Nataka kujiunga na Upadre ila kuna ufafanuzi ambao sijaupata

Huwezi jua kwanini Ndoa haikufanyika hapo, maana paroko wa parokia alikua akinihiza nifunge Ndoa, lakini sikuona kama kuna sababu ya kufunga Ndoa maana nafsi yangu haikua na Amani, niliona naenda kufanya jambo ambalo siyo.
Ulivyokuwa ukichomeka dude lako ulisikia Amani yote nafsini ila baada ya mimba na mtoto kuzaliwa ndio amani nafsini ikatoweka! !!!?
 
Upadre naoutaka ni wa Kanisa Katoliki Mkuu.
Haya maswali nimeyaleta hapa ili kupata mwanga mahali pa kuanzia.
Una umri gani?

Umeshapita katika shirika lolote la kitume?
 
Ulivyokuwa ukichomeka dude lako ulisikia na Amani yote nafsini ila baada ya mimba na mtoto kuzaliwa ndio amani nafsini ikatoweka! !!!?
Hayo yalishapita na nimeyatubu kwa Mungu wa mbinguni.
 
Umejitahidi kuandika kitaalamu sana, bila shaka wewe ni ex seminarian wa St Peters Morogoro.
 
Lengo lako haswa nini kuanzisha huu uzi?

Maana ukipewa majibu UNAKATAA, yaani inaashiria UNAYO MAJIBU yako hapa upo kuwachora watu..

Mimi nikushauri kama mdogo wangu kiimani, FIKA KIGANGO/PAROKIA/JIMBO LOLOTE KATOLIKI waambie shida yako UTASAIDIWA.

Pengine "WANA JF" hawana kile unataka kusikia au kuambiwa..
 
Hayajapita Toba ya kweli kafunge ndoa na huyo uliyemzalisha kama padre alivyokuagiza hiyo ingine toba feki
Eti toba feki, huyo niliyemzalisha ana maisha yake mengine unaanzaje kufunga nae Ndoa?
 
Niliondoka four 4 2008 hapo,kwa mjerumani.
 
Upo wapi niDM!?
Labda nisaidie elimu yako tu? Then tuendelee
 
Usipoteze muda wako, ushaferi hata kabla ya kuanza.
 
Nenda kanisa au parokia uliyomo na uliza hayo maswali kwa wahusika.
 
Acheni kumfariji mwenzenu.

We jamaa huna sifa zozote za kuwa Padri.

Fanya ishu zingine.
 
hio namba tatu ni kikwazo, ila kwa maelezo zaidi nenda ofisi za mapadre jimboni, ukapambane nao ana kwa ana, maana ndo wenye majibu ya uhakika
 
Sasa hivi ajira mtaaani hakuna watu wanawinda upadri zamani ulikuwa unakimbiwa Sasa hivi ma jobless yanataka upadri
ila wee msenge unajua kuwagusa watu penyewe. Ko umeamua kumchana jamaa live.
 
mkuu naona unaendelea kumshawishi YEHODAYA, pengine anaweza vutiwa akawe padri, maana ni fursa hiyo, na ukizingatia kitaa ndo kinazidi kuwa kigumu leo zaidi ya jana.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…