Tsh 80 to 90 mill unatoboa,hii ni kama unataka nyumba ijengwe Dar ikiwa nje ya Dar kuna mikoa ujenzi ni rahisi inaweza ikashuka kidogo.Thanks, I get it now the budget can really go that high. Lakini kwa sasa nataka tu estimate za kawaida quality nzuri ila sio hayo masinki ya mil 5.
Hajasema anataka aijenge wapi kuna sehemu hii itatosha kwengine isitoshe,60mill ndogo kwa nyumba hiyo baadhi ya mikoa.Haiwezi kuzidi mil 60, ila ukijibana ni mill 50 bila fence. Hiyo pmj na makorokoro yote AC, makabati jikoni, tiles za granite.
Kwahuku nilipo kilimanjaro na gharama za ujenzi zilivyo juu. si chini ya 130milView attachment 3190361
Nyumba ya 5 bedrooms
Master kubwa 1
Self 3
Single 1
Sitting room, dining & kitchen
Study room
Laundry
Public toilet
Store
Je kila kitu mpaka inayooneka hapa maybe na finishing ya vitu kama masinki nk.
Inaweza gharimu kiasi gani?
Hiyo Dar anajenga kwa 60Hajasema anataka aijenge wapi kuna sehemu hii itatosha kwengine isitoshe,60mill ndogo kwa nyumba hiyo baadhi ya mikoa.
Sababu nzuri sana. Ila muhimu iwekww kwenye mipango.Personally garage ningeweka separate (siunganishi na nyumba) kwa sababu tatu
- Kupunguza emissions ndani ya nyumba
- Incase kuna moto gari linaweza kuwa moja ya vichocheo
- Nyumba ikishika moto (siombei) napoteza properties mbili at a time
Hapo fundi unamlipa ngapi? Najua kwa hiyo bei hautumii architect au engineer.Haiwezi kuzidi mil 60, ila ukijibana ni mill 50 bila fence. Hiyo pmj na makorokoro yote AC, makabati jikoni, tiles za granite.
NashukuruSababu nzuri sana. Ila muhimu iwekww kwenye mipango.
Amandla...
Hivi granite kwa sasa sqr m ni bei ganiHaiwezi kuzidi mil 60, ila ukijibana ni mill 50 bila fence. Hiyo pmj na makorokoro yote AC, makabati jikoni, tiles za granite.
Noma sana!Haiwezi kuzidi mil 60, ila ukijibana ni mill 50 bila fence. Hiyo pmj na makorokoro yote AC, makabati jikoni, tiles za granite.
UnatutishaVyoo vya million mbili, chandeliers za 1.5mil ac kila chumba
Bathtub atleast vyumba vitatu
Standby generator au alternative solar power system.
Upvc windows
Wooden french doors
Tiles za minimum 50k per sqm
Bafu moja tuu unacheza betwenn 5-7mil. Wee hapo una mabafu manne
Sio kukutisha bro ndio maana nimesema classic finishing hiyo.Unatutisha
Mkuu mabafu manne yote yanini wakati ukioga bado utachafuka?Sio kukutisha bro ndio maana nimesema classic finishing hiyo.
Toilet pekee 2mil
Shower mixer 1mil
Bathtub/ jacuzi 3-5mil
Bathroom vanity 3-5 mil
Hapo bafu pekee mzeya. Sasa mabafu manne sii tayari 40 mil imeondoka.
Wewe jenga nyumba kwa uwezo wako. Nyumba bwana ugumu upo kwenye kupau tuu maana hapo zinahitajika hela zote kwa mkupuo.
Kwengine kote unaenda stage by stage. Ata finishing unaanza na vyumba viwili...unajikusanya utengeneza cha tatu mdogo mdogo.
Finishing raha yake ni wewe tuu. Vipi vyo vya laki 5 hadi vya million 10. Uchague wewe tuu
Sasa yeye kasema hapo juu nyumba vhumba vinne vitatu master.Mkuu mabafu manne yote yanini wakati ukioga bado utachafuka?
Ukiwa na kiwanja kujenga mdogo mdogo ni rahisi ila tabu tunazipata sisi wa kuanza kununua kiwanja na ujenzi juu.
Atajenga ila kwa hizo hesabu za bafu nne unamtisha asijeenda kula bata hela alizoelekeza kwenye ujenzi😅Sasa yeye kasema hapo juu nyumba vhumba vinne vitatu master.
Na siku hizi magonjwa mengi mambo ya kushare vyoo sio poa.
Ukiliangalia jambo kwa ukubwa wake utavunjika moyo. One step at a time. Kwanza kuwa na kiwanja...then ndio unaanza kuwaza kujenga
Hawezi bwana kula bata....angekuwa mwanaune sawa, lakini huyu mtoto wa kike hana vishawishi vingi.Atajenga ila kwa hizo hesabu za bafu nne unamtisha asijeenda kula bata hela alizoelekeza kwenye ujenzi😅
Kumbe wanawake wana uwezekano mkubwa wa kufanikisha mipango yao safely tofauti na sisi? Apa nawaza jioni nimtafute nani akapunguze hii akiba yangu 😂Hawezi bwana kula bata....angekuwa mwanaune sawa, lakini huyu mtoto wa kike hana vishawishi vingi.
Ataweza tuu.
Muhimu yeye apate gharama mpaka kupaua.
Ah sie mbususu zinamaliza hela zetu tunakuwa na viwanja lakini kujenga changamotoKumbe wanawake wana uwezekano mkubwa wa kufanikisha mipango yao safely tofauti na sisi? Apa nawaza jioni nimtafute nani akapunguze hii akiba yangu 😂