Mangungo II
JF-Expert Member
- Jul 6, 2012
- 18,133
- 26,766
Ndoa ni scam
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hili nmeliona, but Kuna wadau wamenipa ushaur positive, nmecollect naenda kufanyia kazi very soon!Kitu nlichojifunza ukiwa na issue serious usije uliza kwenye mtandao utazid pata stress [emoji1430]
Maana sio majib jamaa anayoyapata
Hahahaa hii ni kwere joh.Abort mission fasta mkuu kama unaona kabisa ni mission impossible. Jiteke urudi baada ya miezi miwili.
Au mtongoze mama mkwe wako mtarajiwa.
Shauri yako
Asante mkuu kwa kunipa nguvuLakini pia usisahau maisha ni mafupi sana
Kufumba na kufumbua ushazeeka
Kufumba na kufumbua ushakufa
Usipende kuahirisha furaha yako
Mke ni msaidizi wako tu, mwenye maisha ni wewe, yeye ni msaidizi tu.
Wakuu, kama heading inavyosomeka, Nina tarajia kufunga ndoa week tatu zijazo ( tar sitaweka ili kuepusha mambo mengi) lakini ni mwezi huu wa nane.
Kimsingi sidaiwi, taratibu zote nimefuata, mahali nimelipa na kilichobaki Ni siku ya tukio tu kuidhinisha Jambo!
Lakini kwa sasa najisikia mzito sana kwenye hili swala, Yan kifup sielewielewi, nahitaji niterminate mchakato huu, ila nikifikiria maandalizi ya sherehe husika kwa maana ya nyumbani, kanisan na jamii yote kwa ujumla najiuliza nijinasuaje ili nitimize adhma yangu!
Naombeni ushauri wenu katika suala hili!
Shukran Sana mkuu!Kwenye maisha hakuna kitu kizuri au kibaya. Ni mtazamo wako na jamii ndiyo Inaleta vitu vibaya.
Imani yangu ni kwamba hata hilo unalodhani linaweza kuwa baya bado Mungu atatoa na mlango wa kutokea.
Nenda google tafuta neno blessing in disguise usome mpaka ulielewe na hutapata shida yoyote hapa duniani
Kama ikiwa ndiyo hivi, bas mniuwie radhi, ndiyo maana naomba ushaur ! Hopefully sio mimi.Aisee npo kwny kamati ya ndoa ya G itakayofungwa trh ishirini na kitu ya mwezi huu.
Kama ni ww aisee Yesu wa nazareti anakuona yaani kwa namna maandalizi ya ndoa yako yanavyo tushughulisha na kutugombanisha na wanaukoo kwajili ya kukusanya michango.
Huenda umepatwa na Panic attack.Mkuu, najiskia mzito, kama Sina aman hivi kadri muda unavyoenda, najiuliza Kuna changamoto gani
Suala la mavazi halina shda, nshajiandaa vizur tuu, ila nmenote kipengele chenye msaada katika pito langu hili, ntalifanyia kazi , Asante SanaHuenda umepatwa na Panic attack.
Umeanza kujawa na Hofu juu ya namna gani utavaa, utaongeaje, watu watakutazamaje, n.k n.k
Cha msingi tafuta mtaalamu wa afya ya akili mweleze juu ya hiyo hali unayojisikia, atakusaidia kuondokana na hii hali aidha kwa kukufanyia counseling ama kukupatia Dawa ili uwe sawa.
Kila la heri Mkuu.
Watu wote waliopo kwenye period ya kuoa hua ni vichaa woteWakuu, kama heading inavyosomeka, Nina tarajia kufunga ndoa week tatu zijazo ( tar sitaweka ili kuepusha mambo mengi) lakini ni mwezi huu wa nane.
Kimsingi sidaiwi, taratibu zote nimefuata, mahali nimelipa na kilichobaki Ni siku ya tukio tu kuidhinisha Jambo!
Lakini kwa sasa najisikia mzito sana kwenye hili swala, Yan kifup sielewielewi, nahitaji niterminate mchakato huu, ila nikifikiria maandalizi ya sherehe husika kwa maana ya nyumbani, kanisan na jamii yote kwa ujumla najiuliza nijinasuaje ili nitimize adhma yangu!
Naombeni ushauri wenu katika suala hili!
Mkuu, kumbuka kimtokacho mtu kinywani mwake Ni najisiKwani unamjua hadi umwambie akaendelee kupumuliwa?
Huoni kama unamdhalilisha,aisee,ok anyway,yaishe mkuu.
Ingia ngomani ucheze!!Wasiwasi ndiyo akili!!
Aisee 😂Abort mission fasta mkuu kama unaona kabisa ni mission impossible. Jiteke urudi baada ya miezi miwili.
Au mtongoze mama mkwe wako mtarajiwa.
Shauri yako