Nataka kumuoa huyu mlimbwende wa JF

Nataka kumuoa huyu mlimbwende wa JF

Tunaruhusiwa mpaka wa nne, ila kutokana na idadi yao kuwa kubwa, itabidi niende hata 20 baada ya kuvuna mazao yangu shambani.
Huna mazao wewe acha kujidanganya watu siuseme ukweli tu hela unapatiaga wapi??

Niseme au niache wewe hunidanganyi bwana
 
Hapana Jack,mdau wa karibu yake kabisa katunyetisha hiyo idadi ya 4 keshavuka Sasa anaongeza masuria....huoni Kuna tatizo?
Hivi uko serious maana nitakuwa serious muulize swali unamjua unique flower yes ananijua kupitia humu ila mie nilikuwa nanamba yake tulikuwa tufanye biashara Fulani Sasa nikacheki maisha yake kupitia Facebook basi nikaja kumjua aha kumbe huyu ndio huyu anamke Tena mke ni wahalali sio wa kuzaa naye tu napia nilimuuliza akajibu ndio yeye mke analia kisa mume hajatulia Kisa pesa zake .
Kila siku mke analalamika hadi kazeeka maskini halafu ni mpole kazi yake nikulia kama unaweza ingia ndani wewe Sasa sijui utakuwa wangapi na nimchagaa ngumu kukutambulisha wenzio nikazi .

Jua hili utakula utavaa , utapendwa utaenda kila mahali utakapo hata wapi utaenda ila kwenye mimba akikupa ndio kasepa nakuja tu kuangalia unashida gani .
Basi . Ila kujenga utajengewa nyumba yakisasa nitajiri huyu kifaruuu balaa mie siwezagi kufanyiwa hawara ndio tatizo 😭😭😭
 
Habari wakuu,

Kuna mlimbwende mmoja humu amenivutia sana, nataka msimu ujao wa mavuno, niweze kutangaza ndoa kabisa.

Huyu mrembo ameiteka sana akili yangu, mpaka uwezo wa kufikiri umepungua; nilipo pishana naye tu barabarani, ilikuwa kidogo tu nigongwe na bajaji.

Kupitia huu uzi, anatakiwa ajitambue yeye tayari ni mke mtarajiwa wa equation x, na ajiandae kwa mipangilio ya familia ya kuwa na watoto wengi hapo baadaye.

Najua atapitia huu uzi, jina lake linaishia na h.

Wakuu nipeni baraka zenu.​
Arurururuuuuuuh walisema hataoa mbona anakaribia kuoa.🤨
 
Back
Top Bottom