machiaveli
JF-Expert Member
- Jun 4, 2016
- 2,225
- 5,055
Kama ni kweli basi wewe ni mjinga,yaani mwanamke aondoke miezi 3 nibaki nikimsubiri amekuwa Nini labda?
Vuta mama ingine Sasa!!
Vuta mama ingine Sasa!!
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kumbuka aliondoka kwa kutoroka na pia ni miezi 3 toka aondoke.yuko kwako lakin si kwamba wameachana elewa…
upendo amna lakini kaeleza kua ana watkto watatu! mzee watoto watatu uoe mke mwingine ni kimbembe shida ni kubwa ndo maana kijana yuko njia pandaKumbuka aliondoka kwa kutoroka na pia ni miezi 3 toka aondoke.
Hiv unazania hapo Bado Kuna upendo? Mwanamke mwenye familia kuikimbia kwa mda wote huo?
Hio ndoa inauhai kweli?
Mambo ya ajabu haya unampiga mwanamke? Alafu aache ujinga wa kwenda kuhemea wapange bajeti amkabidhi mwanamke pesa atajua mwenyewe na kupangilia maemezi, inavyoonekana mwanamke anakosa hata pocket money kwa ajili ya mahitaji binafsi.Mmhh anagawa vyakula! Ukute hakuna anachogawa labda wewe ndo wale wanaume ukinunua nyama unahesabu vipande vya nyama kwenye sufuria licha ya kutokuwa msaliti wa mapenzi we naye jichunguze unafeli wapi maana maelezo yako yana ualakini mkubwa! Mwanamke aliyeamua kuolewa akuzalie watoto watatu afu akurupuke tu awaache sio RAHISI yaani sio RAHISI na usifikiri itakuwa rahisi kiiivo mwanamke mwingine kulea watoto wako, watoto ambao walizoea malezi ya mama mzazi....hakuna aliye mkamilifu tafuta mke wako myamalize punguza gubu na uchoyo na kumpiga, nimeona comment yako ukimjibu gammaparticles muda huu kaondoka bila kumpiga inamaana huwa unampiga kachoka na upumbavu wako hata utayemuoa atakuja atachoka tu na ataenda
Ila mkuu kutakuwa kuna mambo mengi umeficha hujaweka hadharani. Yaani mpaka baba mzazi aingie ndoa ya binti yake lazima kuna uchumi huwa unafanya mpaka wazazi wamekuchoka! Inawezekana unapokuta amegawa mchele na wewe unagawa vipigo vya mbwa mwizi! Jitafakari sana. Mara nyingi wanaoingilia ndoa za mabinti ni akina mama!Naunga mkono hoja. Hasa baba yake nimegundua sio mtu mzuri, huenda anataka tuachane amsaidie mwanae kugawana mali. Bush lawyer wanachekesha sana
Mbona kashakuacha kitambo sana huyo Mkuu mwenzetu?.Wana jamvi,
Kama bado hujawahi kukutana na changamoto ya familia unaweza kudhani watu humu wanaleta stori za kusadikika!
Mimi na mke wangu tumeishi naye kwa miaka nane sasa na kwa kipindi hicho chote nimejitahidi kuwa mwaminifu na kuhudumia familia vizuri.
Sasa vituko vya huyu mwanamke anagawa vitu vya ndani kama mafuta, mchele, maharage na hata mkaa. Vitu vinaisha kabla ya muda hata sehemu ninapofanya manunuzi huwa wanashangaa, husema huenda nina nyumba ndogo ila mimi ni mwaminifu kwa huyu mwanamke.
Kituko kikubwa alichokifanya ni kutoroka nyumbani akiwaacha watoto hivi sasa kamaliza miezi yapata mitatu taratibu mawazo ya kuoa mwanamke mwingine yanakuja ili kusaidiana maisha. Isitoshe mwanamke huyo hana elimu kubwa na hana ajira japo mimi ni payee sijawahi kumdharau kwa hali yake zaidi ya kumrekebisha pale anapokesea.
Sasa nimeona hali imekuwa climax na ninataka kuachana nae na watoto nitalea mwenyewe. Ushauri wenu wakuu 🤔
Kila nikisikiliza nyimbo za Tina, naona unafiki wa wana-upakoHayo ndiyo maamuzi ya kiume achana naye. Hakuna ushauri mwingine
Pole sana ulioa malaya. Malaya ni kama kunguru huwa hafugiki
Ni ngumu sana malaya kumfanya mke lazima atakusumbua tu
Kama Tina sasa hivi huko alipo anatombesha kwa mwanaume/wanaume wengine
Halafu unasema ninataka yaani mpaka leo haujafanya maamuzi acha ubwege, piga chini umbwa hiyo
Yan mwanaume kumkataza mkewe asigawe vitu hovyo ni uchoyo??Mmhh anagawa vyakula! Ukute hakuna anachogawa labda wewe ndo wale wanaume ukinunua nyama unahesabu vipande vya nyama kwenye sufuria licha ya kutokuwa msaliti wa mapenzi we naye jichunguze unafeli wapi maana maelezo yako yana ualakini mkubwa! Mwanamke aliyeamua kuolewa akuzalie watoto watatu afu akurupuke tu awaache sio RAHISI yaani sio RAHISI na usifikiri itakuwa rahisi kiiivo mwanamke mwingine kulea watoto wako, watoto ambao walizoea malezi ya mama mzazi....hakuna aliye mkamilifu tafuta mke wako myamalize punguza gubu na uchoyo na kumpiga, nimeona comment yako ukimjibu gammaparticles muda huu kaondoka bila kumpiga inamaana huwa unampiga kachoka na upumbavu wako hata utayemuoa atakuja atachoka tu na ataenda
DuhYupo kwao mkuu huwa naongea nae ila simuulizi habari ya kurudi kupitia simu ya mama yake
Nilishaacha kumpiga tangu zamani nilijiapiza. Tatizo wanawake wengi wanashawishiwa kuingia kwenye vikoba bila kutoa taarifa kwa waume zao. Sasa mchezo na marejesho yanasuasuaIla mkuu kutakuwa kuna mambo mengi umeficha hujaweka hadharani. Yaani mpaka baba mzazi aingie ndoa ya binti yake lazima kuna uchumi huwa unafanya mpaka wazazi wamekuchoka! Inawezekana unapokuta amegawa mchele na wewe unagawa vipigo vya mbwa mwizi! Jitafakari sana. Mara nyingi wanaoingilia ndoa za mabinti ni akina mama!
Je wazazi wake/ Ndugu zake wana taarifa?Kituko kikubwa alichokifanya ni kutoroka nyumbani akiwaacha watoto hivi sasa kamaliza miezi yapata mitatu taratibu mawazo ya kuoa mwanamke mwingine yanakuja ili kusaidiana maisha.
Asante kwa ushauri mkuuUnakosea sana kuongea nae,ungepiga kimya au ukabadili kabisa namba yako,yeye mwenyewe angekutafuta,
Kitendo cha kuwasiliana nae ni kama umeridhika yeye kua huko,
Piga kimya endelea na maisha yako wala usimuulizie wala asijue habari zako wala habari za watoto,
Mkeo alishakuona kua wewe ni dhaifu sana kwake ndio maana anakuchezea,
Kaza mkuu,kua na roho ngumu na yakikatili,huyo atarudi mwenyewe kisha unamfukuza arudi alipotoka.