Half american
JF-Expert Member
- Sep 21, 2018
- 38,283
- 97,793
Kila wiki unatembelea kiwanja kama mgonjwa ila kujenga hujengi π.Ah sie mbususu zinamaliza hela zetu tunakuwa na viwanja lakini kujenga changamoto
Ndogo hizoHaiwezi kuzidi mil 60, ila ukijibana ni mill 50 bila fence. Hiyo pmj na makorokoro yote AC, makabati jikoni, tiles za granite.
Haiwezi kuzidi mil 60, ila ukijibana ni mill 50 bila fence. Hiyo pmj na makorokoro yote AC, makabati jikoni, tiles za granite.
View attachment 3190361
Nyumba ya 5 bedrooms
Master kubwa 1
Self 3
Single 1
Sitting room, dining & kitchen
Study room
Laundry
Public toilet
Store
Je kila kitu mpaka inayooneka hapa maybe na finishing ya vitu kama masinki nk.
Inaweza gharimu kiasi gani?
Huyo ni kama mie...kiwanja mwaka wa 5 huu napalilia tuu.Kila wiki unatembelea kiwanja kama mgonjwa ila kujenga hujengi π.
Kuna jamaa yangu kila tukipita vikindu lazima aniambie tupite kwenye kiwanja chake ila hajengi mwaka wa 5 huu π
Anza hata msingi taratibu bia na mbususu zipo tu mkuu πHuyo ni kama mie...kiwanja mwaka wa 5 huu napalilia tuu.
Ngona niongee na mtoa mada happyxxx aniwekee kibubu tunanze ujenzi pamoja
Thats not classic finish. Thats an expensive or high end finish. Unnecessary extravagant finish. Mtu mwenye uwezo huu hawezi kuja kuuliza hapa JF apewe gharama. Angeenda kwa professionals akaletewa BOQ tu.Vyoo vya million mbili, chandeliers za 1.5mil ac kila chumba
Bathtub atleast vyumba vitatu
Standby generator au alternative solar power system.
Upvc windows
Wooden french doors
Tiles za minimum 50k per sqm
Bafu moja tuu unacheza betwenn 5-7mil. Wee hapo una mabafu manne
Wee usisema unnecessary...tafuta hela broπ€£π€£π€£π€£Thats not classic finish. Thats an expensive or high end finish. Unnecessary extravagant finish. Mtu mwenye uwezo huu hawezi kuja kuuliza hapa JF apewe gharama. Angeenda kwa professionals akaletewa BOQ tu.
Mleta mada, nyumba kama hio finishing nzuri andaa 60-70m
Ah wee dunia tunapita eeeh....Anza hata msingi taratibu bia na mbususu zipo tu mkuu π
Nyie ndio wale mnaosemaga kama duniani tunapita yanini ujenge njiani?Ah wee dunia tunapita eeeh....
Ndio hao hao mzeya.Nyie ndio wale mnaosemaga kama duniani tunapita yanini ujenge njiani?
Kula utelezi huo nyumba ya milele ipo wala huitaji kuigaramia πNdio hao hao mzeya.
Ah kujenga tutajenga tuu, wacha kwanza tuzisasambue mbususu za warembo hapa
Umemaliza.Kula utelezi huo nyumba ya milele ipo wala huitaji kuigaramia π
Kama watoto wataishi kwenye nyumba ya milele sawa πUmemaliza.
Kama ujenzi ndo kama huu basi watanzania ni matajiri sanaVyoo vya million mbili, chandeliers za 1.5mil ac kila chumba
Bathtub atleast vyumba vitatu
Standby generator au alternative solar power system.
Upvc windows
Wooden french doors
Tiles za minimum 50k per sqm
Bafu moja tuu unacheza betwenn 5-7mil. Wee hapo una mabafu manne
Muongo150 mil classic finishing
Sawa mie muongoMuongo
Usitishike mwanawane....hiyo ni kwa wale wanaojiweza.Kama ujenzi ndo kama huu basi watanzania ni matajiri sana
Maana mahekalu mijini na vijijini yanaporomoshwa Kwa kasi