Mim nimejeng kam hio ila nd nimeipiga plasta nje na ndani nimefany blandering tayr, nimepiga zege chini ila sio vyumba vinne yang ni ya 3, na raman naon mama zinaendan nahii,What does the classic finishing include?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mim nimejeng kam hio ila nd nimeipiga plasta nje na ndani nimefany blandering tayr, nimepiga zege chini ila sio vyumba vinne yang ni ya 3, na raman naon mama zinaendan nahii,What does the classic finishing include?
Ukiijenga moshi itafika 150mKiukweli sina vipimo vya kitaalam hii nyumba nimeiona kwenye Instagram hata nimesahau page yao nikasema moyoni nitajenga niishi hapa na watoto zangu. So nilikuwa nataka estimate za jumla jumla.
Mkumbuke na ndugu zenu wasiomiliki hata mlo wa siku haya majumba tunawacha hapa hapa tusikufuru Sanaa tengenezq nyumba ya kawaida tu hela saidia wengn wasiokua kesho yaoVyoo vya million mbili, chandeliers za 1.5mil ac kila chumba
Bathtub atleast vyumba vitatu
Standby generator au alternative solar power system.
Upvc windows
Wooden french doors
Tiles za minimum 50k per sqm
Bafu moja tuu unacheza betwenn 5-7mil. Wee hapo una mabafu manne
Tatizo binadamu unataka kumsaidia yeye anatake advantage. Wacha kila mtu apamba e kivyakeMkumbuke na ndugu zenu wasiomiliki hata mlo wa siku haya majumba tunawacha hapa hapa tusikufuru Sanaa tengenezq nyumba ya kawaida tu hela saidia wengn wasiokua kesho yao
Sawa engineer tunapima io150 mil classic finishing
Maengineer wanasema piga sqm mara laki6Sawa engineer tunapima io
Nkianza ujenzi ntakushtua Una kitu inaonekanaMaengineer wanasema piga sqm mara laki6
Ulitumia sh ngapi?Mim nimejeng kam hio ila nd nimeipiga plasta nje na ndani nimefany blandering tayr, nimepiga zege chini ila sio vyumba vinne yang ni ya 3, na raman naon mama zinaendan nahii,
Kwa hiyo gari nalo likipata joyo linakula kiyoyozi 🤣🤣🤣🤣Zipo nzuri nyingi mtandaoni, ila ukitaka ya kisasa tafuta uzi humu wa garage ya Lugumi yenyewe ina mpaka AC
Hakuna nyumba ya 150 hapo,au wewe ni fundi unajipigia upatu?150 mil classic finishing
Wee bwana nyumba ya vyumba vitano mchezo. Labda kama anajenga vyumba vyote 3m x 3mHakuna nyumba ya 150 hapo,au wewe ni fundi unajipigia upatu?
Sasa sii nina experience mzeya.Sasa kujenga hako ka jumba chako ndio umekuwa mkadiriaji majengo kweli?🤣
Wengi wanadanganywa sana gharama za nyumba na hawa wanaojiita mafundi,lakini uhalisia nyumba sio jambo la kutisha kama ilivyoWee bwana nyumba ya vyumba vitano mchezo. Labda kama anajenga vyumba vyote 3m x 3m
Tena vyumba vyenyewe self countained. Hatari mzeya.
Nyumba kubwa sana hiyo
Hamna anayemtisha mtu bwana wewe hapa.Wengi wanadanganywa sana gharama za nyumba na hawa wanaojiita mafundi,lakini uhalisia nyumba sio jambo la kutisha kama ilivyo
70 nakuendeleaView attachment 3190361
Nyumba ya 5 bedrooms
Master kubwa 1
Self 3
Single 1
Sitting room, dining & kitchen
Study room
Laundry
Public toilet
Store
Je kila kitu mpaka inayooneka hapa maybe na finishing ya vitu kama masinki nk.
Inaweza gharimu kiasi gani?
Umewahi kujenga?Hamna anayemtisha mtu bwana wewe hapa.
Wee hiyo nyumba ni kubwa sana. Vyumba vitano jumlisha study room sio kitoto. Vyumba tuu kwa haraka haraka tayari tofali 2500. Bado sebule sijui dinning mara jiko.
Ujenzi sio lelemama bwana kama hujajipanga.
Come inbox
Nijenge wapi bro wakati kula yangu ye yewe ya jioni sina uhakika nayoUmewahi kujenga?
Pambana mkuu,kila kitu kinawezekana hata kama unafanya kazi ya aina gani,Nijenge wapi bro wakati kula yangu ye yewe ya jioni sina uhakika nayo