The Icebreaker
JF-Expert Member
- Feb 11, 2018
- 22,278
- 65,817
Ndio maana jamaa anataka kuwapima watoto DNA huenda hata Baba yao bado yupo hai.Watoto wametoka kufiwa baba yao, halafu tena familia inataka kuanza kuwahangaishaðŸ˜
Kama baba yao hakuona haja ya kuwapima hao watoto DNA, kwa nini wao watake kuwapima? Shida ni nini?
Kimsingi jamaa aongeze nyama ili apewe ushauri unaoeleweka, ila kwa content aliyotoa, bado hakuna sababu ya msingi ya kupima hao watoto DNA.
Kama mama alijifanya majanja akawa anachepuka wacha avune alichopanda.Thamini sana familia yako na mke wako ukiwa hai angalau wajivunie walikuwa na baba na anawapenda na kuwajali hawa ndugu sio wa kuwaamini sana ukishakufa ndio mambo kama haya hutokea mara hawa watoto sio kama damu yetu mara vile mishowe watatelekezwa wawe ombaomba.
Mimi nawaonea huruma hao watoto tu isee
Inaelekea unataka kudhulumu hao watoto mali ya baba yao hakuna kingine hapo. Baba yao aliwatambua wewe ni nani uwakatae. Mungu anakuonaMwaka jana nimefiwa na kaka yngu na ameacha watoto 4 watatu wako primary ila kuna jambo kidgo limenipa hofu kama inawezekana ili nijiridhishe.
Kifupi hawa watoto wote kwa sasa hivi mimi ndio mlezi wao kwa kila kitu, ni sehemu ya familia yangu na mama yao ilibidi tumbakishe nyumbani kwajili ya kusaidia ulezi sababu jamaa bado ni wadogo.
Nisiende mbali sana nataka kufanya DNA kwahawa watoto kupitia mimi au babu yao je! Inawezekana?
Ndio maana jamaa anataka kujua dna za watoto kupitia yeye au babu, hapo atajua yeye yuko wapi.2. Yawezekana watoto ni wa kaka yako lakini wewe sio kaka yako kwa maana mama hako alimpiga baba yako either wewe au kakako huyo sio baba yenu maana DNA inatoka kwa baba
Nairobi ni rahisi zaidi.• Mungu amefaynaje tena mkuu,,???
• Mimi nina mtoto nje, nilitaka kupima DNA, Baada ya kuona mapicha picha mengi nikaamua kuacha.
Ndivyo inavyokuwa.....Mtoto ambaye hujamzaaa bora umlee ukijua unajitolea tu.Mleta mada ameelemewa na mzigo wa kulea watoto 4 pamoja na Mama yao mpaka akili ikawaza kua isije ikawa analea watoto ambao sio wa Kaka yake,
Mpaka hapo nampongeza sana kwa kujitwisha hilo jukumu na kwa moyo huo,
Kupima DNA ni sahihi,kila mtu abebe mzigo wake mwenyewe,unaweza kuhangaika nao halafu wakisha kua wakubwa wanakuja kuonyeshwa Baba yao mzazi,halafu yanakufika yale yale yaliyomfika Baba yake Diamond.
Mbona mnaingilia Mambo ya Kifamilia?Kwanini marehemu asiwapime kwenye uhai wake?
Je wewe alikuachia usia na kukuambia wapime?
Na je kama sio wa kwenu utawapeleka wapi?
Mkuu najua umasikini ni mbaya sana
Lakini kama una uwezo wa kuwalea walee tu maana hukuwazaa wewe
Aliewakubali kafa
Au tumuulize mjane
Unauthibitisho wa hilo jambo limelokufanya utake DNA test?Mwaka jana nimefiwa na kaka yngu na ameacha watoto 4 watatu wako primary ila kuna jambo kidgo limenipa hofu kama inawezekana ili nijiridhishe.
Kifupi hawa watoto wote kwa sasa hivi mimi ndio mlezi wao kwa kila kitu, ni sehemu ya familia yangu na mama yao ilibidi tumbakishe nyumbani kwajili ya kusaidia ulezi sababu jamaa bado ni wadogo.
Nisiende mbali sana nataka kufanya DNA kwahawa watoto kupitia mimi au babu yao je! Inawezekana?
Kwanini marehemu asiwapime kwenye uhai wake?
Je wewe alikuachia usia na kukuambia wapime?
Na je kama sio wa kwenu utawapeleka wapi?
Mkuu najua umasikini ni mbaya sana
Lakini kama una uwezo wa kuwalea walee tu maana hukuwazaa wewe
Aliewakubali kafa
Au tumuulize mjane
Ni taira huyu jamaa... mambo ya familia is very sensitive sio yakuingilia fargha za watu na kuhatarisha maisha ya watu na viumbe visivyo na hatiaYeah, unakuta mtu na kaka yake siyo damu moja... Mama alifanya maujanja Enzi zako... Sasa sijui atafukuza watoto au ataendelea kulea.
Sio kuingilia mkuuMbona mnaingilia Mambo ya Kifamilia?
Ila #3 Baba kaishatangulia mbeleIfike mahali watu wawe responsible kwa matendo yao na sio tu kutanguliza huruma tu,kwanza ingewekwa sheria kabisa,kabla ya mtoto kupewe Birth certificate ni lazima apimwe DNA ili huko mbeleni isije kutokea sintofahamu kama hii,kuna tofauti ya kumlea mtoto kwa kujitolea na kumlea mtoto huku ukijua kua ni damu yenu na kumbe sio damu yenu.
- Kwanza hapa hatuna uhakika kama marehemu aliwapima au hakuwapima hao watoto wakati wa uhai wake
- Sasa hivi mleta mada ndio responsible wa malezi ya hao watoto pamoja na Mama yao,so anao uamuzi wa kujiridhisha,isije ikawa anachukua majukumu ya mtu mwingine,
- Akisha jua kua hao watoto sio wa kwao,uamuzi utakua ni wake,aidha awapeleke wakalelewe na Baba yao au awalee kwa kujitolea tu huku akiwa na uhakika kua hao watoto sio damu yao
Katika masuala ya msingi huwa hatuleti huruma huruma hizi huruma na kuleta ubinadamu madhara yake makubwa mbeleni.. Nyie mnaokuja na comment zenu za aina hii mnakera sana.. nini maana ya uvumbuzi wa VIpimo vya DNA? unalea mtoto ukijua ni wa ndugu yako kumbe wa jamaa mwingine bora ifahamike sio damu yake au damu yakeWatoto wametoka kufiwa na baba yao, halafu tena familia inataka kuanza kuwahangaishaðŸ˜
Kama baba yao hakuona haja ya kuwapima hao watoto DNA, kwa nini wao watake kuwapima? Shida ni nini?
Kimsingi jamaa aongeze nyama ili apewe ushauri unaoeleweka, ila kwa content aliyotoa, bado hakuna sababu ya msingi ya kupima hao watoto DNA.
Uko sahihi katika hili...... lakini hoja yako inakinzana na mitazamo ya kiimani........Ifike mahali watu wawe responsible kwa matendo yao na sio tu kutanguliza huruma tu,kwanza ingewekwa sheria kabisa,kabla ya mtoto kupewe Birth certificate ni lazima apimwe DNA ili huko mbeleni isije kutokea sintofahamu kama hii,kuna tofauti ya kumlea mtoto kwa kujitolea na kumlea mtoto huku ukijua kua ni damu yenu na kumbe sio damu yenu.
- Kwanza hapa hatuna uhakika kama marehemu aliwapima au hakuwapima hao watoto wakati wa uhai wake
- Sasa hivi mleta mada ndio responsible wa malezi ya hao watoto pamoja na Mama yao,so anao uamuzi wa kujiridhisha,isije ikawa anachukua majukumu ya mtu mwingine,
- Akisha jua kua hao watoto sio wa kwao,uamuzi utakua ni wake,aidha awapeleke wakalelewe na Baba yao au awalee kwa kujitolea tu huku akiwa na uhakika kua hao watoto sio damu yao
Tabu sanaNchi haina umeme, sukari wala dola
HahahaSio kuingilia mkuu
Linapokuja jambo hapa JF sio familia tena bali ni public na utegemee majibu na mchango wa kila aina boss
Ila unachambua ya kubeba na kuyaacha
Kama nimekwaza tusameheane bure