Nataka kughairi kufunga ndoa, zimebaki week 3. Nifanye nini kutimiza azma yangu?

Nataka kughairi kufunga ndoa, zimebaki week 3. Nifanye nini kutimiza azma yangu?

Aisee npo kwny kamati ya ndoa ya G itakayofungwa trh ishirini na kitu ya mwezi huu.
Kama ni ww aisee Yesu wa nazareti anakuona yaani kwa namna maandalizi ya ndoa yako yanavyo tushughulisha na kutugombanisha na wanaukoo kwajili ya kukusanya michango.
 
Lakini pia usisahau maisha ni mafupi sana

Kufumba na kufumbua ushazeeka

Kufumba na kufumbua ushakufa

Usipende kuahirisha furaha yako

Mke ni msaidizi wako tu, mwenye maisha ni wewe, yeye ni msaidizi tu.
Asante mkuu kwa kunipa nguvu
 
Wakuu, kama heading inavyosomeka, Nina tarajia kufunga ndoa week tatu zijazo ( tar sitaweka ili kuepusha mambo mengi) lakini ni mwezi huu wa nane.

Kimsingi sidaiwi, taratibu zote nimefuata, mahali nimelipa na kilichobaki Ni siku ya tukio tu kuidhinisha Jambo!

Lakini kwa sasa najisikia mzito sana kwenye hili swala, Yan kifup sielewielewi, nahitaji niterminate mchakato huu, ila nikifikiria maandalizi ya sherehe husika kwa maana ya nyumbani, kanisan na jamii yote kwa ujumla najiuliza nijinasuaje ili nitimize adhma yangu!

Naombeni ushauri wenu katika suala hili!

Huyu ni shetani kabisa
 
Kwenye maisha hakuna kitu kizuri au kibaya. Ni mtazamo wako na jamii ndiyo Inaleta vitu vibaya.

Imani yangu ni kwamba hata hilo unalodhani linaweza kuwa baya bado Mungu atatoa na mlango wa kutokea.

Nenda google tafuta neno blessing in disguise usome mpaka ulielewe na hutapata shida yoyote hapa duniani
Shukran Sana mkuu!
 
Mimi nilihairisha mkuu....kwa sababu niliona ni kama upuuzi tu..muolewaji mwenyewe mahusiano yangu na ya kwake yalikuwa ni madogo japo mimi nilimpendea maadili yake.....kila nikijipanga ili niende nyumbani kwa muolewaji ili tuzungumze naambiwa nilipie 30000......njia nilizozitumia kuterminate mpango mzima. ( 1 ) nilipotea mtaani wiki mbili nilikuwa naingia nyumbani kwangu usiku mnene hii ilifanya jamii iamini nimesafiri... ( 2 ) niliacha kuwapigia simu wahusika ( mshenga na wengineo ) kujua mchakato umefikia wapi.. ( 3) nikawa bize zaidi na mishe zangu binafsi za utafutaji, kiasi kwamba hata watu wa karibu waliogopa hata kuniulizia ishu za ndoa.........
 
Aisee npo kwny kamati ya ndoa ya G itakayofungwa trh ishirini na kitu ya mwezi huu.
Kama ni ww aisee Yesu wa nazareti anakuona yaani kwa namna maandalizi ya ndoa yako yanavyo tushughulisha na kutugombanisha na wanaukoo kwajili ya kukusanya michango.
Kama ikiwa ndiyo hivi, bas mniuwie radhi, ndiyo maana naomba ushaur ! Hopefully sio mimi.
 
Mkuu, najiskia mzito, kama Sina aman hivi kadri muda unavyoenda, najiuliza Kuna changamoto gani
Huenda umepatwa na Panic attack.

Umeanza kujawa na Hofu juu ya namna gani utavaa, utaongeaje, watu watakutazamaje, n.k n.k

Cha msingi tafuta mtaalamu wa afya ya akili mweleze juu ya hiyo hali unayojisikia, atakusaidia kuondokana na hii hali aidha kwa kukufanyia counseling ama kukupatia Dawa ili uwe sawa.

Kila la heri Mkuu.
 
Suala la mavazi halina shda, nshajiandaa vizur tuu, ila nmenote kipengele chenye msaada katika pito langu hili, ntalifanyia kazi , Asante Sana
 
Wakuu, kama heading inavyosomeka, Nina tarajia kufunga ndoa week tatu zijazo ( tar sitaweka ili kuepusha mambo mengi) lakini ni mwezi huu wa nane.

Kimsingi sidaiwi, taratibu zote nimefuata, mahali nimelipa na kilichobaki Ni siku ya tukio tu kuidhinisha Jambo!

Lakini kwa sasa najisikia mzito sana kwenye hili swala, Yan kifup sielewielewi, nahitaji niterminate mchakato huu, ila nikifikiria maandalizi ya sherehe husika kwa maana ya nyumbani, kanisan na jamii yote kwa ujumla najiuliza nijinasuaje ili nitimize adhma yangu!

Naombeni ushauri wenu katika suala hili!
Watu wote waliopo kwenye period ya kuoa hua ni vichaa wote

They are not normal in the normal state as human beings,ukipima akili ile meter lazima ioneshe off the charts....

Ni kipindi watu hawapo sawa...wanakuja kushuka na kua normal after some time when reality strikes...

Mwanadamu aliepo kwenye akili timamu kabisa hawezi kuoa

Labda wale wanaobariki ndoa ndio wapo kwenye normal state
 
Kwani unamjua hadi umwambie akaendelee kupumuliwa?
Huoni kama unamdhalilisha,aisee,ok anyway,yaishe mkuu.
Mkuu, kumbuka kimtokacho mtu kinywani mwake Ni najisi

Ni ishara ya mambo gani yaliyomjaa moyoni mwake na anayafanya daily.

Kwa kuwa Ni sehemu ya maisha yake anayofanyiwa anadhani wote wako kama yeye!

So, silence is also an answer, usimjibu mpumbavu asijisifu kwa upumbavu wake
 
kunywa sumu ufe utakua umeepuka mengi hata shida za dunia hutazipata tena
 
Back
Top Bottom