Xi Jinping
JF-Expert Member
- Jun 14, 2023
- 9,548
- 28,817
Natafuta Ajira, Zemanda, Xi Jinping
Njooni muinyambue hii coment ya Mwanaume mwenzetu..
Mimi nimeona loopholes katika hii coment.
Ningependa niliowatag wapite kwenye hizi loopholes.
Maana kuna kitu common kuhusiana na hii coment na hii miamba niliyoitag.
Take home yake ni 300k, yeye anamuachia wife 2k kila siku. Tatizo ni wife badala ya kununua nyama au samaki au kuku yeye ananunua mchicha fungu mbili, kitungu kimoja na mafuta ya kula robo na unga nusu kilo tu. Pesa nyingine anatia ndani
Changamoto zipi? Acha uongo! Utakuja kurogwa weyee!Bro huelewi tu ila ni changamoto
Si waifu anatakiwa ajiongeze. Rasilimali si anayo-labda kama hana msambadwaKwa sh 2,000 utanunua nyama gani sasa kwa mfano?
Mchukue wewe 🤣Unamwachia nani sasa? Yaani nani amchukue?
Taratibu mkuu usije ukaua mtu 🤣Sometimes wanaume tunazingua sana aisee, umemlomba dada wa watu kwa Miaka zaidi ya mitano na ukamzalisha mara mbili afu unakuja na u$enge wako hapa ety niachane nae bila kuathiri watoto, pumbavu kabisa, Kwahy unataka umuache ili aende wapi? Afu nyie nyie ndo mnajifanya hamtaki kuoa single mother.
FK U
Kila nikiandika la kukujibu nafuta naandika Tena. Anyway ngoja tu nicheke 🤣🤣😹😹🤣 Eti 20k mwezi mzima ila wanaume wanachekesha sana..!!
Sasa si bora uishi bila mume ujue moja..!!
Sasa na wewe mkuu hueleweki 🤣🤣 Jamaa kasema anatoa 20k umezalau 🤣Thubutuu 😹😹😹
Uongo utakufanya tushindwe kukusaidia..!!
Una kichwa Gani hiko Kila siku saloon 🤣Kila siku ni 16k, hela ya saloon, luku, bill ya maji, matumizi yake binafsi, ada ya king'amuzi hela ya watoto shule ni humohumo?
Hakuna mwenye tatizo hapo, tatizo labda uwape wewe 🤣Khaa! Basi wewe ndiye mwenye matatizo.
Mbona kinyonge mkuu 🤣Upo sahihi
sijaona mke wa kuachwa hapa, labda kama kuna mengine ya ndani umeshindwa kuyaweka wazi.Wakuu.
Nimekaa na huyu mwanamke 5 years tumepata 2 boys. Ila sasa simwelewi kabisa dharau shazi hela unampa ila matumizi hayatimii.
Kido wetu mdoncho ana 2yrs na miezi miwili.
I really want to part ways ila kila nikiwawaza my two kids (all ME) nakuwa reluctant.
Nishaurini maana mimi na huyu ma watoto tuko terminal ila mimi nawaza nikichomoa kidos wangu itakua aje?
Sitaki kuumizana nae kichwaMbona kinyonge mkuu 🤣
Hapo atakuwa kaburini hashuhudii mateso ya watoto, sasa kwa hapo yupo hai ataonaUmewa
Mkuu umeshawahi kujiuliza mfano ukikata moto leo Watoto wako wataishije!?,mkuu uwepo usiwepo maisha lazima yaendelee ishi kwa ajili yako,najua huwezi kuelewa
Sasa unabisha ulikuwepoo?😂😂Thubutuu 😹😹😹
Uongo utakufanya tushindwe kukusaidia..!!
kwa haya maelezo yako, umeshapata mwingine halafu unatafuta visingizio vya kumuacha! Mi ninachojua upendo hustri mabaya.Wakuu.
Nimekaa na huyu mwanamke 5 years tumepata 2 boys. Ila sasa simwelewi kabisa dharau shazi hela unampa ila matumizi hayatimii.
Kido wetu mdoncho ana 2yrs na miezi miwili.
I really want to part ways ila kila nikiwawaza my two kids (all ME) nakuwa reluctant.
Nishaurini maana mimi na huyu ma watoto tuko terminal ila mimi nawaza nikichomoa kidos wangu itakua aje?
Fafanua hili ""Mahari inazuiaje matatizo??"" AU ""Mahari ingezuiahe matatizo ya mwamba??""Khaa! Basi wewe ndiye mwenye matatizo.
Kitendo cha kukaa na mtu bila wazazi kutambua ndio matatizo yenyeweFafanua hili ""Mahari inazuiaje matatizo??"" AU ""Mahari ingezuiahe matatizo ya mwamba??""
#YNWA
#YANGA_BINGWA