapita tu nao watakua na nyumba zao,siku mkubaki wawili tu humu uzeeni utaelewa ninachokuambia...
hakika! sisi tulijenga 5 br house na watoto wote wameshakimbia sasa tumebaki wawili na mfanyakazi tu. Mjumba umekuwa mkubwa uko kimyaaa!
 
View attachment 3190361

Nyumba ya 5 bedrooms

Master kubwa 1
Self 3
Single 1
Sitting room, dining & kitchen
Study room
Laundry
Public toilet
Store

Je kila kitu mpaka inayooneka hapa maybe na finishing ya vitu kama masinki nk.
Inaweza gharimu kiasi gani?
inategemea na eneo ulilopo kwa kias kikubwa sana..... Makadilio kuanzia 45M kwenda mbele kwani waishi wapi weye
 
Back
Top Bottom