Wildchild
JF-Expert Member
- Aug 29, 2018
- 19,411
- 21,938
Vip mwenzetu umejiari,ua ume ajiriwa wapiSasa hivi ajira mtaaani hakuna watu wanawinda upadri zamani ulikuwa unakimbiwa Sasa hivi ma jobless yanataka upadri
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Vip mwenzetu umejiari,ua ume ajiriwa wapiSasa hivi ajira mtaaani hakuna watu wanawinda upadri zamani ulikuwa unakimbiwa Sasa hivi ma jobless yanataka upadri
Ulivyokuwa ukichomeka dude lako ulisikia Amani yote nafsini ila baada ya mimba na mtoto kuzaliwa ndio amani nafsini ikatoweka! !!!?Huwezi jua kwanini Ndoa haikufanyika hapo, maana paroko wa parokia alikua akinihiza nifunge Ndoa, lakini sikuona kama kuna sababu ya kufunga Ndoa maana nafsi yangu haikua na Amani, niliona naenda kufanya jambo ambalo siyo.
Una umri gani?Upadre naoutaka ni wa Kanisa Katoliki Mkuu.
Haya maswali nimeyaleta hapa ili kupata mwanga mahali pa kuanzia.
Umejitahidi kuandika kitaalamu sana, bila shaka wewe ni ex seminarian wa St Peters Morogoro.Ukifika darasa la Saba unafanya mitihani ya seminari ili kukuandaa kuingia kidato cha kwanza ,ukifaulu kwa alama wanazotaka basi unapewa fomu ya kujaza ,unalipa ada zao na ndipo tunaanza kidato cha kwanza ,suala la umri ukiingia kidato cha kwanza unasoma pre_form one mwaka mmoja,mpaka unamaliza sekondari unakuwa umetumikia miaka mitano lakini pia kuna mitihani ambayo unafanya hiyo mitihani ukipata chini ya alama 50 unarudishwa nyumbani kwa maana umeshindwa kuendelea na shule hivyo kama ulianza na miaka 14 utamaliza na miaka 19 ,mwaka wa mwisho wa masomo unachagua masomo yako matatu pamoja na Bible knowledge huku ukichagua shule za kidato cha tano ambazo zinahusika na seminari za kikristo pia unatakiwa ufaulu kwa kiwango cha division one au two zile za mwanzo hivyo ukifaulu unakwenda kusoma kwa miaka miwili yaani five na six ,jumlisha miaka 19 na hii miwili inakuwa miaka 21 baada ya hapo ukifaulu unakwenda chuo kwa miaka kama 6 hivyo mpaka unamaliza unakuwa na miaka 27,28,30 na ndani ya hiyo miaka 6 ndipo unaambiwa hakuna kuona wewe utahudumia jamii tu
Hayajapita Toba ya kweli kafunge ndoa na huyo uliyemzalisha kama padre alivyokuagiza hiyo ingine toba fekiHayo yalishapita na nimeyatubu kwa Mungu wa mbinguni.
Lengo lako haswa nini kuanzisha huu uzi?Sifa ninazo Mkuu.
Mojawapo ya sifa ya kuingia katika daraja la upadrisho. Usiwe umefunga ndoa (Catholic) maaana huwezi kutumikia Mabwana wawili.
Ikiwa umefunga ndoa basi ndoa hiyo iwe imevunjwa ama kwa sababu zingine haitambuliki na Kanisa.
Kanisa linakutaka kutunza Mtoto aliyezaliwa hadi Miaka 18.
Zaidi ya hapo ni sababu ambazo ziko inje ya uwezo wako.
Hivi nikuulize, kuna mtu ambae hajawai kufanya dhambi yoyote?
😀😁😀😁Umejitahidi kuandika kitaalamu sana, bila shaka wewe ni ex seminarian wa St Peters Morogoro.
Niliondoka four 4 2008 hapo,kwa mjerumani.Mwaka 2007 nilifanya mtihani wa la 7 pia nikachaguliwa kufanya mtihani wa seminary nikafaulu mitihani yote miwili,nikachaguliwa shule ya serikali na pia shule ya seminary
2008 nikiwa na miaka 14 ilinibidi nianze pre form 1 NAMUPA SEMINARY SCHOOL iliyopo Lindi
Na ili uchaguliwe ilikuwa kuna system inaagalia wanafunzi vichwa darasani na ambao familia anayotoka haina makandokando!!!..Kata mzima mm ndy nilifanya mtihani na nikafaulu..darasani mnakutana vichwa kwelikweli kutoka maeneo mbalimbali ya nchi na darasa la pre form 1 kilikuwa halizidi wanafunzi 25,na ilikuwa si ajabu kumaliza form 4 watu 10-15
Ni shule iliyotoa vichwa Kama Hayati Benjamin Mkapa Benard Membe na Mzee wangu mwenyewe
To make the story short,hayo uliyoeleza yote ndy alipaswa afanye na Kwa sasa ameshachelewa..hawezi kuwa padre
Upo wapi niDM!?Habari za wakati huu wanajamii.
Moja kwa moja kwenye swali langu la msingi.
Nahitaji kujiunga na Updare wa Kanisa Katoliki, ila kuna baadhi ya maswali sijaweza kupata ufafanuzi wake.
1. Ni umri gani unakuwa mwisho wa kujiunga na upadre?
2. Je, ni elimu kiwango gani kinakubalika ili kuendelea na masomo ya Upadre?
3. Je, kama nilikuwa na mahausiano ambayo sikufunga Ndoa Kanisani, baadae mahusiano yakafa na tumeshapata Mtoto inakuaje?
Nakuombeni ufafanuzi wa kina wandugu.
Nenda kanisa au parokia uliyomo na uliza hayo maswali kwa wahusika.Habari za wakati huu wanajamii.
Moja kwa moja kwenye swali langu la msingi.
Nahitaji kujiunga na Updare wa Kanisa Katoliki, ila kuna baadhi ya maswali sijaweza kupata ufafanuzi wake.
1. Ni umri gani unakuwa mwisho wa kujiunga na upadre?
2. Je, ni elimu kiwango gani kinakubalika ili kuendelea na masomo ya Upadre?
3. Je, kama nilikuwa na mahausiano ambayo sikufunga Ndoa Kanisani, baadae mahusiano yakafa na tumeshapata Mtoto inakuaje?
Nakuombeni ufafanuzi wa kina wandugu.
hio namba tatu ni kikwazo, ila kwa maelezo zaidi nenda ofisi za mapadre jimboni, ukapambane nao ana kwa ana, maana ndo wenye majibu ya uhakikaHabari za wakati huu wanajamii.
Moja kwa moja kwenye swali langu la msingi.
Nahitaji kujiunga na Updare wa Kanisa Katoliki, ila kuna baadhi ya maswali sijaweza kupata ufafanuzi wake.
1. Ni umri gani unakuwa mwisho wa kujiunga na upadre?
2. Je, ni elimu kiwango gani kinakubalika ili kuendelea na masomo ya Upadre?
3. Je, kama nilikuwa na mahausiano ambayo sikufunga Ndoa Kanisani, baadae mahusiano yakafa na tumeshapata Mtoto inakuaje?
Nakuombeni ufafanuzi wa kina wandugu.
ila wee msenge unajua kuwagusa watu penyewe. Ko umeamua kumchana jamaa live.Sasa hivi ajira mtaaani hakuna watu wanawinda upadri zamani ulikuwa unakimbiwa Sasa hivi ma jobless yanataka upadri
mkuu naona unaendelea kumshawishi YEHODAYA, pengine anaweza vutiwa akawe padri, maana ni fursa hiyo, na ukizingatia kitaa ndo kinazidi kuwa kigumu leo zaidi ya jana.Siyo lazima, vetting inafanyika kipindi cha malezi ambacho ni miezi mitatu hadi mwaka kutegemeana na Jimbo au Shirika husika.
Ndiposa unaenda kusoma Philosophy, Theology unafanya Uchungaji, unakuwa Shemasi then miezi sita baaadaye unakuwa padri.
Jumla ni kati ya miaka 9 hadi 14.
Unless upate changamoto hapo katikati.