Unique Flower
JF-Expert Member
- Apr 19, 2019
- 12,838
- 25,282
Huna mazao wewe acha kujidanganya watu siuseme ukweli tu hela unapatiaga wapi??Tunaruhusiwa mpaka wa nne, ila kutokana na idadi yao kuwa kubwa, itabidi niende hata 20 baada ya kuvuna mazao yangu shambani.
Niseme au niache wewe hunidanganyi bwana